• Sun. May 11th, 2025

    Newsblaze.co.ke

    A site providing Education, TSC, Universities, Helb, Sports and Kuccps news

    Kiswahili Grade 6 CBC Free Schemes of Work

    ByHillary Kangwana

    Mar 24, 2025
    AZIMIO LA KAZI YA KISWAHILI GREDI 6 MUHULA 3

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

    NAME

     
     

    TSC NO.

     
     

    SCHOOL

     

     

     

    WikiKipindiMada kuuMada ndogoMatokeo maalum yanayotarajiwaShughuli za ujifunzajiMaswali dadasiNyenzoMapendekezo ya tathminiMaoni
    11Wanyama wa MajiniSarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutendeanaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana.

    c)       Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana.

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendeana katika mawasiliano.

    Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi

     

    Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana

     

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana.

    Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuzileta maana mbalimbali?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 139-141

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2Wanyama wa MajiniKauli ya kutendeshaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha

    c)       Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendesha katika mawasiliano.

    Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi

     

    Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha

     

    Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha

    Kauli ya kutendesha inahusu nini?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 142-144

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3Wanyama wa MajiniKauli ya kutenduaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua

    c)       Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendua katika mawasiliano.

    Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi

     

    Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua.

     

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua

    Je, mmegundua nini kuhusu kauli ya kutendua?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 145-147

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4Afya ya AkiliKusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo ya kimuktadhaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.

    c)       Kuigiza mazungumzo

    ya muktadha wowote rasmi.

    Mwanafunzi aweze kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi

     

    Mwanafunzi aweze kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo

    Je, ni wapi katika shughuli za kila siku watu huitumia lugha rasmi na lugha isiyo rasmi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 148-151

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     

     

        d) Kufurahia matumizi ya lugha rasmi.ya muktadha wowote rasmi Vifaa vya kidijitali  
    21Afya ya AkiliKusoma kwa mapana; MatiniKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma matini, ‘Kusudi na Unga wa Ajabu’

    b)      Kutambua msamiati mpya uliotumika katika matini.

    c)       Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali.

    Wanafunzi wakiwa wawili waweze kusoma matini, ‘Kusudi na Unga wa Ajabu’

     

    Mwanafunzi aweze kutambua msamiati mpya uliotumika katika matini

    Je, ni habari zipi unazopenda kuzisoma kwenye vyanzo mbalimbali vya matini?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 151-153

     

    Kapu maneno Kamusi

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2Afya ya AkiliKuandika insha; Insha ya maelezoKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.

    b)      Kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo.

    c)       Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha.

    d)      Kuchangamkia utunzi mzuri w insha ili kuimarisha uandishi.

    Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.

     

    Mwanafunzi aweze kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo.

     

    Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha.

    Je, ni mada gani zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo?

     

    Je, insha nzuri ya maelezo ina muundo gani?

    Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 154-157

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3Afya ya AkiliKuandika insha; Insha ya maelezoKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi.

    b)      Kusoma insha ya maelezo, ‘Faida za Afya ya Akili’

    c)       Kufurahia kuandika insha ya maelezo.

    Mwanafunzi aweze kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi

     

    Mwanafunzi aweze kusoma insha ya maelezo, ‘Faida za Afya ya Akili’

    Je, ni mawazo yapi yanayojitokeza katika insha ya maelezo mlioisoma?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 154-157

     

    Kapu maneno Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4Afya ya AkiliSarufi; Vinyume vya vivumishiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake.

    b)      Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi.

    c)       Kuonea fahari matumizi ya vinyume vya vivumishi.

    Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake

     

     

    Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi.

    Je, umegundua nini kuhusu vinyume vya vivumishi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 157-159

     

    Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    31Kukabiliana na UgaidiKusikiliza na Kuzungumza; Sitiari za tabiaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kueleza maana ya neno sitiari.

    b)      Kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane.

    c)       Kusoma kifungu, ‘Ushauri wa Nyanya’

    d)      Kutambua Sitiari za tabia katika sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    e)       Kuchangamkia matumizi ya sitiari

    Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno sitiari.

     

    Mwanafunzi aweze kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane

     

    Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, ‘Ushauri wa Nyanya’

     

    Mwanafunzi aweze kutambua Sitiari za tabia katika sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha

    mwanafunzi.

    Je, ni maneno gani ambayo mnaweza kuyatumia kukilinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 161-163

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     

     

              
     2Kukabiliana na UgaidiKusoma kwa mapana; Matini za kidijitaliKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali.

    b)      Kujadiliana kuhusu majina ya misimu.

    c)       Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.

    d)      Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali.

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali

     

    Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu.

