• Thu. May 8th, 2025

    Newsblaze.co.ke

    A site providing Education, TSC, Universities, Helb, Sports and Kuccps news

    FORM 1-4 KISWAHILI SCHEMES OF WORK

    ByHillary Kangwana

    Mar 24, 2025

    AZIMIO LA KAZI

    KIDATO CHA PILI MUHULA WA I

                ASILIA

    1. KLB
    2. Mwongozo wa Mwalimu
    3. Oxford
    4. Kamusi

    Get the PDF Schemes Here; Schemes of work for all subjects, free updated downloads

    JUMAKIPINDI 

    SOMO

     

    SHABAHA

     

    MBINU

     

    VIFAA

     

    ASILIA

     

    MAONI

    14-6KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO 
    21MTIHANI 
     2Isimu Jamii

    Mazungumzo hotelini

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo

    Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini

     

    Kusoma

    Kueleza sifa

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 1 UK 11

    KLB BK 2 UK 1-3

    Chem BK 2 UK 26

     
     3Fasihi

    Vipengele muhimu

    Ploti mahusika

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza vipengele

    Kueleza wahusika na sifa zao

     

    Kueleza

    Kutoa mifano

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2

    UK 42, 64

    KLB BK 2 UK 3-8

    Chem BK 2 UK 8

     
     4Fasihi

    Dhamira/maudhui

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano

     

    Kueleza

    Kutoa mifano

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2

    UK 42, 64

    KLB BK 2 UK 3-8

    Chem BK 2 UK 8

     
     5Fasihi

    Mtindo wa lugha na sanaa

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutofautisha mitindo miwili

     

    Kueleza

    Kutambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2

    UK 42, 64

    KLB BK 2 UK 3-8

    Chem BK 2 UK 8

     
     6Uchambuzi wa fasihiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuchambua makala ya fasihi

     

    Kusoma

    Kujibu maswali

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 6-8

    Chem BK 2 UK 8

     
    31Sarufi

    Mofimu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza maana ya mofimu

     

    Kueleza

    Kutoa mifano

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 102

    KLB BK 2 UK 8-9

    Chem BK 2 UK 6-8

     
     2MTIHANI 
     3Sarufi

    Viambishi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutofautisha viambishi awali na tamati

     

    Kusoma

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 114

    KLB BK 2 UK 10

    Chem BK 2 UK 114

     
     4Insha ya maigizoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mchezo wa kuigiza

     

    Kueleza

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 22

    KLB BK 2 UK 12

    Chem BK 2 UK 29

     
     5Isimu Jamii

    Uhusiano wa kitabaka

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana

     

    Kusoma

    Kujadili

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 22

    KLB BK 2 UK 13

    Chem BK 2 UK 29

     
     6Ufahamu

    Matumizi ya kamusi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kujibu maswali

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 15

     
    41Sarufi

    Nomino

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua aina za nomino

    Kueleza kwa kutoa mifano

    kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 6

    KLB BK 2 UK 29

    Chem BK 2 UK 28

     
     2NominoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufafanua aina za nomino

    Kueleza/kutaja

    Kutoa mifano

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 6

    KLB BK 2 UK 29

    Chem BK 2 UK 28

     
     3MTIHANI 
     4-6VivumishiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha aina ya vivumishi

    Kueleza/kutaja

    Kutoa mifano

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 22

     
    51Insha ya mahojianoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutofautisha dayolojia na mahojiano

    Kueleza/kutaja

    Kutoa mifano

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 31

    KLB BK 2 UK 29

    Chem BK 2 UK 214

     
     2Fasihi

    Vitendawili

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha vitendawili mbalimbali

     

    Kusoma

    Kutoa mifano

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2

    UK 109-117

    KLB BK 2 UK 30

    Chem BK 2 UK 184

     
     3MTIHANI 
     4MafumboKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha aina za mafumbo

    Kusoma

    Kutoa mifano

    Kutoa majibu

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 57

    KLB BK 2 UK 30

    Chem BK 2 UK 184

     
     5-6Ufahamu

    Uchafuzi wa mazingira

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya msamiati

    Kusoma

    Kujadili

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 33

     
    61Sarufi

    Vivumishi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua na kutunga sentensi

    Kutoa mifano

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 37

    KLB BK 2 UK 36

    Chem BK 2 UK 74

     
     2-3Fasihi

    Mighani/visakale

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutoa maana na mifano

    Kutaja sifa

     

