AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI MUHULA WA I
ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
Get the PDF Schemes Here; Schemes of work for all subjects, free updated downloads
JUMA | KIPINDI | ย SOMO |
ย
SHABAHA |
ย
MBINU |
ย VIFAA |
ย
ASILIA |
ย
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Isimu Jamii
Mazungumzo hotelini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini |
Kusoma Kueleza sifa |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 1 UK 11 KLB BK 2 UK 1-3 Chem BK 2 UK 26 |
||
3 | Fasihi
Vipengele muhimu Ploti mahusika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza vipengele Kueleza wahusika na sifa zao |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
4 | Fasihi
Dhamira/maudhui |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
5 | Fasihi
Mtindo wa lugha na sanaa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha mitindo miwili |
Kueleza Kutambua |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
6 | Uchambuzi wa fasihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua makala ya fasihi |
Kusoma Kujibu maswali |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 6-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
3 | 1 | Sarufi
Mofimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya mofimu |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 102
KLB BK 2 UK 8-9 Chem BK 2 UK 6-8 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Sarufi
Viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha viambishi awali na tamati |
Kusoma Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 114
KLB BK 2 UK 10 Chem BK 2 UK 114 |
||
4 | Insha ya maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mchezo wa kuigiza |
Kueleza Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 22
KLB BK 2 UK 12 Chem BK 2 UK 29 |
||
5 | Isimu Jamii
Uhusiano wa kitabaka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana |
Kusoma Kujadili |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 13 Chem BK 2 UK 29 |
||
6 | Ufahamu
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma Kujadili Kujibu maswali |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 15 |
||
4 | 1 | Sarufi
Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina za nomino |
Kueleza kwa kutoa mifano
kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 6
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 |
|
2 | Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufafanua aina za nomino |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 6
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina ya vivumishi |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 22 |
||
5 | 1 | Insha ya mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha dayolojia na mahojiano |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 31
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 214 |
|
2 | Fasihi
Vitendawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha vitendawili mbalimbali |
Kusoma Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 109-117 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina za mafumbo |
Kusoma
Kutoa mifano Kutoa majibu |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 57
KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 |
||
5-6 | Ufahamu
Uchafuzi wa mazingira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya msamiati |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 33 |
||
6 | 1 | Sarufi
Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua na kutunga sentensi |
Kutoa mifano
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 37
KLB BK 2 UK 36 Chem BK 2 UK 74 |
|
2-3 | Fasihi
Mighani/visakale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutoa maana na mifano Kutaja sifa |
Kutaja Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 74 KLB BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 196 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuboresha matamshi yao |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80 |
||
6 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 82 |
||
7 | 1 | Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 50 Chem BK 2 UK 85 |
|
2 | Kuandika
Tahadhari/onyo/ilani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa hati nadhifu |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 119 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza
(Visawe) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno kwa ufasaha |
Kusoma Kueleza maana |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK Kamusi |
||
4 | Mazungumzo hospitalini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha ya hospitalini |
Kusoma
Kueleza Kuandika nakala |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 29
KLB BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 159 |
||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Ufasaha wa lugha
Misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua maana |
Kueleza Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 76 |
||
8 | 1 | Ufahamu
Maadili mema |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma makala kwa ufasaha |
Kusoma
Kutaja misamiati Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80-82 |
|
2 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua hatua muhimu za ufupisho |
