KISWAHILI Examination Syllabus 102
* FORM 1
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
- Matamshi bora
1. Kiimbo
2. Shadda
3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/
4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/
,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/
5. Ala za sauti/kutamkia
6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m
ghuna,sighuna/hafifu,vipasuo,vikwamizo n.k
7. Silabi
8. Maneno
9. Vitate k.m baba,papa
10. Vitanza ndimi2. Maamkizi na mazungumuzo
1. Maamkizi na mazungumuzo ya: (i)Nyumbani (ii)Dukani
(iii)Mtaani (iv)Sokoni (v)Shuleni
2. Mahojiano k.m mwalimu na mwanafunzi
3. Mijadala k.m umoja na utangamano katika familia
4. Hotuba3. Ufahamu wa kusikiliza
1. Ufahammu wa taarifa za kusikiliza4. Kusikiliza na kudadisi
1. Utangulizi wa fasihi:(i)Maana (ii)Aina
2. Fasihi simulizi (i)Hadithi (ii)Semi (iii)Ushairi
3. Maigizo:Yategemee shabaha na muktadha k.m
jandoni,sherehe za arusi n.k2. SARUFI ZA MATUMIZI YA LUGHA
- Lugha
1. Maana ya dhima ya lugha
2. Sauti (i)Irabu/vokali (ii)Konsonanti (iii)Mpangilio
wa sauti katika silabi na maneno
3. Vipasho vya lugha:sauti-silabi-neno-sentensi2. Aina za maneno
1. Aina za maneno(i)Nomino-N (ii)Vitenzi-T
(iii)Viwakilishi-W (iv)Vivumishi-V
(v)Vielezi-E(vi)Viunganishi-U(vii)Vihusishi-U(viii)Vihusishi-I
2. Kubainisha maneno katika tungo k.m Mtoto analia3. Ngeli za nomino
1. A-WA,U-I,U-YA-YA-YA,LI-YA,KI-VI,I-ZI,I-I,U-ZI,U-U,KU,
PA-KU-MU4. Viambishi
1. Maana
2. Aina-awali -Tamati5. Nyakati na hali
1. Nyakati
2. Hali
3. Ukanushaji kutegemea6. Mnyambuliko wa vitenzi
1. Viambishi vya mnyambuliko
2. Kauli Za vitenzi (i)Kutenda
(ii)Kutendewa(iii)Kutendeka(iv)Kutendana(v)Kutendea(vi)Kutendwa(
vii)Kutendesha7. Sentensi ya kiswahili
1. Maana ya sentensi
2. Mpangilio na uhusiano wa maneno kimantiki katika
sentennsi ya kiswahili
3. Muundo wa sentensi
4. Sentensi sahili -Upambanuzi wa sentensi sahili
kuonysha muundo wake kwa njia ya mstari8. Uakifishaji
1. Alama za kuakifisha: 1.Nukta/kitone/kikomo(.) 2.
Mkato/kipumuo/kituo/koma(,) 3. Nukta mkato/semi koloni(;)
4.Nukta pacha/nukta mbili/koloni 5.Kiulizi/kiulizo(?) 6. Alama
hisi(!) 7.Alama mtajo/za kunukuu/za usemi(\”\”)
8.Mkwaju/mshazari(/) 9.Kistari kifupi(-) 10. Kistari (_)
11.Mstari 12.Ritifaa/kibainisha(\’)
13.Mabano/vifungo/Parandesi(),[] 14..Herufi kubwa (H) na
herufi ndogo(h) 15. Herufi nzito (Hh) 16.Herufi
mlazo/italiki(Hh) 17.Nukta za dukuduku/mdikezo(…) 18.