    Kutaja

    Kutoa mifano

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 74

    KLB BK 2 UK 58

    Chem BK 2 UK 196

     
     4MTIHANI 
     5UfahamuKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuboresha matamshi yao

     

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 80

     
     6MuhtasariKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 82

     
    71ViwakilishiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 37

    KLB BK 2 UK 50

    Chem BK 2 UK 85

     
     2Kuandika

    Tahadhari/onyo/ilani

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika kwa hati nadhifu

    Kusoma

    Kujadili

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 53

    Chem BK 2 UK 119

     
     3Kusikiliza na kuzungumza

    (Visawe)

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutamka maneno kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Kueleza maana

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK

    Kamusi

     
     4Mazungumzo hospitaliniKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza sifa za lugha ya hospitalini

    Kusoma

    Kueleza

    Kuandika nakala

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 29

    KLB BK 2 UK 62

    Chem BK 2 UK 159

     
     5MTIHANI 
     6Ufasaha wa lugha

    Misemo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua maana

     

    Kueleza

    Kutunga sentensi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 76

     
    81Ufahamu

    Maadili mema

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma makala kwa ufasaha

    Kusoma

    Kutaja misamiati

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 80-82

     
     2MuhtasariKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua hatua muhimu za ufupisho

     

    Kusoma

    Kufupisha habari

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 80-82

     
     3MTIHANI 
     4-6LIKIZO FUPI 
    91-2Sarufi

    Vitenzi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungia  sentensi

     

    Kutoa maana

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 83

     
     3Isimu jamii

    Mazungumzo

    Posta

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza sifa za lugha ya posta

     

    Kusoma kwa sauti

    Kujadili sifa

     

    Picha

     

    Fasaha BK 2 UK 165

    KLB BK 2 UK 89

     
     4Kuandika

    Insha ya mdokezo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika hati nadhifu

     

    Kuandika

     

    Mfano

    Fasaha BK 2 UK 10

    KLB BK 2 UK 87

    Chem BK 2 UK 143

     
     5Ufahamu

    Repoti kuhusu ukimwi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Nakala

     

    KLB BK 2 UK 91

     
     6MTIHANI

     

     

     

     
    101Ufahamu

    Udurusu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma kwa ufasaha

     

    Kusoma na kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 91

     
     2MTIHANI 
     3Muhtasari

    repoti kuhusu ukimwi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufupisha habari bila kupoteza maana

     

    Kusoma

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 91

     
     4Kuandika

    Insha ya ripoti

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka

     

    Kueleza

    Kuandika

     

    Mifano

     

    Fasaha BK 2 UK 55

    KLB BK 2 UK 91-94

    Chem BK 2 UK 178

     
     5-6Sarufi

    Viwakilishi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua aina ya viwakilishi

    Kueleza

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 49

    KLB BK 2 UK 94

    Chem BK 2 UK 228

     
    111Kuandika

    Barua simu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika barua yenye mantiki

     

    Kueleza

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 175

    KLB BK 2 UK 108

    Chem BK 2 UK 241

     
     2-3Viwakilishi vya pekee, nafsiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha na kuvitumia katika sentensi

     

    Kutoa mifano

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 178

    KLB BK 2 UK 98

    Chem BK 2 UK 228

     
     4MTIHANI 
     5Mazungumzo

    Kituo cha polisi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza sifa za lugha inayotumika

     

    Kutaja sifa

    Kuandika nakala

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 102

    Chem BK 2 UK 208

     
     6UfahamuKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma kwa ufasaha

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 104-107

     
    121Viwakilishi sifaKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 175

    KLB BK 2 UK 98

    Chem BK 2 UK 241

     
     2Viwakilishi idadiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 175

    KLB BK 2 UK 98

    Chem BK 2 UK 241

     
     3Vimilikishi

     

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 109-110

     
     4‘A” unganifuKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 109-110

     
     5Viwakilishi virejeshiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 113

     
     6MTIHANI 
    131Insha

    Matangazo ya redio, runinga, magazetini

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutunga matangazo

    Kusoma

     

    Kueleza

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 163

    KLB BK 2 UK 115

     
     2MTIHANI 
     3Matamshi bora

    Vitate S na Z

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutamka maneno kwa ufasha

     

