AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 5-6 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | |
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Fasihi simulizi na fasihi andishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Utendaji wa wanafunzi | C. Kuhenga Fasihi simulizi na tamathali za usemi KLB BK 4 UK 4-19 Chem BK 4 UK 4 | |
2 | Isimu Jamii Maana, lugha na mawasiliano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | I.I Odeon a M. Geoffrey Fani ya isimu jamii UK 1-8 | ||
3 | Sarufi Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi | Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali | Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi | Chem BK4 UK 102 KLB BK4 UK 26-27 Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28 | ||
4 | Kusoma Matangazo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti Kuyatofautisha matangazo hayo | Kutafuta matangazo mbalimbali Kubainisha sifa zake | Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa | Chem. UK 102 KLB BK4 UK 26 | ||
5 | Kuandika Barua rasmi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo | Maelezo, kujadiliana na kuandika barua | Nakala za barua rasmi | Chem. UK 32 KLB BK4 UK 8-15 Mwongozo wa uandishi wa insha | ||
6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi
| Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
4 | 1 | Kuandika insha ya methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki | Utendaji wa wanafunzi | Mifano ya insha za methali | Chem. UK 66 KLB BK4 UK 28-29, 16-17 | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha | Utendaji wa wanafunzi Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: kamusi sanifu KLB BK4 UK30-32 | ||
3 | Sarufi Nomino/jina | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi | Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 5 KLB BK4 UK 32-35 F.V. Nkwera | ||
4 | Kusoma kwa mapana Magazeti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuwa staid katika usomaji Kuzingatia matamshi bora Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi | Majadiliano na usomaji wa magazeti | Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba | Magazeti ya magktaba KLB BK4 UK 35-37 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
5 | 1 | Kuandika Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Uzingativu wa kanuni za muhtasari Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari | Kusoma makala Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari | Fungu la ufupisho | KLB BK4 UK 37-38 Tuki Kamusi sanifu | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza: Mtandao | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao | Majadiliano Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 137 KLB BK4 UK 39-41 Tuki Kamusi sanifu | ||
3 | Sarufi Vitenzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi | Kutambulisha vitenzi Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 39 KLB BK4 UK 43-46
| ||
4 | Kuandika Memo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme | Maswali Majadiliano Kujibu maswali | Tarakilishi Rununu Nukilishi | Chem. UK 78 KLB BK4 UK 46-50 | ||
5 | Isimu Jamii Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 9-21 | ||
6 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
6 | 1 | Kusikiliza na kuongea Methali na misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vinasa sauti Picha na michoro | Kamusi ya methali Kamusi ya misemo | |
2 | Kusoma kwa ufahamu Haki za binadamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 56-58 | ||
3 | Sarufi Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 17 KLB BK4 UK 58-60 Oxford BK4 UK | ||
4 | Isimu Jamii Dhana ya lahaja za Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 27-32 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
7 | 1 | Kuandika Tahakiki | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa | Kusikiliza Kuuliza maswali Kujadiliana | Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi | KLB BK4 UK 75-78 Rejea zote | |
2-3 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
4 | Kusikiliza na kuongea Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha matamshi bora Kunoa akili Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo | Kushiriki katika ufumbuzi Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 71 KLB BK4 UK 79-81 | ||
5 | Fasihi simulizi Lakabu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | Chem. UK 60 KLB BK4 UK 79-81 | ||
6 | Kusoma Viwanda | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo | Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88 | ||