Kinyota(*)
9. Ukubwa na udogo10. Umoja na udogo
3. KUSOMA
- Kusoma kwa sauti
1. Sauti mwambatano k.m/kw/mb/mw/ng/nj/nd/n.k
2. Sentensi
3. Vifungu vya maneno na aya2. Kusoma kwa ufahamu
3. Kusoma kwa kina
1. Riwaya
2. Tamthilia
3. Ushairi
4. Kusoma kwa mapana
5. Matunizi ya maktaba
6. Matumizi ya kamusi4. KUANDIKA
- Uandishi wa kawaida
1. Majibu ya ufahamu
2. Muhtasari
3. Imla
4. Uchambuzi wa maandishi mbalimbali2. Utungaji wa kiuamilifu
1. Maana na dhima ya utungaji
2. Barua (i )Kirafiki (ii)Ramsi
3. Ratiba kama vile ya sherehe ya kuzaliwa
4. Tahadhari (i)Onyo (ii)Ilani
5. Matangazo
6. Maagizo/maelekezo
7. Kujaza fomu,stakabadhi na orodha
8. Taarifa
9. Mahojiano na dayolojia3. Uandishi wa insha
1. Maana na aina za insha (a)Picha (b)Mdokezo
(c)Maelezo (d)Masimulizi4. Utungaji wa kisanii
1. Mashairi mepesi
2. Hdithi fupi
3. Vitendawili,mafumbo na chemsha bongo* FORM 2
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMUZA
- Matamshi bora
1. Silabi tatanishi km
pa/ba,sa/sha,la/ra,cha/sha,za/sa n.k
2. Sauti tatanishi k.m b/mb,d/nd,g/ng,n.k
3. Vitate k.m kua/kuwa
4. Vitanza ndimi2. Maamkizi na mazungumzo
3. Ufahamu wa kusikiliza
4. Kusiliza na kudadisi2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
- Misingi ya maneno
2. Aina za maneno na migawanyo yake
1. Aina za maneno
2. Vivumishi
3. Vitenzi
4. Viwakilishi
5. Vielezi3. Vinyume
4. Nyakati na hali
5. Sentensi ya kiswahili
6. Mnyambuliko wa vitenzi
7. Uakifishaji
8. Usemi halisi na usemi wa taarifa
9. Uundaji wa maneno
10. Ukubwa na udogo
1. Ukanushaji
12. Umoja na wingi3. KUSOMA
- Kusoma kwa sauti
1. Sauti na maneno tatanishi k.m
p/b,s/sh,l/r,ch/sh,s/z(papa /baba,tata/dada,susu/zuzu)
2. Vitate k.m kua/kuwa,pua/bua,vua/fua
3. Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m
mbali/bali,kindani/kidani,buni/mbuni
4. Sentensi zenye maana tatanishi2. Kusoma kwa ufahamu
3. Kusoma kwa kina
1. Riwaya
2. Ushari
3. Tamthilia
4. Kusoma kwa mapana
5. Kusoma maktabani
6. Matumizi ya kamusi4. KUANDIKA
- Uandishi wa kawaida
1. Majibu ya ufahamu ya maandishi
2. Muhtasari
3. Imla2. Utungaji wa kiuamilifu
1. Barua (i)Rasmi (ii)Mialiko (iii)Risala (iv)Simu
2. Hotuba
3. Ratiba k.m siku ya wazazi shuleni
4. Matangazo
5. Tahadhari (i)Ilani (ii)Onyo
6. Maagizo/maelekezo
7. Shajara
8. Resipe
9. Orodha ya mambo
10. Taarifa
11. Mahojiano
12. Dayolojia3. Uandishi wa insha
1. Maelezo
2. Mazungumzo
3. Mdokezo
4. Methali4. Utungaji wa kisanii
1. Hadithi fupi
2. Mashairi
3. Michezo ya kuigiza* FORM 3
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
1. Maamkizi na mazungumzo
1. Maamkizi ya heshima na mazungumzo katika mazingira
2. Mahojiano kama vile baina ya watu wawili
3. Mjadala kama vile umoja wa kitaifa
4. Hotuba2. Ufahamu wa kusikiliza
3. Kusikiliza na kudadisi
1. Dhima ya fasihi kwa jumla
2. Umuhimu wa fasihi simulizi
3. Muainisho wa fasihi simulizi2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
- Omoja na wingi
1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa
mintaarafu ya: (a)Viulizi (b)Idadi (c)-A-unganifu (d)Virejeshi