    Kubainisha

    Kusoma

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 1

    KLB BK 2 UK 120

     
     4Ufahamu

    Dondoo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya ufahamu

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 112

    KLB BK 2

    UK 122-124

    Chem BK 2 UK 168

     
     5Kusoma maktabani

    Shairi arudhi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi

     

    Kusoma

    Kutafiti

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK 88

    KLB BK 2 UK 125

    Chem BK 2 UK 177

     
     6Vielezi

    Vielezi wakati

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 60, 62

    KLB BK 2

    UK 125-126

    Chem BK 2 UK 250

     
    141Insha

    Kuandika dayolojia

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika kwa hati nadhifu

    Kusoma

    Kujadili

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    Fasaha BK 2 UK 212

    KLB BK 2 UK 119

    Chem BK 2 UK 233

     
     2-6MARUDIO YA MTIHANI 
    151-4KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI 
       Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

     

      

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    Fasaha BK 2 UK

    KLB BK 2 UK

    Chem BK 2 UK

     

     

    AZIMIO LA KAZI

    KIDATO CHA PILI

    MUHULA WA II

                ASILIA

    1. KLB
    2. Mwongozo wa Mwalimu
    3. Oxford
    4. Kamusi
    JUMAKIPINDI 

    SOMO

     

    SHABAHA

     

    MBINU

     

    VIFAA

     

    ASILIA

     

    MAONI

    14-6KUFUNGUA 
    21Vielezi jinsi/namnaKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha vielezi katika lugha

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 127-128

    Fasaha BK 2 UK 61

    Chem BK 2 UK 250

     
     2MTIHANI 
     3Vielezi idadiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuvitumia katika lugha

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 128-129

    Fasaha BK 2 UK 62

    Chem BK 2

    UK 250, 253

     
     4Vielezi mahaliKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua vielezi mahali

     

    Kutambua

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 129-131

    Fasaha BK 2 UK 62

    Chem BK 2

    UK 250, 253

     
     5Kuandika

    Ratiba

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika hati nadhifu yenye mantiki

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 131-133

    Fasaha BK 2 UK 43

    Chem BK 2 UK 45

     
     6Matamshi bora

    Vitate ‘d’ na ‘nd’

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma maneno kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 134

    Fasaha BK 2 UK 79

    Chem BK 2 UK 85

     
    31Ufahamu

    Mahali pa watu wengi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya msamiati

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 134-136

    Fasaha BK 2 UK 58

    Chem BK 2 UK 216

     
     2Kusoma

    Ushairi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Kujadili

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 137-140

    Fasaha BK 2 UK 124

     
     3MTIHANI
     4Kusoma

    Muhtasari

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufupisha makala

    Kusoma

    Kutambua hoja

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 140

    Fasaha BK 2 UK 146

    Chem BK 2 UK 57

     
     5Kusoma

    Uchambuzi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha sehemu mbalimbali za shairi

     

    Kusoma

    Kutambua

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 140

    Fasaha BK 2 UK 211

    Chem BK 2 UK 82

     
     6Sarufi

    Viunganishi

    Ila, sababu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuvitumia katika lugha

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 140-141

    Fasaha BK 2 UK 72

     
    41Viunganishi

     

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha katika lugha

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 141

    Fasaha BK 2 UK 72

     
     2VihusishiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha katika sentensi

    Kusoma

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 142-143

    Fasaha BK 2 UK 93

    Chem BK 2 UK 212

     
     3VihisishiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuvitumia kwa ufasaha katika lugha

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 143-145

    Fasaha BK 2 UK 84

     
     4MTIHANI 
     5Kuandika

    Taarifa

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 145

    Fasaha BK 2 UK 159

    Chem BK 2 UK 178

     
     6Fasihi

    Shairi: Mwanamke

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma na kubainisha vipengele vya shairi

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 148-150

    Fasaha BK 2 UK 30

    Chem BK 2 UK 177

     
    51Kusoma

    Ufahamu wa kusikiliza

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 146-148

    Fasaha BK 2 UK 70

    Chem BK 2 UK 216

     
     2Fasihi

    Maigizo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuiga maneno na matendo vya watu wengine

     

    Kuzungumza

    Kuiga

     

    Mchezo

    KLB BK 2 UK 148

    Fasaha BK 2 UK 200, 201

    Chem BK 2 UK 171

     
     3Sarufi

    Kinyume: oa, ua

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha vinyume vya vitenzi

     