     

    Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu

    Ni hatua gani za kiusalama mnazozingatia mnapotafuta habari mtandaoni?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 164-165

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3Kukabiliana na UgaidiKusoma kwa mapana; Matini za kidijitaliKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma matini, ‘Tabuleti ya Najuta’

    b)      Kutambua msamiati mpya alioisoma.

    c)       Kuchangamkia hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali

    Mwanafunzi aweze kusoma matini, ‘Tabuleti ya Najuta’

     

    Mwanafunzi aweze kutambua msamiati mpya alioisoma.

    Je, mnazikumbuka habari gani mlizisoma mtandaoni?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 165-167

     

    Kapu maneno Kamusi

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4Kukabiliana na UgaidiKuandika insha; Insha za masimuliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kueleza sifa za insha ya masimulizi.

    b)      Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali.

    c)       Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.

    Mwanafunzi aweze kueleza sifa za insha ya masimulizi.

     

    Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali

    Insha ya masimulizi ina sifa gani?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 167-168

     

    Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    41Kukabiliana na UgaidiKuandika insha; Insha za masimuliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma insha, ‘Safari ya kesho hupangwa leo’

    b)      Kujadili kuhusu uhusiano wa vidokezo na maudhui ya insha alioisoma.

    c)       Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.

    Mwanafunzi aweze kusoma insha, ‘Sarufi ya kesho hupangwa leo’

     

    Mwanafunzi aweze kujadili kuhusu uhusiano wa vidokezo na maudhui ya insha alioisoma.

    Je, unazingatia mambo gani ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 168-170

     

    Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2Kukabiliana na UgaidiKuandika insha; Insha za masimuliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia.

    b)      Kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho.

    c)       Kuonea fahari umuhimu wa insha za masimulizi.

    Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia

     

    Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho

    Insha ya masimulizi inahusu nini?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 170-171

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3Kukabiliana na UgaidiSarufi; Matumizi ya lugha: Hali ya

    masharti -nge

    Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kutambua viambishiJe, mnaeleza vipi iwapo hamkulifanya

    jambo fulani

    Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha

    Mwanafunzi

    Kutunga sentensi Kujibu

    maswali

     

     

        a)       Kutambua viambishi vya hali ya masharti nge katika sentensi.

    b)      Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – nge

    c)       Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –nge

    d)      Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -nge

    vya hali ya masharti nge katika sentensi

     

    Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –nge

     

    Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –nge

    kutokana na Ukosefu wa kitu, jambo au mtu?Gredi ya 6,

    Uk. 171-173

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4Kukabiliana na UgaidiHali ya masharti – ngaliKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi.

    b)      Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – ngali

    c)       Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ngali

    d)      Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ngali

    Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi

     

    Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –ngali wakiwa katika vikundi.

     

    Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ngali

    Je, mmegundua nini kuhusu kiambishi cha hali ya masharti ngali?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 173-175

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    51Kukabiliana na UgaidiHali ya masharti -kiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutambua kiambishi cha hali ya masharti – ki katika sentensi.

    b)      Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – ki

    c)       Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ki

    d)      Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ki

    Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti -ki katika sentensi

     

    Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –ki wakiwa katika vikundi.

     

    Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ki

    Kiambishi cha hali ya masharti

    –ki ina umuhimu gani?

    Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 176-178

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2Kukabiliana na UgaidiHali ya masharti -kiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama.

    b)      Kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti.

    c)       Kutathmini matumizi ya hali ya masharti.

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama

     

    Mwanafunzi aweze kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti

    Ni masomo yapi mengine huzishughulikia hali ya masharti?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 178

     

    Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3UshuruKusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimuliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali.

    c)       Kufurahia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Wanafunzi wakiwa wawili waweze kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali

    Je, ni masimulizi gani mmewhi kuyasikiliza yakisimuliwa?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 179-180

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4UshuruKusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimuliziKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:

    a) Kusikiliza

    masimulizi, ‘Ukombozi wa Nchi

    Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi, ‘Ukombozi wa Nchi ya

    Pepe’ yakisimuliwa na mwalimu

    Je, masimulizi ya Ushuru yana umuhimu gani?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha MwanafunziKutunga sentensi Kujibu

    maswali Kujaza pengo

     

     

        ya Pepe’ yakisimuliwa na mwalimu.

    b)      Kujadili namna mwalimu amezitumia ishara zifaazo ili kuimarisha usimulizi wake.

    c)       Kufurahia kutoa masimulizi.

     

    Mwanafunzi aweze kujadili namna mwalimu amezitumia ishara zifaazo ili kuimarisha usimulizi wake.

    Je, ni mada gani mnazoweza kuzitolea masimulizi?Gredi ya 6,

    Uk. 180-181

     

    Kapu maneno Mabango Kamusi

    Vifaa vya kidijitali

    Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    61UshuruKusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimuliziKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze;

    a)       Kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali.

    b)      Kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali.

    c)       Kuchangamkia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha.