\’O\’ na \’amba-\'(e)Visisitizi (f)Pekee (i)-enye (ii)-enyewe
(iii)-ote (iv)-o-ote (v)-ingine (vi)-ingineo
2. Vielezi
1. Vielezi vya: (a)Namna (b)Wakati (c)Idadi/kiasi
(d)Mahali
3. Viwakilishi
4. Mwingiliano wa maneno
5. Vitenzi - Mzizi wa kitenzi
2. Viambishi awali katika vitenzi
3. Viambishi tamati katika vitenzi
4. Vinyume vya vitenzi
5. Hali ya kuamrisha
6. Uundaji wa nomino
7. Sentensi ya kiswahili - Aina za (i)Virai (ii)Vishazi
2. Muundo wa sentensi
3. Aina za sentensi
4. Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya: (i)jedwali
(ii)mchoro wa matawi (iii)mstari8. Nyakati na hali
1. Nyakati -LI-,-NA-,-TA-
2. Hali ya,-KI-,-KA-,-A-,-PO-,-KU-
3. Ukanushaji
4. Uakifishaji
5. Mnyambulik wa vitenzi3. KUSOMA
- Kusoma kwa sauti
2. Kusoma kwa ufahamu
3. Kusoma kwa kina
4. Kusoma kwa mapana4. KUANDIKA - Uandishi wa kawaida
1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
2. Muhtasari
3. Tahakiki za kazi za kisanii2. Utungaji wa kiuamilifu
1. Barua
2. Ratiba k.m sherehe za arusi
3. Taharadhi (i)Ilani (ii)Onyo
4. Matangazo
5. Maagizo/maelekezo
6. Tawasifu
7. Wasifu
8. Resipe
9. Kumbukumbu
10. Ripoti
11. Mahojiano na dayolojia
12. Kujaza fomu na hojaji
13. Insha za kitaaluma k.m makala ya redio na runinga3. Uandishi wa insha
4. Utungaji wakisanii
1. Michezo ya kuigiza
2. Mikusanyiko ya kazi za fasihi simulizi
3. Mashairi* FORM 4
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
- Maamkizi na mazungumzo
2. Ufahamu wa kusikiliza
3. Kusikiliza na kudadisi
1. Sifa bainifu za fasihi simulizi na fasihi andishi
2. Muanisho wa fasihi simulizi (i)semi (ii)Masimulizi
ya hadithi (iii)Mazungumzo
3. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha
4. Ngomezi
5. Ushairi2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA - Ngeli za nomino
1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa
mintarafu ya: (i)Virejeshi \’O\’ na \’amba\’ (ii)Vivumishi
2. Aina mbalimbali za maneno
1. Viunganishi
2. Nomino
3. Vitenzi
4. Viwakilishi
5. Vivumishi
6. Vielezi
7. Vihusishi
8. Vihisishi3. Mwingiliano wa aina mbalimbali za maneno k.m kivumishi
kuwa nomino
4. Muundo wa sentensi ya kiswahili
5. Mnyamuliko wa vitenzi vya:
1. Asili ya kigeni
2. Silabi moja
3. Asili ya kibantu6. Nyakati na hali
1. Nyakati: LI,NA.TA
2. Hali:ME,HU,NGE,NGELI,NGALI,PO,A,KA,KI,KU
3. Hali ya kuamuru
4. Ukanushaji kutegemea nafsi7. Uakifishaji
8. Uundaji wa maneno
1. Nomino kutokana na mzizi wa nomino
2. Nomino kutokana na mzizi wa kitenzi
3. Kitenzi kutokana na mzizi wa nomino
4. Kivumishi kutokana na mzizi wa nomino
5. Nomino kutokana na mzizi wa kivumishi
6. Kivumishi kutokana na mzizi wa kitenzi
7. Kitenzi kutokanan na mzizi wa kivumishi
9. Matumizi ya maneno na viambishi maalum
10. Umoja na wingi3. KUSOMA
- Kusoma kwa sauti
2. Kusoma kwa ufahamu
3. Kusoma kwa kina
4. Kusoma kwa mapana4. KUANDIKA - Uandishi wa kawaida
1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
2. Muhtasari
3. Tahakiki za kazi za kisanii2. Utungaji wa kiuamilifu
3. Uandishi wa insha
1. Masimulizi
2. Mazungumzo
3. Mawazo
4. Maelezo