    Kusoma

    Kutambua

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 150-151

    Fasaha BK 2

    UK 182-183

    Chem BK 2 UK 140

     
     4Kinyume

    Neno tofauti

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutambua vinyume vya vitenzi

     

    Kutambua

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 151-152

    Fasaha BK 2

    UK 182-183

    Chem BK 2 UK 140

     
     5MTIHANI 
     6Kuandika

    Maelezo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kusoma

    Kufanya zoezi

     

    Mfano

     

    KLB BK 2 UK 153

    Chem BK 2 UK 21

     
    61Fasihi

    Tamthlia

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha vipengele vya tamthilia

     

    Kusoma

    Kujadili

     

    Chaki

    Ubao

     

    KLB BK 2 UK 150

    Kifo kisimani

     
     2-3Kusikiliza, kusoma. MjadalaKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuendeleza kipawa cha kuzungumza kwa ufasaha

     

    Kusoma

    © Education Plus Agencies

    Kuzungumza

     

    Mjadala

    KLB BK 2

    UK 154-156

    Fasaha BK 2 UK 120

    Chem BK 2 UK 50

     
     4Kusoma

    Msamiati

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kusoma na kutafiti msamiati wa bunge

     

    Kusoma

    Kutafiti

    Kamusi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 157-158

    Fasaha BK 2 UK 82

     
     5Kusoma

    Ufahamu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya ufahamu

    Kusoma

    Kujadili

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 158-160

    Fasaha BK 2 UK 92

     
     6MTIHANI 
    71MTIHANI 
    72Sarufi

    Nyakati

    Kukanusha

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha nyakati mbalimbali

     

    Kutambua

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 161

    Fasaha BK 2 UK 84

    Chem BK 2 UK 131

     
     3Hali ya nge- na ukanusho wakeKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia nge na kukanusha sentensi

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 161-162

    Fasaha BK 2

    UK 86-87

    Chem BK 2 UK 150

     
     4-6  
    81MTIHANI 
     2Hali ya ngeli na ukanushajiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia ngeli katika sentensi kisha kukanusha

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kukanusha

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 162

    Fasaha BK 2

    UK 86-87

    Chem BK 2 UK 150

     
     3Ngali na ukanushajiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia ngali katika sentensi kisha kukanusha

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kukanusha

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 163

    Fasaha BK 2

    UK 86-87

    Chem BK 2 UK 150

     
     4‘Po’ na ukanushajiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia ‘Po’ katika sentensi kisha kukanusha

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kukanusha

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 164-165

    Fasaha BK 2 UK 86

    Chem BK 2 UK 264

     
     5Kuandika

    Resipe

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika hati nadhifu

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 165-166

    Fasaha BK 2 UK 19

    Chem BK 2 UK 269

     

     
     6Matamshi bora

    f na v

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuboresha lugha kwa kutamka maneno kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 167

    Fasaha BK 2 UK 79

    Chem BK 2 UK 210

     
    91Vitanze ndimiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuboresha matamshi kwa kusoma sentensi kwa ufasaha

     

    Kusoma

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 168

    Fasaha BK 2 UK 121

     
     2MTIHANI 
     3Imla

    Sauti t, d, f, v

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika maneno ambayo anasomewa na mwalimu

     

    Kusikiliza

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 168

    Fasaha BK 2 UK 189

    Chem BK 2

    UK 185, 210, 167

     
     4-5Fasihi

    Visasili

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujadili/kuchambua hadithi aliyopewa

     

    Kusoma

    Kuandika

    Kujadili

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 168-171

    Fasaha BK 2 UK 95

    Chem BK 2 UK 15

     
     6KusomaKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuboresha matamshi yake kwa kusoma kwa ufasaha

     

    Kusoma

    Kuandika

    Kujadili

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 171-174

    Fasaha BK 2 UK 100

    Chem BK 2 UK 68

     
    101UchambuziKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha mahusika, fani

    Kusoma

    Kuandika

    Kujadili

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 174

    Fasaha BK 2 UK 106

     
     2Sarufi

    Sentensi sahili

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutunga sentensi sahili

     

    Kusoma

    Kuandika

    Kujadili

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 174-175

    Chem BK 2

    UK 186, 201

     
     3Sentensi ambatanoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutunga sentensi ambatano

    Kusoma

    Kuandika

    Kujadili

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 175

    Fasaha BK 2 UK 194

    Chem BK 2 UK 210

     
     4MTIHANI 
     5Upambanuzi wa sentensi ambatanoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kupambanua sentensi ambatano kwa njia mbalimbali