8 | 1 | Sarufi Viunganishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Jedwali Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | F.V Nkwera Sarufi na Fasihi Chem. UK 97 KLB BK4 UK 88-89 | |
2 | Kusoma Wavuti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 89-91 | ||
3 | Kuandika Simu na Memo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo | Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | Chem. UK 193 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha | ||
4 | Isimu Jamii Usanifishaji wa Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji Kujadiliana | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 33-37 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuongea Bungeni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge | Kusoma kwa sauti © Education Plus Agencies Kujadiliana Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 61 KLB BK4 UK 94-97 | |
2 | Kusoma Kumbukumbu za mkutano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Nakala za kumbukumbu za mkutano | Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99 | ||
3 | Sarufi Vielezi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi | Chem. UK 75-76 KLB BK4 UK 100-101 Nkwera 24-26 | ||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
10 | 1-2 | LIKIZO FUPI | |||||
3 | Kusoma Riwaya teule | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha | Kusoma Kujadiliana | Vitabu vya riwaya (hadithi) | Chem. UK 55, 65 KLB BK4 UK 102 | ||
4 | Isimu Jamii Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
11 | 1 | Sarufi Vihusishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 | |
2 | Sarufi Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 | ||
3 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 | ||
4 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
12 | 1 | Kusoma Mashairi huru | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru Kuyachambua bila utatanishi | Kukariri shairi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Makala ya majarida ya kiswahili | Chem. UK 113, 173 KLB BK4 UK 114 Tuki: Kamusi sanifu | |
2 | Kuandika Utungaji wa kisanii | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri | Kusikiliza Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui | Mifano ya mashairi huru | Chem. UK 173 KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi | ||
3 | Sarufi Vihisishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 213 KLB BK4 UK 110-111 Nkwera | ||
4 | Kusikiliza na kuzungumza Mjadala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Mada ya mjadala Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha | Kujadiliana na kuelekezwa | Chati Mchoro na picha | KLB BK4 UK 115-117 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
13 | 1 | Kusoma Utandawazi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Ramani ya ulimwengu Michoro na picha | Chem. UK 160 KLB BK4 UK 117-119 Tuki: Kamusi sanifu | |
2 | Sarufi Mwingiliano wa maneno | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha | Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Chati na michoro | KLB BK4 UK 76-77 | ||
3 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kushiriki kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi | ||
4 | Ushairi Bahari/aina za ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Mashairi | E. Kezilahabi Kunga za Ushairi Malenga wa Ziwa kuu | ||
5-6 | Isimu Jamii Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55 | ||
14 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha | Kutamka Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti Kutambulisha aina za konsonandi
| Kutunga sentensi sahihi | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 | ||
3 | Sarufi Kuakifisha (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi | Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138, 180,196 KLB BK1 UK 22-23 | ||
4 | Isimu Jamii Sajili katika muktadha isiyo rasmi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kuelewa Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
15 | MITIHANI |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE 2017
MUHULA WA II
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 3-6 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Kusoma kwa Mapana | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha na kueleza nafasi ya Kiswahili katika utandawazi | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Ramani ya dunia Makala yanayohusu utandawazi | KLB BK 2 UK 121-123 Makala magazetini Tuki: Kamusi sanifu | |
2 | Kuandika Utungaji wa kuiamilifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sehemu muhimu za hotuba na kuweza kutunga insha kwa kuzizingatia | Kuhotubia Kujadiliana Kufanya zoezi | Nakala za hotuba Vinasa sauti | KLB BK4 UK 123-124 Mwongozo wa mwalimu | ||
3 | Sarufi Mwingiliano wa maneno | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua istilahi ziundazo sentensi na kutambua nafasi zake katika sentensi pia kuzitumia kwa ufasaha | Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Chati na michoro | KLB BK4 UK 76-77 Chem BK4 UK 76-77 | ||
4 | Kusikiliza na kuzungummza Miriga | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora ya lugha, kutaja miriga, umuhimu wake na mafunzo katika jamii | Kusikiliza Kuuliza maswali na kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | I. Ikarabati KLB BK4 UK 80 | ||
5 | Isimu Jamii Mazungumzo ya kawaida nay a biashara | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sifa, lugha na matumizi ya sajili ya mazungumzo ya kawaida nay a biashara | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK I. Ikarabati UK 77-82 | ||
6 | Fasihi simulizi Utani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kwa kuzingatia matamshi bora kueleza ain za utani na kuweza kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo | Kusimilia visa Kuigiza na kufanya zoezi | Kinasa sauti | KLB BK4 UK 158-160 Hellenistic Publishers Mwongozo wa fasihi simulizi | ||
3 | 1 | Isimu Jamii Kusoma kwa mapana | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya madukani nay a sokoni Kubainisha tofauti ya sajili hizo | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK I. Ikarabati UK 82-86
| |
2 | Fasihi Simulizi Mighani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa, kueleza na kutaja mighani mbalimbali na mafunzo yake katika jamii | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 125 Chem BK4 UK 162 | ||
3 | Kusoma Vinyago vya Bosi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ipasavyo Kuelewa msamiati Kushiriki katika mjadala na kutumia msamiati huu kwa ufasaha | Kusoma Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: kamusi sanifu Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 125-129 | ||
4 | Sarufi Miundo ya sentensi za Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya sentensi, KN, KT na kuweza kuzingatia sehemu hizo za sentensi | Maelezo Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Michoro Makala mbalimbali | F.V Nkwera KLB BK4 UK 131 Chem BK4 UK 188-189 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
4 | 1 | Isimu Jamii Sajili ya nyumbani na hospitalini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya nyumbani na hospitalini Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92
| |
2 | Fasihi Simulizi Visakale | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa, kueleza na kutaja visakale mbalimbali na mafunzo yake, umuhimu wake katika jamii | Masimulizi Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro Kanda za kunasia sauti | KLB BK4 UK 125 Chem BK4 UK 164 I. Ikarabati UK
| ||
3 | Kusoma Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kujadili na kutaja nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kitaifa na kimataifa | Kusoma Kusikiliza Kujibu maswali | Makala mbalimbali na vinasa sauti | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 131-134 | ||
4 | Kuandika Insha ya masimulizi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa unadhifu masimulizi kwa kuzingatia mantiki katika kufafanua vipengele vya insha | Kusikiliza Kusimulia Kuchambua vipengele Kufanya zoezi | Nakala za masimulizi mbalimbali | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 134 Chem BK4 UK 219
| ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
5 | 1 | Isimu Jamii Maabadini na mahakamani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya maabadini na mahakamani Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 95-98
| |
2 | Kusikiliza na Kuzungumza Hotuba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzitambulisha na kujadili sehemu za hotuba kwa kuzingatia matamshi bora | Majadiliano Maigizo Kufanya zoezi | Itendaji wa wanafunzi darasani | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 135-136 Chem BK4 UK 90 | ||
3 | Kusoma Uvumbuzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukuza staid za kusoma kwa matamshi bora Kujadiliana msamiati na kutumia ipasavyo katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi katika vikundi | Utendaji wa wanafunzi | F. Nkwera KLB BK4 UK 136 Chem BK4 UK | ||
4 | Sarufi Yambwa na chagizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa maana ya istilahi hizo na kuzitumia ipasavyo kimazungumzo na katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi katika vikundi | Vifaa halisi Picha na michoro | F. Nkwera KLB BK4 UK 141-143 Chem BK4 UK 189 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
6 | 1 | Fasihi Simulizi Tamthilia | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Tamthilia teule | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 143 Chem BK4 UK 100 | |
2 | Isimu Jamii Sajili ta darasani na muktadha wa kituo cha polisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na lueleza sifa za sajili hizo Kubainisha sifa za kipekee katika kujibu maswali
| Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 100-102
| ||
3 | Kuandika Matangazo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika na kutoa matangazo kwa kuzingatia kaida zake Kuandaa matangazo mazuri | Kutaja Kuandaa Kuandika | Matangazo Mabango Vifaa halisi | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 143 | ||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza Ulumbi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha msamiati bora na kukuza ukakamavu wa kuzungumza hadharani | Kutoa mifano ya ulumbi | Utendaji wa wanafunzi | Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 146-150 Chem BK4 UK 197 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
7 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Soga | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha matamshi bora kwa kuzingatia matamshi mwafaka na kuweza kumakinika kikakamavu | Kutoa mifano ya soga | Utendaji wa wanafunzi | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 146-150 Chem BK4 UK 82 | |
2 | Kuandika Ratiba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja matukio Kujadili na kuweza kuandika ratiba kwa kuzingatia kanuni zake mwafaka | Kujadili Kuuliza na kujibu maswali Kuandaa ratiba | Nakala za ratiba mbalimabli | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 143-145 Chem BK4 UK 216 | ||
3 | Kusoma Ufisadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha matamshi bora Kujadili msamiati Kutunga sentensi na kutanmbua athari za ufisadi katika jamii | Kutaja visa Kuuliza na kujibu maswali Kujadiliana | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 150-153 Mwongozo wa mwalimu | ||
4 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
5-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
8 | 3 | Sarufi Virai | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua kirai na aina za virai Kutunga sentenzi sahihi kwa kuvitumia kwa ufasaha bila tatizo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi
| Jedwali Picha na vifaa halisi | F. Nkwera KLB BK4 UK 153-154 Chem BK4 UK 176 | |
4 | Kuandika Insha ya mawazo na maelezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sifa zake na kuweza kuandika insha hiyo kikamilifu | Kutaja kanuni zihusikanazo na insha hizo | Nakala za insha za mawazo | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 157 Chem BK4 UK 181, 135 | ||
5-6 | Fasihi Simulizi Malumbano ya utani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kwa kuzingatia matamshi kueleza aina za utani na kuutumia ipasavyo katika mazungumzo | Kusimulia visa Kuigiza na kufanya zoezi | Kinasa sauti | Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 158-160 | ||
9 | 1 | Kusoma Haki za watoto | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa sauti na kwa ufasaha Kuutumia msamiati Kujibu maswali kawa ufasaha | Kujadiliana Kusoma na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 161-162 Mwongozo wa mwalimu | |
2 | Sarufi Vishazi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa maana na kuvitumia ipasavyo katika sentensi na kufanya zoezi | Kutoa mifano Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya zoezi | Michoro ya mtawi kwenye chati | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 163-164 Chem BK4 UK 177 | ||
3 | Fasihi Simulizi Mashairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha mashairi ya arudhi na huru, kuyaghani kwa mahadhi mbalimbali na kueleza maudhui yaliyomo | Kughani mashairi Utendaji wa wanafunzi Kujadiliana Kujibu maswali | Shairi la arudhi na huru | Hellenistic E.P Mwongozo wa fasihi simulizi Sikate tamaa | ||
