ASILIA
- KLB
 - Mwongozo wa Mwalimu
 - Oxford
 - Kamusi
 
| JUMA | KIPINDI |   SOMO  |   SHABAHA  |   MBINU  |   VIFAA  |   ASILIA  |   MAONI  | 
| 1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
| 2 | 5-6 | Fasihi Hadithi fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha  |   Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | |
| 3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Fasihi simulizi na fasihi andishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake  |   Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali  |   Jedwali Utendaji wa wanafunzi  | C. Kuhenga Fasihi simulizi na tamathali za usemi KLB BK 4 UK 4-19 Chem BK 4 UK 4  | |
| 2 | Isimu Jamii Maana, lugha na mawasiliano  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha  |   Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   I.I Odeon a M. Geoffrey Fani ya isimu jamii UK 1-8  | ||
| 3 | Sarufi Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi  |   Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali  |   Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi  |   Chem BK4 UK 102 KLB BK4 UK 26-27 Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28  | ||
| 4 | Kusoma Matangazo  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti Kuyatofautisha matangazo hayo  |   Kutafuta matangazo mbalimbali Kubainisha sifa zake  |   Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa  |   Chem. UK 102 KLB BK4 UK 26  | ||
| 5 | Kuandika Barua rasmi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo  |   Maelezo, kujadiliana na kuandika barua  |   Nakala za barua rasmi  |   Chem. UK 32 KLB BK4 UK 8-15 Mwongozo wa uandishi wa insha  | ||
| 6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi 
 
  |   Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 4 | 1 | Kuandika insha ya methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki  |   Utendaji wa wanafunzi  |   Mifano ya insha za methali  |   Chem. UK 66 KLB BK4 UK 28-29, 16-17  | |
| 2 | Kusikiliza na kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha  |   Utendaji wa wanafunzi Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Tuki: kamusi sanifu KLB BK4 UK30-32  | ||
| 3 | Sarufi Nomino/jina  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi  |   Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 5 KLB BK4 UK 32-35 F.V. Nkwera  | ||
| 4 | Kusoma kwa mapana Magazeti  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuwa staid katika usomaji Kuzingatia matamshi bora Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi  |   Majadiliano na usomaji wa magazeti  |   Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba  |   Magazeti ya magktaba KLB BK4 UK 35-37  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi  |   Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 5 | 1 | Kuandika Muhtasari  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Uzingativu wa kanuni za muhtasari Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari  |   Kusoma makala Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari  |   Fungu la ufupisho  |   KLB BK4 UK 37-38 Tuki Kamusi sanifu  | |
| 2 | Kusikiliza na kuzungumza: Mtandao  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao  |   Majadiliano Kuuliza Kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 137 KLB BK4 UK 39-41 Tuki Kamusi sanifu  | ||
| 3 | Sarufi Vitenzi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi  | Kutambulisha vitenzi Kuuliza Kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 39 KLB BK4 UK 43-46 
  | ||
| 4 | Kuandika Memo  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme  |   Maswali Majadiliano Kujibu maswali  |   Tarakilishi Rununu Nukilishi  |   Chem. UK 78 KLB BK4 UK 46-50  | ||
| 5 | Isimu Jamii Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki  |   Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 9-21  | ||
| 6 | Fasihi Hadithi fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 6 | 1 | Kusikiliza na kuongea Methali na misemo  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani  |   Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali  |   Vinasa sauti Picha na michoro  |   Kamusi ya methali Kamusi ya misemo  | |
| 2 | Kusoma kwa ufahamu Haki za binadamu  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo  |   Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 56-58  | ||
| 3 | Sarufi Viwakilishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 17 KLB BK4 UK 58-60 Oxford BK4 UK  | ||
| 4 | Isimu Jamii Dhana ya lahaja za Kiswahili  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo  | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 27-32  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 7 | 1 | Kuandika Tahakiki  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa  |   Kusikiliza Kuuliza maswali Kujadiliana  |   Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi  |   KLB BK4 UK 75-78 Rejea zote  | |
| 2-3 | Fasihi Hadithi fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi  |   Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 4 | Kusikiliza na kuongea Mafumbo  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha matamshi bora Kunoa akili Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo  |   Kushiriki katika ufumbuzi Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 71 KLB BK4 UK 79-81  | ||
| 5 | Fasihi simulizi Lakabu  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo  |   Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na bango lenye picha  |   Chem. UK 60 KLB BK4 UK 79-81  | ||
| 6 | Kusoma Viwanda  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo  |   Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88  | ||
| 8 | 1 | Sarufi Viunganishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Jedwali Vifaa halisi Picha na bango lenye picha  |   F.V Nkwera Sarufi na Fasihi Chem. UK 97 KLB BK4 UK 88-89  | |
| 2 | Kusoma Wavuti  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 89-91  | ||
| 3 | Kuandika Simu na Memo  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo  |   Vifaa halisi Picha na bango lenye picha  |   Chem. UK 193 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha  | ||
| 4 | Isimu Jamii Usanifishaji wa Kiswahili  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji Kujadiliana  |   Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 33-37  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 9 | 1 | Kusikiliza na kuongea Bungeni  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge  |   Kusoma kwa sauti © Education Plus Agencies Kujadiliana Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 61 KLB BK4 UK 94-97  | |
| 2 | Kusoma Kumbukumbu za mkutano  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Nakala za kumbukumbu za mkutano  |   Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99  | ||
| 3 | Sarufi Vielezi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi  |   Chem. UK 75-76 KLB BK4 UK 100-101 Nkwera 24-26  | ||
| 4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
| 10 | 1-2 | LIKIZO FUPI | |||||
| 3 | Kusoma Riwaya teule  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha  |   Kusoma Kujadiliana  |   Vitabu vya riwaya (hadithi)  |   Chem. UK 55, 65 KLB BK4 UK 102  | ||
| 4 | Isimu Jamii Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 11 | 1 | Sarufi Vihusishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano  |   Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110  | |
| 2 | Sarufi Vivumishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano  |   Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110  | ||
| 3 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58  | ||
| 4 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 12 | 1 | Kusoma Mashairi huru  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru Kuyachambua bila utatanishi  |   Kukariri shairi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali  |   Makala ya majarida ya kiswahili  |   Chem. UK 113, 173 KLB BK4 UK 114 Tuki: Kamusi sanifu  | |
| 2 | Kuandika Utungaji wa kisanii  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri  | Kusikiliza Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui  |   Mifano ya mashairi huru  |   Chem. UK 173 KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi  | ||
| 3 | Sarufi Vihisishi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano  |   Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. UK 213 KLB BK4 UK 110-111 Nkwera  | ||
| 4 | Kusikiliza na kuzungumza Mjadala  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Mada ya mjadala Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha  |   Kujadiliana na kuelekezwa  |   Chati Mchoro na picha  |   KLB BK4 UK 115-117  | ||
| 5-6 | Fasihi Hadithi Fupi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine  | ||
| 13 | 1 | Kusoma Utandawazi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi  |   Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali  |   Ramani ya ulimwengu Michoro na picha  |   Chem. UK 160 KLB BK4 UK 117-119 Tuki: Kamusi sanifu  | |
| 2 | Sarufi Mwingiliano wa maneno  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha  |   Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Chati na michoro  |   KLB BK4 UK 76-77  | ||
| 3 | Fasihi Kudurusu  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi  | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kushiriki kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi  | ||
| 4 | Ushairi Bahari/aina za ushairi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Mashairi  |   E. Kezilahabi Kunga za Ushairi Malenga wa Ziwa kuu  | ||
| 5-6 | Isimu Jamii Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55  | ||
| 14 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu)  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha  | Kutamka Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3  | |
| 2 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu)  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti Kutambulisha aina za konsonandi 
  |   Kutunga sentensi sahihi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3  | ||
| 3 | Sarufi Kuakifisha (kudurusu)  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi  |   Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138, 180,196 KLB BK1 UK 22-23  | ||
| 4 | Isimu Jamii Sajili katika muktadha isiyo rasmi  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kuelewa Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida  |   Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92  | ||
| 5-6 | Fasihi Kudurusu  | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa  |   Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi  |   Vifaa halisi Picha na michoro  |   Rejea zote za fasihi  | ||
| 15 | MITIHANI | ||||||