    Mwanafunzi aweze kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali. wakiwa katika vikundi.

     

    Wanafunzi waweze kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali

    Ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 181-182

     

    Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2UshuruKusoma kwa ufahamu; KifunguKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu.

    b)      Kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.

    c)       Kuchangamkia kutumia msamiati wa Ushuru.

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu

     

    Mwanafunzi aweze kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi

    Je, ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 182

     

    Kapu maneno Kamusi Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3UshuruKusoma kwa ufahamu; KifunguKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma kifungu, ‘Nguzo ya Ufanisi’

    b)      Kutunga maswali kwa zamu kutokana na kifungu.

    c)       Kujadiliana maana ya msamiati kutokana na kifungu.

    d)      Kutaja faida za kulipa Ushuru

    e)       Kutathmini faida za kulipa Ushuru.

    Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu, ‘Nguzo ya Ufanisi’

     

    Mwanafunzi aweze kutunga maswali kwa zamu kutokana na kifungu.

     

    Wanafunzi wakiwa wawili waweze kujadiliana maana ya msamiati kutokana na kifungu

     

    Mwanafunzi aweze kutaja faida za kulipa Ushuru

    Je, mnafanya nini ili kujua maana za msamiati uliotumiwa katika vifungu?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 183-185

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4UshuruKuandika barua; Barua rasmiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kueleza maana ya barua rasmi.

    b)      Kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi.

    c)       Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo.

    d)      Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.

    Mwanafunzi aweze kueleza maana ya barua rasmi.

     

    Mwanafunzi aweze kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi.

     

    Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo.

    Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 185-186

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    71UshuruKuandika barua; Barua rasmiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a) Kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua

    rasmi

    Katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi

    zilizochapishwa

    Barua rasmi ina umuhimu gani katika mawasiliano?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 186-188

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo 

     

        zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti.

    b)      Kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.

    c)       Kuonea fahari umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.

    kwenye vitabu au magazeti.

     

    Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.

      

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     2UshuruSarufi; Ukanushaji wa maneno: Kiambishi cha hali ya masharti ngeKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    c)       Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge.

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti nge

    Mwanafunzi aweze kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi

    Mwanafunzi aweze Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge

    Je, mnavitumia viambishi gani wakati wa kuvikanusha vitenzi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 189-191

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3UshuruKiambishi cha hali ya masharti ngaliKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.

    c)       Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ngali.

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti ngali.

    Mwanafunzi aweze kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi

    Mwanafunzi aweze Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ngali.

    Je, umegundua nini kuhusu kiambishi cha hali ya masharti ngali?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 192-194

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4UshuruKiambishi cha hali ya masharti kiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kusikiliza sentensi zenye viambishi vya masharti ki zikisomwa kupitia kifaa cha kidijitali.

    c)       Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ki

    d)      Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti ki.

    Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kusikiliza sentensi zenye viambishi vya masharti ki zikisomwa kupitia kifaa cha kidijitali.

     

    Mwanafunzi aweze kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ki

    Je, ni viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi vipi?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 1194-197

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    81UshuruUkubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za ukubwa.

    b)      Kutambua ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi.

    c)       Kuonea fahari matumizi ya ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-

    Mwanafunzi aweze kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za ukubwa

     

    Mwanafunzi aweze kutambua ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi.

    Je, mmegundua nini kuhusu viambishi vya nomino?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 197-199

     

    Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     

     

     2UshuruUdogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za udogo.

    b)      Kutambua udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi.

    c)       Kuonea fahari matumizi ya udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-

    Mwanafunzi aweze kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za udogo

     

    Mwanafunzi aweze kutambua udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi.

    Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ki- katika hali ya udogo?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 199-201

     

    Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     3UshuruUkubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-

    b)      Kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.

    c)       Kutambua viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa.

    d)      Kuonea fahari matumizi ya ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-

    Mwanafunzi aweze kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- wakiwa katika vikundi.

     

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa

    Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji-?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 202-204

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
     4UshuruUdogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:

    a)       Kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.

    b)      Kutambua viambishi vya nomino katika hali ya udogo.

    c)       Kuandika sentensi zilizo na nomino za udogo ambazo huanza kwa kiambishi ji- katika hali ya wastani.

    d)      Kuonea fahari matumizi ya udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-

    Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.

     

    Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nomino katika hali ya udogo.

     

    Mwanafunzi aweze kuandika sentensi zilizo na nomino za udogo ambazo huanza kwa kiambishi ji- katika hali ya wastani.

    Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji- katika hali ya udogo?Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,

    Uk. 204-206

     

    Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha

    Vifaa vya kidijitali

    Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo

    Kazi mradi

     
    9TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA