Site icon Newsblaze.co.ke

KISWAHILI LESSON PLANS FORM 2 FREE

                  MIPANGILIO YA VIPINDI/MASOMO      MUHULA WA KWANZA       KIDATO CHA PILI

JINA LA  MWALIMU:………………………………………………

NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSOMA(UFAHAMU)                             MADA NDOGO :Ndugu majuu na wakazi wa kibabuu

WIKI:………2………………………………………………………NAMBARI LA SOMO:1

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kusoma kwa matamshi
  • kutumia msamiati na misemo  kwa ufasaha
  •  kujibu maswali kwa usahihi.
 

HATUA NA MUDA

 

YALIYOMO

 

SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI

 

NYENZO

 

UTANGULIZI

(DAK.5)

Maamkizi

Kupitia somo lililopita

Mwalimu na wanafunzi kuamkiana

Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita

Wanafunzi wenyewe

Matini ya mwalimu

MWENDELEZO

(DAK.30)

Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma ufahamu, kutambua misamiati,misemo,methali na nahau na kuyapa  maana kamili kulingana na ufahamu kisha wanafunzi kuyatumia katika utunzi wa sentensi  ili kubainisha maana zao kikamilifu

 

Kusoma ufahamu kwa kina na mantiki

Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu ufahamu

Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi

Utunzi wa sentensi

Chemi chemi za Kiswahili    2

(uk 1-3)

Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

HITIMISHO

(DAK.5)

Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo

Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo

Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo

Wanafunzi kufanya zoezi

Chemi chemi za Kiswahili    2

(uk 1-3)

Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

 

JINA LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA          MADA NDOGO : Isimu jamii;

Majadiliano baina ya mwanafunzi na mwalimu

WIKI:…………2…………………………………………………NAMBARI LA SOMO:2

TAREHE :………………………………………………………….WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kuelezea sifa za mazungumzo shuleni
  •  kuweza kuigiza mazungumzo baina ya mwalimu na mwanafunzi
 

HATUA NA MUDA

 

YALIYOMO

 

SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI

 

NYENZO

 

UTANGULIZI

(DAK.5)

Maamkizi

Kupitia somo lililopita

Mwalimu na wanafunzi kuamkiana

Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita

Wanafunzi wenyewe

Matini ya mwalimu

MWENDELEZO

(DAK.30)

Isimu jamii;

Majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi;

Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya isimu jamii na sifa za majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi

Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi na wanafunzi kuweza kuigiza darasani.

Majadiliano  baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu sajili ya darasani

Maelezo kutoka kwa mwalimu

Majibu na maswali baina ya mwalimu na wanafunzi

Kusoma mazungumzo baina mwalimu na mwanafunzi

Uigizaji wa mazungumzo hayo

Chemi chemi za Kiswahili    2

(uk 4-5)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

HITIMISHO

(DAK.5)

Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo

Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo

Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo

Wanafunzi kufanya zoezi

Chemi  chemi za Kiswahili   2

(uk 4-5)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

 

JINA  LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA     MADA NDOGO : Mofimu

WIKI:…………2……………………………………………………NAMBARI LA SOMO:3

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kueleza maana ya mofimu na aina zake
  • kuweza kutambua  mofimu katika maneno
  • kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu
 

HATUA NA MUDA

 

YALIYOMO

 

SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI

 

NYENZO

 

UTANGULIZI

(DAK.5)

Maamkizi

Kupitia somo lililopita

Mwalimu na wanafunzi kuamkiana

Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita

Wanafunzi wenyewe

Matini ya mwalimu

MWENDELEZO

(DAK.30)

Mofimu;

Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya mofimu, aina za mofimu, kuonyesha mofimu katika maneno na kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu

Wanafunzi kusikiliza kwa makini na kuandika maelezo ya mwalimu

Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi

Maelezo kuhusu somo kutoka kwa mwalimu

Mazungumzo baina ya mwalimu na wanafunzi

Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi

Wanafunzi kuandika maelezo ya mwalimu

 

Chemi chemi za Kiswahili    2

(uk 6-8)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

HITIMISHO

(DAK.5)

Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo

Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo

Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo

Wanafunzi kufanya zoezi

Chemi chemi za Kiswahili    2

(uk 6-8)

Matini ya mwalimu

Wanafunzi wenyewe

 

Exit mobile version