     

    Kutunga sentensi

    Kupambanua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 175-177

    Fasaha BK 2 UK 207

    Chem BK 2 UK 186

     
     6Kuandika

    Risala

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 177-178

    Fasaha BK 2 UK 97

    Chem BK 2 UK 243

     
    111MTIHANI 
     2Fasihi

    Ushairi

    Nyimbo za arusi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuimba nyimbo mbalimbali za arusi

     

    Kuimba

     

    Sauti

    KLB BK 2

    UK 179-181

    Chem BK 2 UK 113

     
     3MisemoKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia misemo katika sentensi

     

    Kutaja

    Kutoa maana

    Kutunga sentensi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 181-183

    Fasaha BK 2 UK 45

    Chem BK 2 UK 138

     
     4Kusoma

    Shairi huru

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuchambua shairi alilopewa

     

    Kusoma

    Kuchambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 183-184

    Fasaha BK 2 UK 211

    Chem BK 2 UK 231

     
     5Sarufi

    Mnyambuliko I wa vitenzi

    Kauli ya kutendwa, kutendewa

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendwa na kutendewa

     

    Kutambua

    Kunyambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 185-186

    Fasaha BK 2

    UK 156-158

    Chem BK 2

    UK 175, 219

     
     6Mnyambuliko IIKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeka, tendana

     

    Kutambua

    Kunyambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 185-186

    Fasaha BK 2

    UK 156-158

    Chem BK 2

    UK 175, 219

     
    121Mnyambuliko IIIKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeana, tendeshwa, tendezana, tendeshea

     

    Kutambua

    Kunyambua

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 185-186

    Fasaha BK 2

    UK 156, 158

    Chem BK 2

    UK 175, 219

     
     2MTIHANI 
     3Fasihi

    Methali

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha maana za methali aliyopewa

     

    Kutambua

    Kutoa maana

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 187-190

    Fasaha BK 2 UK 67

    Chem BK 2 UK 40

     
     4Kusoma

    Ufahamu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya ufahamu

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 190-192

    Fasaha BK 2 UK 123

    Chem BK 2 UK 60

     
     5Ufahamu

    Tarakilishi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya msamiati

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 192-194

    Fasaha BK 2 UK 180

    Chem BK 2 UK 157

     
     6Fasihi

    Riwaya

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuchambua riwaya aliyosoma

     

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 195

    Fasaha BK 2

    UK 160, 223

    Chem BK 2 UK 8

     
    131-4KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA AGOSTI 

     

     

     

     

     

    AZIMIO LA KAZI

    KIDATO CHA PILI MUHULA WA III

     

     

     

     

                ASILIA

    1. KLB
    2. Mwongozo wa Mwalimu
    3. Oxford
    4. Kamusi

     

     

    JUMAKIPINDI 

    SOMO

     

    SHABAHA

     

    MBINU

     

    VIFAA

     

    ASILIA

     

    MAONI

    14-6KUFUNGUA NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO 
    21Sarufi

    Uakifishaji

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha alama mbalimbali za uakifishaji

     

    Kutambua

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 196-199

    Fasaha BK 2 UK 187

    Chem BK 2 UK 9

     
     2Kuandika

    Barua rasmi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 196-199

    Fasaha BK 2 UK 187

    Chem BK 2 UK 9

     
     3MTIHANI 
     4Kuandika

    Maelezo/maagizo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika hati nadhifu

     

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 199

    Fasaha BK 2 UK 131

    Chem BK 2 UK 223

     
     5Fasihi

    Hekaya

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuchambua hadithi aliyopewa

     

    Kusoma

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 200-202

    Chem BK 2 UK 102

     
     6Kusoma

    Ufahamu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya ufahamu

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 202-204

    Chem BK 2 UK 181

     
    31Kusoma

    Muhtasari

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufupisha makala bila kupoteza maana

     

    Kusoma

    Kufupisha

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 205

    Fasaha BK 2 UK 73

    Chem BK 2 UK 118

     
     2Sarufi

    Usemi halisi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutumia usemi halisi katika sentensi

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 205-206

    Fasaha BK 2 UK 53

    Chem BK 2 UK 126

     
     3Usemi wa taarifaKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha usemi wa taarifa katika sentensi

     