4 | Kuandika Maelezo na maelekezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sifa zake na kuweza kuandaa na kutunga maelekezo mazuri yasiyopotosha | Kubainisha kanuni za maelezo Kutunga insha nzuri ufaayo | Mifano ya insha | Kiswahili Fasaha BK4 UK 166 Chem BK4 UK 101 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
10 | 1 | Isimu Jamii Sajili ya viwandani nay a bungeni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kueleza sifa za sajili hizo Kubainisha sifa za pekee katika kujibu maswali
| Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 104-105
| |
2 | Fasihi Simulizi Mawaidha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa maana ya mawaidha, umuhimu wake na kuweza kutoa mawaidha kwa hadhira bila utatanishi | Kuigiza Maelezo Kuuliza na kujibu maswali | Waalikwa kutoa mawaidha | Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 168-169 Chem BK4 UK 209 | ||
3 | Bahari za Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa maana na miundo mbalimbali ya ushairi Kuchambua muundo na mtindo, sanaa na uhuru wa ushairi | Kughani Kuuliza na kujibu maswali | Kunga za ushairi | A Mohamed Kunga za Ushairi Sikate Tamaa | ||
4 | Kusoma kwa ufahamu Sokoni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika Kujibu maswali | Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 169-171 Mwongozo wa mwalimu | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
11 | 1 | Sarufi Uchanganuzi wa sentensi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchanganua sentensi kwa kuzingatia aina za maneno, kishazi, kirai, kundu nomino na kundi tenzi Kufanya zoezi | Kupambanua sentensi kwa: – Mistari – Michoro/jedwali – Matawi | Utendaji wa wanafunzi Michoro na majedwali | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 171-174 Chem BK4 UK 198 | |
2 | Sarufi Uchanganuzi wa sentensi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchanganua sentensi kwa kuzingatia aina za maneno, kishazi, kirai, kundu nomino na kundi tenzi Kufanya zoezi | Kupambanua sentensi kwa: – Mistari – Michoro/jedwali – Matawi | Utendaji wa wanafunzi Michoro na majedwali | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 171-174 Chem BK4 UK 198 | ||
3 | Kusoma kwa mapana Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua jinsi lugha ilivyo na mawasiliano ya kisayansi na kiteknolojia Kutumia msamiati wake ipasavyo | Kusoma Kujadiliana Kutoa mapendekezo Kuhakiki hoja | Majarida Magazeti Utendaji wa wanafunzi | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 174-175 Mwongozo wa mwalimu | ||
4 | Kuandika Tahadhari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana na umuhimu wa tahadhari/onyo/ilani kwa kuzingatia kanuni zake Kuandika tahadhari ipasavyo | Kujadilaiana Kutaja aina Kufanya zoezi | Picha, michoro, mabango, magazeti, vifaa halisi | Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 175-176 Chem BK4 UK 103 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
12 | 1 | Isimu Jamii Sajili ya lugha ya kiutawala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kueleza sifa za sajili ya kiutawala Kubainisha sifa zake za pekee Kujibu maswali | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 107
| |
2 | Sarufi Kipozi na kitondo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana ya istilahi hizo na kuweza kuzionyesha na kuzitumia ipasavyo | Kueleza Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | I. Ikarabati UK 99-100 KLB BK4 UK 168-170 Chem BK4 UK | ||
3 | Kusoma Usanifishaji wa Kiswahili (Kenya) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kuelewa na kuzieleza hatua zilizopitiwa hadi lugha ya Kiswahili kusanifishwa nchini Kenya | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya utafiti Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | K.W. Wamitila Chem BK4 UK 293 | ||
4 | Fasihi Lakabu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa maana na matumizi ya lakabu Kubainisha umuhimu wake katika jamii | Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Ngure: Fasihi Simulizi KLB BK4 UK 80 Chem BK4 UK 169 | ||
5-6 | Kuandika Kumbukumbu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa unadhifu kumbukumbu kwa kuzingatia kanuni zake ipasavyo kama namna ya kudurusu | Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya zoezi | Mifano ya nakala za kumbukumbu | Mwongozo: Kamusi sanifu Chem BK4 UK 169 | ||
13 | 1 | Sarufi Uchanganusi wa sentensi (Kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | I. Ikarabati UK 98-107 KLB BK4 UK 171 Chem BK4 UK 196 | |
2 | Sarufi Uchanganusi wa sentensi (Kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | I. Ikarabati UK 98-107 KLB BK4 UK 171 Chem BK4 UK 196 | ||
3 | Fasihi Simulizi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu ulumbi, soga, malumbano ya utani, mawaidha, maigizo, ngomezi, nyimbo, mighani, majigambo, tondozi na pembezi | Kujadiliana maana, siaf na umuhimu Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | KLB BK4 UK 96,102, 108,116,130,137,144 Jarida la fasihi simulizi | ||
4-6 | MITIHANI |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE 2017
MUHULA WA III
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 3-6 | KUFUNGUA NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | Kusoma Haki za binadamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha staid za matamshi bora, kujadili msamiati, kutunga sentensi na kutambua haki za binadamu | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu Chem BK4 UK 185 Mwongozo wa mwalimu | |
2 | Fasihi Simulizi Mighani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kwa kuzingatia matamshi bora, kughani na kubainisha umuhimu wa mighani | Majadiliano Kughani | Vifaa halisi Picha na michoro | Mwongozo wa fasihi sanifu Chem BK4 UK 150 I. Ikarabati UK 164-167 | ||
3 | Sarufi Uakifishaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha alama za kuakifisha na kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo au dayalojia | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | KLB BK4 UK 203 Chem BK4 UK 156 | ||
4 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu maswali ya fasihi simulizi, riwaya, tamthilia na ushairi | Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano | Nakala za maswali | Nakala za vitabu teule vya fasihi | ||
5 | Kuandika Meme na barua meme | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha nukulishi au kipepesi/faksi, mdahalishi na barua za rununu Kubainisha faida za huduma hizo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | I. Ikarabati UK 4 KLB BK4 UK 50 Chem BK4 UK 214 | ||
6 | Isimu Jamii Sajili ya kitaaluma | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika sajili ya kitaaluma na kuweza luutumia ipasavyo katika mawasiliano | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 111 Tuki: kamusi sanifu | ||
3 | 1 | Fasihi simulizi Maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kwa kuzingatia matamshi bora, kuigiza vipera vya maigizo ipasavyo na kuweza kubainisha umuhimu wake | Kujadiliana Kuigiza | Vifaa halisi Picha na michoro | Mwongozo wa fasihi sanifu Chem BK4 UK 175 I. Ikarabati UK 164-167 | |
2 | Sarufi Mzizi wa kitenzi na viambishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu tena – mzizi wa kitenzi na viambishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza maswali Majadiliano | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem BK4 UK 204-206 I. Ikarabati UK 8 KLB BK4 UK 43 | ||
3 | Kusikiliza na Kuongea Maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika maigizo na kushiriki ipasavyo kuigiza | Kusikiliza Kuigiza Kujadiliana | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem BK4 I. Ikarabati UK KLB BK4 UK 177-179 | ||
4 | Kusoma Katiba ya wanyama | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutungia sentensi ipasavyo | Kusoma taarifa Kujadiliana Kutunga sentensi | Picha za wanyama Viungo vya miili yao | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 180-183 | ||
5 | Fasihi Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mbinu za lugha na wahusika bila utatanishi | Kusoma Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Mazingira ya shule Maleba Vifaa vya bandia | Malenga wa ziwa kuu Kunga za ushairi Sikate Tamaa | ||
6 | Kuandika Wasifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana, kujadili aina na mambo muhimu yazingatiwayo na kuweza kuandika mtungo mzuri | Kusikiliza Kujadiliana Kuandika wasifu | Nakala za wasifu | Chem BK4 UK 122 I. Ikarabati UK KLB BK4 UK 187 | ||
4 | 1 | Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua vitenzi vya asili ya kigeni Kuvinyambua katika hali mbalimbali na katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro | Chem BK4 UK 39 I. Ikarabati UK 8 KLB BK4 UK 183-185 | |
2 | Isimu Jamii Daktari na mgonjwa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika muktadha wa mahojiano kati ya daktari na mgonjwa na kueleza | Kujadiliana Kuigiza Kuuliza na kujibu maswali | Maleba Mahambo Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 112 | ||
