Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Newsblaze.co.ke
    • Home
    • Contact Us
    • Advertise With Us
    • Teachers’ Resources
    • Latest Education News
    • TSC News Portal
    • KUCCPS portal
    • Knec Schools Exams Portal
    • Search
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Newsblaze.co.ke
    Teachers' Resources

    Hillary KangwanaBy Hillary KangwanaMay 31, 2025

    MUDA: SAA 2

    JINA:____________________________________NAMBARI:________DARASA:_______

    1.INSHA (alama 20)

    Uhalifu umejaa kitongojini mwenu,andika hotuba ya chifu wa eneo lenu kwa wanakijiji.

    2.UFAHAMU

    SOMA TAARIFA IFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI YANAYOFUATA

    Wanasayansi wengi wameshidnwa kuelewa ni kwa nini watu huvuta sigara jambo hili kuwa moshi wa sigara huathiri wavutaji wa sigara na watu walio karibu nao na pengine huleta ugonjwa wa moyo. Wavutaji hupatwa na kikohozi cha adaima kisichosikia dawa, maisha hupata limuewatatiza binadamu kwa karne nyingi zilizopita na kuwaacha  rundo la maswali kuhusu uvutaji sigara.

    sigara au sigareti ni kitu cha uraibu wa kuvuta, kinachotengenezwa kwa majani ya tumbako yaliyokaushwa. Husokotwa katika karatasi maalum. Tumbako pia huvutwa kwenye kiko hunuswa na hutafunwa.. tumbako inayosagwa na kunuswa au kubwiwa huitwa ugoro.

    Hapana shaka wavutaji sigara huharibu afya yao. Wataalamu wa sayansi na madaktari wamefanya uchunguzi na wamethibitisha maradhi mfano wa pumu kutokana na moshi wa sigara unaowakereta koo. Kuna pia wanaosema kwamba uvutaji sigara unasababisha saratani ya mapafu. Watu wengi hufa kwa ugonjwa wa ghafla kwa sababu ya sumu ya moshi wa sigara  ambao hutunguza na kuyatoboatoboa mapafu.

    Baadhi ya wavuta sigara hutupa vipande vya sigara ovyo bila kuzimwa na hivyo husababisha hasara kubwa kama vile uchomaji wa misitu, nyumba na nguo na wakati mwingine husababisha hata vifo. Uvutaji sigara umefika kiwango cha kusikitisha, utaona vijana yaaniwasichana na wavulana  wadogo sana, wakivuta sigara mbele ya watu wazima bila kujali hii ni aibu kubwa sana.

    Tabia hii inatokana na mifano wanayoiona kutoka kwa wazazi wao au watu wengine. Si ajabu kumsikia mzazi akimtuma mwanawe akamununulie pakiti ya sigara au kopo la tumbako. Wazazi  kama hao huwafanya watoto wavute sigara ili nao wajione kama  ni watu wazima.

    Sababu nyingine ya kuvuta sigara ni kutaka kujionyesha ati wana nakidi na kwao, au umaarufu. Hivyo basi sigara hazifai kupatiwa matangazo yenye kuvutia kwa vijana.

    Aina nyingine ya uaraibu ni uvutaji bangi. Bangi ni aina ya mimea Fulani unaolevya na kupumbuza akili yanapotafunwa au kuvutwa. Wavuta bangi kwa hakika hupatwa na baa nyingi mwilini. Hukonda na huvaringika akili sijue wanalofanya. Wataalamu husema bangi ikiingia akilini, huharibu kitivo cha fikira mpaka mtu huwa kama mwenda wazimu.

    Ni muhimu wazazi na walimu wawakataze na wawakanye watoto wasishiriki katika tabia hizi mbaya.

    MASWALI

    1. Ipe taaarifa uliyosoma kichwa mwafaka.       (alama 2)

    1. Taja madhara ya sigara katika afya zetu.  (alama 4)

    1. Sababu zipi hufanya watu huvuta sigara. (alama 3)

    1. Taja jukumu la wazazi na walimu dhidi ya uvutaji sigara wa vijana ni lipi? (alama 2)

    1. Hasara gani zinazopatikana katika mazingira yetu kutokana na uvutaji sigara (alama 2)

    1. Fafanua maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa katika habari hii       (alama 2)
    • Uraibu

    • Nakidi

    1. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 30)
    2. a) Eleza tofauti kati ya sauti hizi : (alama 2)

    /r/ na /l/

    b)Onyesha silabi inayowekwa shadda kwenye maneno haya : (alama 2)

    1. Karatasi
    2. Samahani
    3. c) Andika ukubwa wa: (alama 2)
    4. Mti
    5. Kiatu

    d)Kanusha sentensi hii katika wingi:  (alama 2)

    Kifaru anapatikana mbugani

    e)Andika sentensi zifuatazo kwa kutumia kirejeshi amba-   (alama 2)

    Mabondia hawa ni wale waliotuwakilisha hivi majuzi huku Ushelisheli.

    1. f) Eleza maana ya kiimbo (alama 2)

    1. g) Onyesha viambishi awali na tamati katika : (alama 2)

    Uliotatizika

    h)Tunga sentensi yenye sehemu hizi:  (alama 2)

    N+V+T+E

    g)Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii:   (alama 2)

    Alimpigia mpira.

    h)Andika sentensi hii katika hali ya udogo:  (alama 2)

    Watu wale ni weusi tititi hawaonekani gizani.

    i)Sahihisha sentensi  ifuatayo: (alama 2)

    Musa alienda sokoni alikonunua ng’ombe mbili.

    j)Eleza maana ya misemo ifuatayo:   (alama 2)

    1. Vaa miwani

    1. Kula kalenda
    2. k) Taja matumizi mawili ya kistari kifupi: (alama 2)

    l)Andika maneno yenye sauti mwambatano zenye miundo hii: (alama 4)

    1. I+I

    1. K+K+I
    • K+K+K+I

    1. K+I+I

    FASIHI SIMULIZI                                                                                                (ALAMA 5)

    1. a) Eleza umuhimu wa nyimbo

    MWONGOZO

    JINA:____________________________________ NAMBARI:____________________DARASA:_______

    1.INSHA (alama 20)

    Uhalifu umejaa kitongojini mwenu,andika hotuba ya chifu wa eneo lenu kwa wanakijiji.

    a)KICHWA

    Kiandikwe kwa herufi kubwa na kupigiwa mstari

    Kiwe kikamilifu na cha kueleweka moja kwa moja

    Neno “hotuba” lazima liwe

    b)Utangulizi

    salamu zikiwepo ziwe zimefuata itifaki, kuanzia vyeo vya juu hadi vya chini.

    Kiini cha hotuba kitajwe.

    c)Mwili

    Ujumbe uelezwe kwa kina

    Vipengele vya kuzingatia ni kama vile:

    • Matumizi ya dawa za kulevya
    • Ukosefu wa ajira
    • Umaskini
    • Kulipa kisasi
    • Kutotendewa haki
    • Kuogopa aibu na kulinda hadhi
    • Wivu wa mali

    d)Hitimisho

    2.UFAHAMU

    SOMA TAARIFA IFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI YANAYOFUATA

    Wanasayansi wengi wameshidnwa kuelewa ni kwa nini watu huvuta sigara jambo hili kuwa moshi wa sigara huathiri wavutaji wa sigara na watu walio karibu nao na pengine huleta ugonjwa wa moyo. Wavutaji hupatwa na kikohozi cha adaima kisichosikia dawa, maisha hupata limuewatatiza binadamu kwa karne nyingi zilizopita na kuwaacha  rundo la maswali kuhusu uvutaji sigara.

    sigara au sigareti ni kitu cha uraibu wa kuvuta, kinachotengenezwa kwa majani ya tumbako yaliyokaushwa. Husokotwa katika karatasi maalum. Tumbako pia huvutwa kwenye kiko hunuswa na hutafunwa.. tumbako inayosagwa na kunuswa au kubwiwa huitwa ugoro.

    Hapana shaka wavutaji sigara huharibu afya yao. Wataalamu wa sayansi na madaktari wamefanya uchunguzi na wamethibitisha maradhi mfano wa pumu kutokana na moshi wa sigara unaowakereta koo. Kuna pia wanaosema kwamba uvutaji sigara unasababisha saratani ya mapafu. Watu wengi hufa kwa ugonjwa wa ghafla kwa sababu ya sumu ya moshi wa sigara  ambao hutunguza na kuyatoboatoboa mapafu.

    Baadhi ya wavuta sigara hutupa vipande vya sigara ovyo bila kuzimwa na hivyo husababisha hasara kubwa kama vile uchomaji wa misitu, nyumba na nguo na wakati mwingine husababisha hata vifo. Uvutaji sigara umefika kiwango cha kusikitisha, utaona vijana yaaniwasichana na wavulana  wadogo sana, wakivuta sigara mbele ya watu wazima bila kujali hii ni aibu kubwa sana.

    Tabia hii inatokana na mifano wanayoiona kutoka kwa wazazi wao au watu wengine. Si ajabu kumsikia mzazi akimtuma mwanawe akamununulie pakiti ya sigara au kopo la tumbako. Wazazi  kama hao huwafanya watoto wavute sigara ili nao wajione kama  ni watu wazima.

    Sababu nyingine ya kuvuta sigara ni kutaka kujionyesha ati wana nakidi na kwao, au umaarufu. Hivyo basi sigara hazifai kupatiwa matangazo yenye kuvutia kwa vijana.

    Aina nyingine ya uaraibu ni uvutaji bangi. Bangi ni aina ya mimea Fulani unaolevya na kupumbuza akili yanapotafunwa au kuvutwa. Wavuta bangi kwa hakika hupatwa na baa nyingi mwilini. Hukonda na huvaringika akili sijue wanalofanya. Wataalamu husema bangi ikiingia akilini, huharibu kitivo cha fikira mpaka mtu huwa kama mwenda wazimu.

    Ni muhimu wazazi na walimu wawakataze na wawakanye watoto wasishiriki katika tabia hizi mbaya.

    MASWALI

    1. Ipe taaarifa uliyosoma kichwa mwafaka.              (alama 2)                                                                                           

    Uvutaji sigara

    1. Taja madhara ya sigara katika afya zetu.  (alama 4)

    Huunguza na kutoboa mapafu

    Husababisha saratani ya mapafu

    Hupata maradhi ya pumu

    Kufa kwa ugonjwa wa ghafla

    1. Sababu zipi hufanya watu kuvuta sigara. (alama 3)                                                                                          Kujiona wana nakidi ya pesa

    Watoto huiga mifano ya wazazi wao

    Hutokana na matangazo ya kuvutia

    1. Taja jukumu la wazazi na walimu dhidi ya uvutaji sigara wa vijana ni lipi?            (alama 2)

    Wazazi na walimu wa wakanya  vijana kuvuta sigara

    1. Hasara gani zinazopatikana katika mazingira yetu kutokana na uvutaji sigara (alama 2)                                

    Msitu huchomeka,nguo na nyumba

    1. Fafanua maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa katika habari hii                 (alama 2)                                            
    • Uraibu-uzoefu,kupenda sana
    • Nakidi- pesa taslimu

    1. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 30)
    2. a) Eleza tofauti kati ya sauti hizi : (alama 2)

                    /r/ na /l/

                    /r/ ni kimadende na /l/ ni kitambaza

    b)Onyesha silabi inayowekwa shadda kwenye maneno haya : (alama 2)

    1. Karatasi- Kara’tasi
    2. Samahani-Sama’hani
    3. c) Andika ukubwa wa: (alama 2)
    4. Mti- Jiti
    5. Kiatu-Jiatu

    d)Kanusha sentensi hii katika wingi:  (alama 2)

                    Kifaru anapatikana mbugani

    Vifaru hawapatikani mbugani.

    e)Andika sentensi zifuatazo kwa kutumia kirejeshi amba-   (alama 2)

                    Mabondia hawa ni wale waliotuwakilisha hivi majuzi huku Ushelisheli.

    Mabondia hawa ni wale ambao walituwakilisha hivi majuzi huku Ushelisheli.

    1. f) Eleza maana ya kiimbo (alama 2)

    Kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti

    1. g) Onyesha viambishi awali na tamati katika : (alama 2)

                    Uliotatizika

    U-li-o viambishi awali

    i-ka viambishi tamati

    h)Tunga sentensi yenye sehemu hizi:  (alama 2)

                    N+V+T+E

    Mwanafunzi bora alituzwa jana. (mwalimu akadirie mifano zaidi)

    (mwalimu akadirie miundo ingine mwafaka)

    g)Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii:   (alama 2)

                    Alimpigia mpira.

    Alipiga kwa niaba yake

    Aliupiga mpira kwenda upande wake

    h)Andika sentensi hii katika hali ya udogo:  (alama 2)

                    Watu wale ni weusi tititi hawaonekani gizani.

    Vijitu vile ni vyeusi  tititi havionekani gizani.

    i)Sahihisha sentensi  ifuatayo: (alama 2)

    Musa alienda sokoni alikonunua ng’ombe mbili.

    Musa alienda sokoni alikonunua ng’ombe wawili.

    j)Eleza maana ya misemo ifuatayo:   (alama 2)

    1. Vaa miwani- kulewa
    2. Kula kalenda- Fungwa jela
    3. k) Taja matumizi mawili ya kistari kifupi: (alama 2)

    kuandika tarehe km 03-03-2021

    kuonyesha neno linaendelea katika mstari unaofuata

    kutenga silabi na nyingine hasa katika ufunzaji wa Ushairi

    kutenga neno au sentensi na ufanunuzi

    (mwalimu akadirie maelezo na mifano)

    l)Andika maneno yenye sauti mwambatano zenye miundo hii: (alama 4)

    1. I+I-oa
    2. K+K+I- m-cha
    3. K+K+K+I-mbwa
    4. K+I+I-kaa

    FASIHI SIMULIZI (alama 5)

    1. a) Eleza umuhimu wa nyimbo

    Kuburudisha

    Kukejeli

    Kuasa

    Kupata riziki

    Kuhifadhi na kuendeleza utamaduni

    Kutimiza shughuli mbalimbali

    form 2 exams 2020 pdf download form 2 exams 2022 form 2 exams pdf form 2 exams with marking scheme form 2 revision papers term 1 pdf download form 2 revision papers with answers form 2 revision papers with answers 2021 form 2 revision papers with answers pdf
    Previous ArticleNew TSC Payslip Login Portal- TPay
    Next Article Nandi County NHIF Outpatient/ Inpatient Hospitals For Civil Service and Disciplined Services- Location, Contacts, Requirements
    Hillary Kangwana
    • Website

    Related Posts

    Grade 7 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    Grade 9 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    Grade 6 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    Grade 8 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    Form 3 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    Form 2 Term 3 Schemes of Work

    Teachers' Resources
    Read More

    GRADE 8 AGRICULTURE & NUTRITION NOTES

    Teachers' Resources
    Read More

    GRADE 9 KISWAHILI LESSON NOTES

    Teachers' Resources
    Read More

    GRADE 9 ENGLISH LESSON NOTES

    Teachers' Resources
    Read More

    LATEST NEWS.

    • Rutune Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St. John Thunguri Orthodox Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Kaharo Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Muirungi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St Mary’s Karuthi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Witima Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Kagumo Mixed Day Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Iriaini Girls High School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Kihuri Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Othaya Boys High School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Ihuririo Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Birithia Girls Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Karima Boys High School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Gitundu Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Munyange Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • TSC now requires master’s degree for Schol Principals and Deputies
    • TSC accussed for mishandling teachers’ hardship allowances
    • TSC unveils a new Medical Scheme For Teachers To Replace Minet
    • End of an Era: TSC Medical Scheme AON Minet to be replaced by SHA
    • TSC Pressed hard on the status of teachers’ medical scheme and the government’s policy on hardship, housing, and other allowances for teachers.
    • Only 17,400 schools verified and have received capitation
    • Lecturers down tools in a strike that paralyzes learning in Universities
    • There are over 50,000 ‘ghost’ learners costing taxpayers Sh1bn annually
    • All University Students to get Funding- CS Ogamba Says
    • PETITION TO THE NATIONAL ASSEMBLY FOR THE RECOGNITION OF JUNIOR SECONDARY SCHOOLS AS FULLY INDEPENDENT INSTITUTIONS

