| JUMA |
KIPINDI |
FUNZO |
MADA |
MALENGO |
SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI |
NYENZO |
ASILIA |
|
| 1 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza/kongea |
Mapambo ya mwili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 60
MWM UK61 |
|
| 2 |
kusoma
Ufahamu |
Nyama ya ulimi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
-kueleza
-kutaja
-kuandika
-kuiga |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 61
MWM UK62 |
|
| 3 |
Maombo ya lugha |
Semi zenye neno ‘ulimi’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimi kwa usahihi |
-kusoma
-kuandika
-kutamka
-kutumia |
-kadi
-picha
michoro
-Kamusi |
KS KCM
UK 63
MWM UK63 |
|
| 4 |
Sarufi |
‘o’ rejeshi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha na kutumia ‘’o’ rejeshi mwishoni mwa kitenzi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 65
MWM UK62 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Mapambo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili na kutumia msamiati wa mapambo kwa usahihi |
-kueleza
-kutaja
-kuandika
-kuiga |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 66
MWM UK63 |
|
| |
|
|
|
|
|
|
|
|
| 2 |
1 |
Kuongea na kusikiliza |
Vifaa vya ufundi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK67
MWM UK64 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Viatu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi |
kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro
-Kamusi |
KS KCM
UK 69
MWM UK65 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK70
MWM UK66 |
|
| 4 |
Sarufi |
Hali ya kutendesha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
kunyambuamza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 71
MWM UK67 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Hatua za kutengeneza viatu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 73
MWM UK68 |
|
| 3 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Majina ya nchi na ulaiya |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchi na wenyenji wake |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 76
MWM UK68 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Olimpiki |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK77
MWM UK70 |
|
| 3 |
Mapabo ya lugha |
Ufishadi umeenea |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea |
– kukariri
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK77
MWM UK71 |
|
| 4 |
Sarufi |
Nge, ngali (ukanusho) |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘nge, na ngali katika ukanusho |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 78
MWM UK72 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Kazi nitakayoifanya |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 78
MWM UK73 |
|
| 4 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Vitawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kubainisha vitawe na kutumia katika sentensi |
|
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 109
MWM UK73 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Tunda |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro
-Kamusi |
KS KCM
UK78
MWM UK |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua maana na kutumia methali katika sentensi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 78
MWM UK74 |
|
| 4 |
Sarufi |
Viambishi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya neno kwa usahihi |
|
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 79
MWM UK |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Insha methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 80
MWM UK76 |
|
| 5 |
1 |
Kusikiliza na
kuzungumza
|
Malipo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha
-Kamusi wanafunzi |
KS KCM
UK 81
MWM UK78 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Mkono mrefu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili |
-kusikiliza
-kutamka
-kutambua
-kuzungumza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 82
MWM UK79 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Semi ‘mkono’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkono |
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro
-Kamusi |
KS KCM
UK 83
MWM UK99 |
|
| 4 |
Sarufi |
Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 85
MWM UK81 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Picha hadithi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 86
MWM UK82 |
|
| 6 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Watu na kazi zao
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi ya msamiati wa watu na kazi zao |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 87
MWM UK86 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Ufinyanzi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kujadili funzo,kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 88
MWM UK87 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Wasakatonge
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe |
-kukariri
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 89
MWM UK88 |
|
| 4 |
Sarufi |
Viambishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishi awali na katikati mwa neno |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 90
MWM UK90 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Mjadala
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 91
MWM UK91 |
|
| 8 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Nomino za makundi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia baadhi ya nomino za makundi |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 92
MWM UK92 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Idd mubarak
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
-kujadili
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 94
MWM UK92 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Kanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 95
MWM UK93 |
|
| 4 |
Sarufi |
Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 97
MWM UK96 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Sherehe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya sherehe kulingana na kichwa alichopewa |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 98
MWM UK97 |
|
| 9 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Tarakimu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000’000 hadi 10,000,000 nakuziandika |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 99
MWM UK98 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Mazingira yetu
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 99
MWM UK97 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Semi ‘shika’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye neno ‘shika’ |
-kusoma
-kusikiliza
-kukariri
-kutambua
-kuzungumza |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 100
MWM UK97 |
|
| 4 |
Sarufi |
Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi vionyeshi viulizi na ‘a’ unganifu kwa usahihi |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 100
MWM UK98 |
|
| 5 |
Kuandika (insha) |
Usafi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 102
MWM UK99 |
|
| 10 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Huduma ya kwanza
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
-Picha kiabuni |
KS KCM
UK 102 |
|
| 2 |
Ufahamu |
Tangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu |
-kusoma
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 103 |
|
| 3 |
Mapambo ya lugha |
Tanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti zinazo eleza hali ya watu |
-kusoma
-kusikiliza
-kutambua
-kuunganisha |
-kadi
-picha
michoro |
KS KCM
UK 104
MWM UK |
|
| 4 |
Sarufi |
Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana |
-kusoma
-kusikiliza
-kuandika
-kutambua
-kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
KS KCM
UK 104
MWM UK |
|
| 5 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Matangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza na kuandika insha juu ya matangazo |
-kusikiliza
-kutumia
-kueleza
-kuuliza |
Redio
runinga |
KS KCM
UK 106
MWM UK |
|