    Kutambua

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 206-207

    Fasaha BK 2 UK 53

    Chem BK 2 UK 126

     
     4MTIHANI 
     5-6Usemi wa taarifa na halisiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kutofautisha usemi halisi kutoka kwa usemi wa taarifa

     

    Kutunga sentensi

    Kufanya zoezi

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 207-208

    Fasaha BK 2 UK 53

    Chem BK 2 UK 126

     

     

     

     
    41Kuandika

    Barua mialiko

    Harusi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 208-209

    Fasaha BK 2 UK 65

    Chem BK 2 UK 70

     
     2Kuandika

    Hauli

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 209

    Fasaha BK 2 UK 65

    Chem BK 2 UK 70

     
     3Fasihi

    Ushairi

    Wimbo wa uchumba

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuchambua wimbo aliopewa

     

    Kuimba

    Kuchambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 210-211

    Fasaha BK 2 UK 126

    Chem BK 2 UK 82

     
     4Fasihi

    Methali

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika methali inayolingana na maelezo aliyopewa

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 211-212

    Fasaha BK 2 UK 67

    Chem BK 2 UK 40

     
     5MTIHANI 
     6Kusoma

    Janga la ukimwi

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuuliza maswali kulingana na makala

    Kusoma

    Kutunga maswali

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 212-215

     
    51Kusoma maktabaniKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufanya utafiti kuhusu janga la ukimwi

     

    Kusoma

    Kuandika

     

    Makala

    Madaftari

     

    Magazeti

    Majarida

    Fasaha BK 2 UK 203

     
     2Sarufi

    Kuunda nomino I

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuunda nomino kutokana na vitenzi

    Kutambua

    Kuunda

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 216

    Fasaha BK 2 UK 183

     
     3Kuunda nomino IIKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuunda nomino kutokana na vivumishi

     

    Kutambua

    kuunda

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 217

    Fasaha BK 2 UK 183

     
     4Kuunda nomino IIIKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuunda nomino kutokana na nomino

     

    Kutambua

    Kuunda

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2 UK 217

    Fasaha BK 2 UK 183

    Chem BK 2 UK 203

     
     5Uundaji IVKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufanya zoezi ipasavyo

     

    Kufanya zoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 218-219

    Chem BK 2 UK 203

     
     6MTIHANI 
    61Kuandika

    Orodha ya mambo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika mtungo wenye mantiki

     

    Kusikiliza

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 219-220

    Chem BK 2 UK 252

     
     2Kuandika

    Shajara

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuandika hati nadhifu

     

    Kusikiliza

    Kuandika

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2 UK 221

    Fasaha BK 2 UK 150

    Chem BK 2 UK 117

     
     3Kusikiliza na kuzungumza

    Majadiliano

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuigiza majadiliano aliyopewa

     

    Kusoma

    Kuiga

    Mchezo

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 222-224

    Fasaha BK 2

    UK 33, 129

     
     4Fasihi

    Nyimbo za kivita

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kuimba na kuchambua wimbo aliopewa

     

    Kuimba

    Kuchambua

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK 225-226

    Fasaha BK 2 UK 126

     
     5Kusoma

    Ufahamu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya ufahamu/msamiati

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 226-229

    Fasaha BK 2 UK 153

     
     6MTIHANI 
    71Sarufi

    Udogo

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha udogo wa nomino

     

    Kutambua

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 229-230

    Fasaha BK 2 UK 62

     
     2Ukubwa

     

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha ukubwa wa nomino

     

    Kutambua

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 229-231

    Fasaha BK 2 UK 62

     
     3MethaliKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufanya marudio zaidi

     

    Kufanya mazoezi

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 232-234

    Fasaha BK 2 UK 67

     
     4Kusoma

    Ufahamu

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kubainisha msamiati mpya

     

    Kuandika

    Kueleza

     

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 234-236

    Fasaha BK 2 UK 166

    Chem BK 2 UK 71

     
     5ShairiKufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kujibu maswali ya shairi

    Kusoma

    Kujadili

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

    KLB BK 2

    UK 241-243

    Chem BK 2 UK 82

     
     6Sarufi

    Mada mchanganyiko

    Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

    Kufanya mazoezi zaidi

     

    Kuandika

    Chaki

    Ubao

    Madaftari

     

    KLB BK 2

    UK  248-252

     
    81-6MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 
    91-6MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 
    101-4MARUDIO NA KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA DESEMBA