    TSC NEWS TODAY

    • TSC accussed for mishandling teachers’ hardship allowances
    • TSC urged to deploy female teachers at Kabuto primary school
    • TSC CIRCULAR ON CONDUCTING OF PROMOTIONAL INTERVIEWS FOR TEACHERS AND CURRICULUM SUPPORT OFFICERS (CSOs) IN 2025/2026 FINANCIAL YEAR
    • TSC Gives New Factors to be consider when transferring teachers
    • TSC to reduce CBA review cycle to 2 years

    KNEC LATEST NEWS

    • Rutune Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St. John Thunguri Orthodox Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Kaharo Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Muirungi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St Mary’s Karuthi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}

    KUCCPS NEWS

    • KUCCPS Admission Letters for all Universities in Kenya
    • KUCCPS Announces Teacher Upgrade Training and TVET Intakes
    • Diploma in Primary Teacher Education (Teacher Upgrade Programme): How to apply, requirements
    • Kuccps application link for P1 and ECDE upgrade
    • Kuccps announces 45,544 slots for upgrade of P1 or ECDE Certificate holders

    EDUCATION NEWS

    • Only 17,400 schools verified and have received capitation
    • Lecturers down tools in a strike that paralyzes learning in Universities
    • There are over 50,000 ‘ghost’ learners costing taxpayers Sh1bn annually
    • All University Students to get Funding- CS Ogamba Says
    • PETITION TO THE NATIONAL ASSEMBLY FOR THE RECOGNITION OF JUNIOR SECONDARY SCHOOLS AS FULLY INDEPENDENT INSTITUTIONS

    KMTC NEWS

    • KMTC intake for September 2025 {Applications help}
    • PCEA Ongata Booth Girls School CBE Subjects, Pathways, Contacts {Full Details}
    • Langata Barracks Secondary School CBE Subjects, Pathways, Contacts {Full Details}
    • Langata High School CBE Subjects, Pathways, Contacts {Full Details}
    • Farasi Lane Secondary School CBE Subjects, Pathways, Contacts {Full Details}

    HELB NEWS TODAY

    • Helb loans 2025/2026: All you need to know
    • HELB asks teachers to help in identifying needy students
    • Helb Student Portal Online- Register, Login
    • Helb Statement- TVET Loan applications for 2019/2020 Financial Year; Loan amounts and application details
    • How to apply for Helb Loan (First and Subsequent Loans)

    UNIVERSITIES AND COLLEGES

    • Bungoma National Polytechnic Courses, Contacts, Fees, Location and How To Apply
    • Taita Taveta National Polytechnic Courses, Contacts, Fees, Location and How To Apply
    • Sigalagala National Polytechnic Courses, Contacts, Fees, Location and How To Apply
    • Nyeri National Polytechnic Courses, Contacts, Fees, Location and How To Apply
    • Nyandarua National Polytechnic Courses, Contacts, Fees, Location and How To Apply