3 | Fasihi Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mtindo, muundo na bahari za ushairi ipasavyo | Kusoma Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Ushairi Vifaa halisi Picha na michoro | Malenga wa ziwa kuu Kunga za ushairi Sikate Tamaa | ||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza Ulevi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kutambulisha madhara ya ulevi na kupendekeza njia za kukabiliana na uraibu huo | Maelezo Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 188-190 | ||
5 | Kusoma Uandishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kujadili na kutoa maana ya msamiati Kueleza hatua za shughuli za uandishi na kuweza kuandika ipasavyo | Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano | Picha na matbaa Picha za uandishi wa Kiswahili | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 190-194 Chem BK4 UK 110 | ||
6 | Fasihi Simulizi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Maana, dhima, umuhimu, tofauti na vipera vya fasihi simulizi viweze kueleweka ipasavyo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Mifano ya kazi za fasihi | H.E Facilitators Mwongozo wa fasihi simulizi Chem BK4 UK 127 | ||
5 | 1 | Sarufi Nyakati na hali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua viambishi viwakilishi na hali Kuvitumia katika sentensi katika hali yakinishi na hali kanushi | Maelezo Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro | KLB BK4 UK 194-197 | |
2 | Kuandika Utungaji wa kisanii | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukuza staid za kuandika kisanii | Maelezo Kusoma na kuandika | Makala ya mashairi ya arudhi | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 197 Chem BK4 UK 47 | ||
3 | Kusikiliza na kuzungumza Ngomezi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua na kueleza maana na aina za ngomezi Kufafanua matumizi ya ngomezi katika jamii | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 199 Chem BK4 UK 221 | ||
4 | Isimu Jamii Makosa katika matumizi ya lugha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa dhana ya makosa ya lugha, nyanzo vyake na aina za makosa katika lugha na kuyakosoa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 116-120 | ||
5 | Kusoma Makala kutoka kwa wavuti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma makala yaliyoteuliwa kutoka kwenye wavuti kwa ufasaha na kuweza kujibu maswali | Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Makala Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 204-206 Chem BK4 UK 160
| ||
6 | Fasihi Simulizi Mazungumzo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana na aina mbalimbali za mazungumzo na kubainisha umuhimu wake katika jamii | Kujadiliana Kufanya zoezi | Aina mbalimbali za mazungumzo | Mwongozo wa fasihi simulizi Ngure Fasihi simulizi | ||
6 | 1 | Kuandika Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika Kujibu maswali ya ufupisho bila utatanishi | Kusoma taarifa Kujibu maswali ya ufupisho | Makala ya ufupisho | Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 199-201 | |
2 | Sarufi Sentensi Uundaji wa maneno, uunganishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu – aina za sentensi, uchanganuzi na uundaji wa maneno yenye shina moja na kuyatungia sentensi sahihi | Kisikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro | Chem BK4 UK 225 I. Ikarabati KLB BK4 UK 211-213 | ||
3 | Fasihi Simulizi Viungo muhimu vya riwaya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitambua, kuchambua riwaya teule na kukuza staid ya kusoma kwa kina – dhamira, maudhui, wahusika, mandhari na muundo | Kujadiliana Maigizo Kuimba Kuuliza na kujibu maswali | Riwaya teule | Chem BK4 UK 42,55, 65, 31,22,8 I. Ikarabati KLB BK4 UK 213-215 | ||
4 | Kusikiliza na kuzungumza Maghani na majigambo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha, kutambua aina zake na kughaniana kisha kutofautisha na maghani | Kueleza Kughani Kuuliza na kujibu maswali | Utendaji wa wanafunzi | Mwongozo wa fasihi simulizi NgureFasihi simulizi KLB BK4 UK 216-218 | ||
5 | Kusikiliza na kuzungumza Tondozi na pembezi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina za tondozi na pembezi, kuweza kuzitofautisha na kufanya zoezi | Utambuzi wa aina za tondozi na pembezi Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mwongozo wa fasihi simulizi NgureFasihi simulizi KLB BK4 UK 216-218 | ||
6 | Kusoma Fasihi na mazingira ya sasa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kutambua vipera vyake na kuvitumia kama ipasavyo kutambua umuhimu wake | Kueleza Kuuliza na kujibu maswali | Vitu halisi na utendaji wa wanafunzi | Ngure: Fasihi simulizi I. Ikarabati UK 229-230 | ||
7 | 1-6 | MAANDALIZI KWA MTIHANI WA KITAIFA | |||||
8 | MTIHANI WA KITAIFA |