Kusoma Kufupisha habari |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80-82 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
9 | 1-2 | Sarufi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungiaย sentensi |
Kutoa maana Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 83 |
|
3 | Isimu jamii
Mazungumzo Posta |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha ya posta |
Kusoma kwa sauti Kujadili sifa |
Picha |
Fasaha BK 2 UK 165 KLB BK 2 UK 89 |
||
4 | Kuandika
Insha ya mdokezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu |
Kuandika |
Mfano |
Fasaha BK 2 UK 10
KLB BK 2 UK 87 Chem BK 2 UK 143 |
||
5 | Ufahamu
Repoti kuhusu ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma Kuandika |
Nakala |
KLB BK 2 UK 91 |
||
6 | MTIHANI
ย ย ย |
||||||
10 | 1 | Ufahamu
Udurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma na kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 91 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Muhtasari
repoti kuhusu ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufupisha habari bila kupoteza maana |
Kusoma Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 91 |
||
4 | Kuandika
Insha ya ripoti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka |
Kueleza Kuandika |
Mifano |
Fasaha BK 2 UK 55 KLB BK 2 UK 91-94 Chem BK 2 UK 178 |
||
5-6 | Sarufi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina ya viwakilishi |
Kueleza
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 49
KLB BK 2 UK 94 Chem BK 2 UK 228 |
||
11 | 1 | Kuandika
Barua simu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika barua yenye mantiki |
Kueleza Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175
KLB BK 2 UK 108 Chem BK 2 UK 241 |
|
2-3 | Viwakilishi vya pekee, nafsi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha na kuvitumia katika sentensi |
Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 178 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 228 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Mazungumzo
Kituo cha polisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha inayotumika |
Kutaja sifa Kuandika nakala |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 102 Chem BK 2 UK 208 |
||
6 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 104-107 |
||
12 | 1 | Viwakilishi sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 |
|
2 | Viwakilishi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 |
||
3 | Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 109-110 |
||
4 | โAโ unganifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 109-110 |
||
5 | Viwakilishi virejeshi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 113 |
||
6 | MTIHANI | ||||||
13 | 1 | Insha
Matangazo ya redio, runinga, magazetini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutunga matangazo Kusoma |
Kueleza Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 163 KLB BK 2 UK 115 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Matamshi bora
Vitate S na Z |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno kwa ufasha |
Kubainisha Kusoma |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 1 KLB BK 2 UK 120 |
||
4 | Ufahamu
Dondoo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 112
KLB BK 2 UK 122-124 Chem BK 2 UK 168 |
||
5 | Kusoma maktabani
Shairi arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi |
Kusoma Kutafiti Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 88 KLB BK 2 UK 125 Chem BK 2 UK 177 |
||
6 | Vielezi
Vielezi wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 60, 62
KLB BK 2 UK 125-126 Chem BK 2 UK 250 |
||
14 | 1 | Insha
Kuandika dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa hati nadhifu |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 212
KLB BK 2 UK 119 Chem BK 2 UK 233 |
|
2-6 | MARUDIO YA MTIHANI | ||||||
15 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI | |||||
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
|
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK KLB BK 2 UK Chem BK 2 UK |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI
MUHULA WA II
ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | ย
SOMO |
ย
SHABAHA |
ย
MBINU |
ย
VIFAA |
ย
ASILIA |
ย
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Vielezi jinsi/namna | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha vielezi katika lugha |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 127-128 Fasaha BK 2 UK 61 Chem BK 2 UK 250 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Vielezi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitumia katika lugha |
Kutambua
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 128-129 Fasaha BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 250, 253 |
||
4 | Vielezi mahali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua vielezi mahali |
Kutambua Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 129-131 Fasaha BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 250, 253 |
||
5 | Kuandika
Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu yenye mantiki |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 131-133 Fasaha BK 2 UK 43 Chem BK 2 UK 45 |
||
6 | Matamshi bora
Vitate โdโ na โndโ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma maneno kwa ufasaha |
Kusoma |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 134
Fasaha BK 2 UK 79 Chem BK 2 UK 85 |
||
3 | 1 | Ufahamu
Mahali pa watu wengi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya msamiati |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 134-136 Fasaha BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 216 |
|
2 | Kusoma
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma Kujadili |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 137-140 Fasaha BK 2 UK 124 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Kusoma
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufupisha makala |
Kusoma
Kutambua hoja Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 140
Fasaha BK 2 UK 146 Chem BK 2 UK 57 |
||
5 | Kusoma
Uchambuzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha sehemu mbalimbali za shairi |
Kusoma Kutambua Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 140 Fasaha BK 2 UK 211 Chem BK 2 UK 82 |
||
6 | Sarufi
Viunganishi Ila, sababu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitumia katika lugha |
Kutambua
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 140-141 Fasaha BK 2 UK 72 |
||
4 | 1 | Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha katika lugha |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 141 Fasaha BK 2 UK 72 |
|
2 | Vihusishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha katika sentensi |
Kusoma
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 142-143 Fasaha BK 2 UK 93 Chem BK 2 UK 212 |
||
3 | Vihisishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitumia kwa ufasaha katika lugha |
Kutambua
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 143-145 Fasaha BK 2 UK 84 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Kuandika
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 145
Fasaha BK 2 UK 159 Chem BK 2 UK 178 |
||
6 | Fasihi
Shairi: Mwanamke |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kubainisha vipengele vya shairi |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 148-150 Fasaha BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 177 |
||
5 | 1 | Kusoma
Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 146-148 Fasaha BK 2 UK 70 Chem BK 2 UK 216 |
|
2 | Fasihi
Maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuiga maneno na matendo vya watu wengine |
Kuzungumza Kuiga |
Mchezo |
KLB BK 2 UK 148
Fasaha BK 2 UK 200, 201 Chem BK 2 UK 171 |
||
3 | Sarufi
Kinyume: oa, ua |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha vinyume vya vitenzi |
Kusoma Kutambua Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 150-151 Fasaha BK 2 UK 182-183 Chem BK 2 UK 140 |
||
4 | Kinyume
Neno tofauti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua vinyume vya vitenzi |
Kutambua Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 151-152 Fasaha BK 2 UK 182-183 Chem BK 2 UK 140 |
||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Kuandika
Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kusoma Kufanya zoezi |
Mfano |
KLB BK 2 UK 153 Chem BK 2 UK 21 |
||
6 | 1 | Fasihi
Tamthlia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha vipengele vya tamthilia |
Kusoma Kujadili |
Chaki Ubao |
KLB BK 2 UK 150 Kifo kisimani |
|
2-3 | Kusikiliza, kusoma. Mjadala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuendeleza kipawa cha kuzungumza kwa ufasaha |
Kusoma ยฉ Education Plus Agencies Kuzungumza |
Mjadala |
KLB BK 2
UK 154-156 Fasaha BK 2 UK 120 Chem BK 2 UK 50 |
||
4 | Kusoma
Msamiati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kutafiti msamiati wa bunge |
Kusoma Kutafiti |
Kamusi
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 157-158 Fasaha BK 2 UK 82 |
||
5 | Kusoma
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 158-160 Fasaha BK 2 UK 92 |
||
6 | MTIHANI | ||||||
7 | 1 | MTIHANI | |||||
7 | 2 | Sarufi
Nyakati Kukanusha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha nyakati mbalimbali |
Kutambua Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 161
Fasaha BK 2 UK 84 Chem BK 2 UK 131 |
|
3 | Hali ya nge- na ukanusho wake | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia nge na kukanusha sentensi |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 161-162 Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 |
||
4-6 | ย | ||||||
8 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Hali ya ngeli na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia ngeli katika sentensi kisha kukanusha |
Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 162
Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 |
||
3 | Ngali na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia ngali katika sentensi kisha kukanusha |
Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 163
Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 |
||
4 | โPoโ na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia โPoโ katika sentensi kisha kukanusha |
Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 164-165 Fasaha BK 2 UK 86 Chem BK 2 UK 264 |
||
5 | Kuandika
Resipe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 165-166 Fasaha BK 2 UK 19 Chem BK 2 UK 269
|
||
6 | Matamshi bora
f na v |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuboresha lugha kwa kutamka maneno kwa ufasaha |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 167 Fasaha BK 2 UK 79 Chem BK 2 UK 210 |
||
9 | 1 | Vitanze ndimi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuboresha matamshi kwa kusoma sentensi kwa ufasaha |
Kusoma |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 168 Fasaha BK 2 UK 121 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Imla
Sauti t, d, f, v |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika maneno ambayo anasomewa na mwalimu |
Kusikiliza Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 168
Fasaha BK 2 UK 189 Chem BK 2 UK 185, 210, 167 |
||
4-5 | Fasihi
Visasili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadili/kuchambua hadithi aliyopewa |
Kusoma Kuandika Kujadili |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 168-171 Fasaha BK 2 UK 95 Chem BK 2 UK 15 |
||
6 | Kusoma | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuboresha matamshi yake kwa kusoma kwa ufasaha |
Kusoma Kuandika Kujadili |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 171-174 Fasaha BK 2 UK 100 Chem BK 2 UK 68 |
||
10 | 1 | Uchambuzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha mahusika, fani |
Kusoma
Kuandika Kujadili |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 174 Fasaha BK 2 UK 106 |
|
2 | Sarufi
Sentensi sahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutunga sentensi sahili |
Kusoma Kuandika Kujadili |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 174-175 Chem BK 2 UK 186, 201 |
||
3 | Sentensi ambatano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutunga sentensi ambatano |
Kusoma
Kuandika Kujadili |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 175
Fasaha BK 2 UK 194 Chem BK 2 UK 210 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Upambanuzi wa sentensi ambatano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kupambanua sentensi ambatano kwa njia mbalimbali |
Kutunga sentensi Kupambanua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 175-177 Fasaha BK 2 UK 207 Chem BK 2 UK 186 |
||
6 | Kuandika
Risala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 177-178 Fasaha BK 2 UK 97 Chem BK 2 UK 243 |
||
11 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Fasihi
Ushairi Nyimbo za arusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimba nyimbo mbalimbali za arusi |
Kuimba |
Sauti |
KLB BK 2
UK 179-181 Chem BK 2 UK 113 |
||
3 | Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia misemo katika sentensi |
Kutaja Kutoa maana Kutunga sentensi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 181-183 Fasaha BK 2 UK 45 Chem BK 2 UK 138 |
||
4 | Kusoma
Shairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua shairi alilopewa |
Kusoma Kuchambua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 183-184 Fasaha BK 2 UK 211 Chem BK 2 UK 231 |
||
5 | Sarufi
Mnyambuliko I wa vitenzi Kauli ya kutendwa, kutendewa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendwa na kutendewa |
Kutambua Kunyambua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156-158 Chem BK 2 UK 175, 219 |
||
6 | Mnyambuliko II | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeka, tendana |
Kutambua Kunyambua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156-158 Chem BK 2 UK 175, 219 |
||
12 | 1 | Mnyambuliko III | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeana, tendeshwa, tendezana, tendeshea |
Kutambua Kunyambua Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156, 158 Chem BK 2 UK 175, 219 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Fasihi
Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha maana za methali aliyopewa |
Kutambua Kutoa maana |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 187-190 Fasaha BK 2 UK 67 Chem BK 2 UK 40 |
||
4 | Kusoma
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 190-192 Fasaha BK 2 UK 123 Chem BK 2 UK 60 |
||
5 | Ufahamu
Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya msamiati |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 192-194 Fasaha BK 2 UK 180 Chem BK 2 UK 157 |
||
6 | Fasihi
Riwaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua riwaya aliyosoma |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 195
Fasaha BK 2 UK 160, 223 Chem BK 2 UK 8 |
||
13 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA AGOSTI |
ย
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI MUHULA WA III
ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | ย
SOMO |
ย
SHABAHA |
ย
MBINU |
ย
VIFAA |
ย
ASILIA |
ย
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | Sarufi
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha alama mbalimbali za uakifishaji |
Kutambua Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 196-199 Fasaha BK 2 UK 187 Chem BK 2 UK 9 |
|
2 | Kuandika
Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 196-199 Fasaha BK 2 UK 187 Chem BK 2 UK 9 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Kuandika
Maelezo/maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 199
Fasaha BK 2 UK 131 Chem BK 2 UK 223 |
||
5 | Fasihi
Hekaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua hadithi aliyopewa |
Kusoma Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 200-202 Chem BK 2 UK 102 |
||
6 | Kusoma
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 202-204 Chem BK 2 UK 181 |
||
3 | 1 | Kusoma
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufupisha makala bila kupoteza maana |
Kusoma Kufupisha |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 205
Fasaha BK 2 UK 73 Chem BK 2 UK 118 |
|
2 | Sarufi
Usemi halisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia usemi halisi katika sentensi |
Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 205-206 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126 |
||
3 | Usemi wa taarifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha usemi wa taarifa katika sentensi |
Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 206-207 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5-6 | Usemi wa taarifa na halisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha usemi halisi kutoka kwa usemi wa taarifa |
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 207-208 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126
|
||
4 | 1 | Kuandika
Barua mialiko Harusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 208-209 Fasaha BK 2 UK 65 Chem BK 2 UK 70 |
|
2 | Kuandika
Hauli |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 209
Fasaha BK 2 UK 65 Chem BK 2 UK 70 |
||
3 | Fasihi
Ushairi Wimbo wa uchumba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua wimbo aliopewa |
Kuimba Kuchambua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 210-211 Fasaha BK 2 UK 126 Chem BK 2 UK 82 |
||
4 | Fasihi
Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika methali inayolingana na maelezo aliyopewa |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 211-212 Fasaha BK 2 UK 67 Chem BK 2 UK 40 |
||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Kusoma
Janga la ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuuliza maswali kulingana na makala |
Kusoma
Kutunga maswali Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 212-215 |
||
5 | 1 | Kusoma maktabani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufanya utafiti kuhusu janga la ukimwi |
Kusoma Kuandika |
Makala Madaftari |
Magazeti Majarida Fasaha BK 2 UK 203 |
|
2 | Sarufi
Kuunda nomino I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuunda nomino kutokana na vitenzi |
Kutambua
Kuunda Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 216 Fasaha BK 2 UK 183 |
||
3 | Kuunda nomino II | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuunda nomino kutokana na vivumishi |
Kutambua kuunda |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 217 Fasaha BK 2 UK 183 |
||
4 | Kuunda nomino III | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuunda nomino kutokana na nomino |
Kutambua Kuunda |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 217
Fasaha BK 2 UK 183 Chem BK 2 UK 203 |
||
5 | Uundaji IV | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufanya zoezi ipasavyo |
Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 218-219 Chem BK 2 UK 203 |
||
6 | MTIHANI | ||||||
6 | 1 | Kuandika
Orodha ya mambo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mtungo wenye mantiki |
Kusikiliza Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 219-220 Chem BK 2 UK 252 |
|
2 | Kuandika
Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu |
Kusikiliza Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 221 Fasaha BK 2 UK 150 Chem BK 2 UK 117 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza
Majadiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuigiza majadiliano aliyopewa |
Kusoma Kuiga |
Mchezo
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 222-224 Fasaha BK 2 UK 33, 129 |
||
4 | Fasihi
Nyimbo za kivita |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimba na kuchambua wimbo aliopewa |
Kuimba Kuchambua |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 225-226 Fasaha BK 2 UK 126 |
||
5 | Kusoma
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu/msamiati |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 226-229 Fasaha BK 2 UK 153 |
||
6 | MTIHANI | ||||||
7 | 1 | Sarufi
Udogo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha udogo wa nomino |
Kutambua Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 229-230 Fasaha BK 2 UK 62 |
|
2 | Ukubwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha ukubwa wa nomino |
Kutambua Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 229-231 Fasaha BK 2 UK 62 |
||
3 | Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufanya marudio zaidi |
Kufanya mazoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 232-234 Fasaha BK 2 UK 67 |
||
4 | Kusoma
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha msamiati mpya |
Kuandika Kueleza |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 234-236 Fasaha BK 2 UK 166 Chem BK 2 UK 71 |
||
5 | Shairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya shairi |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2
UK 241-243 Chem BK 2 UK 82 |
||
6 | Sarufi
Mada mchanganyiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufanya mazoezi zaidi |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UKย 248-252 |
||
8 | 1-6 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA | |||||
9 | 1-6 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA | |||||
10 | 1-4 | MARUDIO NA KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA DESEMBA |
I would like to have schemes for kiswahili s.3