    TEACHERS' RESOURCES

    • Grade 7 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 9 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 6 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 8 Term 3 Schemes of Work
    • Form 3 Term 3 Schemes of Work
    • Form 2 Term 3 Schemes of Work
    • GRADE 8 AGRICULTURE & NUTRITION NOTES
    • GRADE 9 KISWAHILI LESSON NOTES
    • GRADE 9 ENGLISH LESSON NOTES
    • Free Grade 8 Integrated Science Notes
    • Free Grade 8 Creative Arts and Sports Notes
    • FREE GRADE 9 SOCIAL STUDIES NOTES
    • FREE GRADE 9 SOCIAL STUDIES NOTES
    • FREE GRADE 8 PRETECHNICAL NOTES
    • FREE GRADE 8 CRE NOTES
    • Form 3 Agriculture Schemes of Work Term 3
    • FORM 2 BIOLOGY SCHEME OF WORK TERM 3
    • FORM 2 AGRICULTURE SCHEME OF WORK TERM 3
    • GRADE 1 CREATIVE ARTS SCHEMES OF WORK 
    • FORM 3 BIOLOGY SCHEME OF WORK TERM 3
    • Grade 9 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Grade 8 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Grade 7 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Grade 7 Notes {All Subjects}
    • Maseno School 2025 Pre-mock Exams
    • KCSE 2025 Revision Exams {Full Papers}
    • Grade 7 Free Exams and Marking Schemes
    • Grade 8 Targeter Exams {All Subjects and Answers}
    • Grade 9 Targeter Exams {All Subjects and Answers}
    • Grade 9 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 4 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 6 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 5 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 2 Term 2 Exams {Plus Answers}
    • Grade 7 Term 2 Exams {Plus Answers}
    • Grade 9 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • Grade 7 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • Grade 6 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • KCSE Exam Papers for all subjects plus marking schemes
    • KCSE English Set Books Writing Tips and Skills
    • Free Latest CBC Schemes of work for lower and upper primary schools
    • Full list of 2019 Wealth Declaration non-compliant teachers Per County- Siaya County
    • Biology Form One Termly Exams and Marking Schemes Free
    • BIOLOGY ECOLOGY NOTES FREE
    • JESMA EXAMS CLASS 8
    • Grade 3 CBC updated & rationalized Schemes of Work
    • Best Grade 7 CBC Topical Revision and Questions for all subjects
    • Free CBC Grade 4, 5 & 6 Notes, Exams Downloads
    • Computer Studies KCSE Mock Exams and Answers {Latest Best Collections}
    • HISTORY AND GOVERNMENT PAPER 1 KCSE REVISION BOOKLET

    BANKS AND MOBILE LOANS

    • Crypto’s Quiet Revolution: How Africa Is Rewriting The Rules Of Finance
    • META COLLAPSES ALONG WITH HIS METAVERSE
    • Which Cryptocurrency Would Explode Next?
    • Famous Gold-Backed Cryptocurrencies For 2022
    • Innovations Post-Bitcoin: Exploring Cryptos that Evolved from BTC

    HEALTH AND NUTRITION

    • Turkana County NHIF Inpatient Hospitals, Location, Contacts
    • Dental NHIF/ SHIF Hospitals in Kenya: Kakamega County Comprehensive list of NHIF Dental Accredited Hospitals
    • New Consolidated NHIF List of benefits, Services to members
    • Isiolo County NHIF Outpatient/ Inpatient Hospitals For Civil Service and Disciplined Services- Location, Contacts, Requirements
    • West Pokot County NHIF Latest List of Approved Facilities/ Hospitals: Location, Contacts, Services, Hospital Type and Code
    • Advertisement
    • Banks and Money
    • BEST TOP TEN
    • Breaking News
    • Cheap Mobile Loans
    • Crimes and Courts
    • Editorial
    • Featured
    • FREE KCPE REVISION MATERIALS
    • General News
    • Health & Nutrition tips
    • HELB Portal
    • How to, Did You Know?
    • IEBC KENYA NEWS
    • Insurance news
    • International news
    • Jobs
    • KCSE Revision Materials
    • KMTC News Portal
    • KNEC News
    • KNEC News Portal
    • Knec Schools Exams Portal
    • Knec Schools Portal
    • KNUT NEWS
    • KRA Portal
    • KSSSA Portal
    • KUCCPS portal
    • KUPPET
    • Latest Education News
    • NSSF PORTAL
    • NTSA Service Portal
    • Politics & Govt
    • Sponsored
    • Sports
    • Teachers' Resources
    • Tech News
    • Trending
    • TSC Latest News
    • TSC News Portal
    • Uncategorized
    • Universities & Colleges information
    • Universities and Colleges
    LATEST NEWS
    • Rutune Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St. John Thunguri Orthodox Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Kaharo Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • Muirungi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    • St Mary’s Karuthi Secondary School’s CBE Subjects, Pathways, Contacts, Location, Fees, Admission {Full Details}
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Contact Us
    • Advertise With Us
    • Teachers’ Resources
    • Latest Education News
    • TSC News Portal
    • KUCCPS portal
    • Knec Schools Exams Portal
    • Search
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.