Free Kiswahili Grade 7 CBC Schemes of Work For Junior Secondary
WIK | KIP | MADA KUU | MADA NDOGO | MATOKEO YANAYOTARAJIWA | MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA UJIFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINNI | MAO | |
1 | 1 | USAFI WA KIBINAFSI | Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza na kujibu | Kufikia mwisho wa mada ndogo ,mwanafunzi aweze : -Kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia katika usikilizaji wa mazungumzo na kujibu maswali | Mwanafunzi aelekezwe: -kutambua vipengele muhimu katika usikilizaji na mazungumzo -kutambua vipengele vya kujibu maswali ya mazungumzo | Je, ni vipengele gani unapaswa kuzingatia unapozungumza na kujibu maswali? | -Kurunzi uk. 1-3 -vifaa halisi : mswaki,sabuni,ktana | maswali ya muhtasari | ||
2 | Kusoma-Kifungu cha simulizi | Kufikia mwishowa somo mwanafunzi, 1.Aelezwe maana ya mazungumzo 2.Asome kwa kuigiza mazungumzo aliyopewa 3. Afurahiye kujibu maswali yanayohusiana na hadithi aliyoisoma | -kusikiliza kwa makini maelezo -kuigiza kwa makundi Kufanya zoezi | Mazungumzo ni nini?
Umuhimu wa mazungumzo ni upi katika Maisha ya binadamu? | Kuruzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi uk 2-5 | Zoezi vitabuni | ||||
3 | Kuandika-Herufi kubwa na kikomo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze 1.kukumbushwa kuhusu viakifihi 2kutambua alama ya kikomo na panapotumika herufi kubwa 3.kuakifisha vifungu alivyopewa kwa usahihi. | -kutambua kwa kujadiliana -kuakifisha vyema -kufanya zoezi alilopewa bila kutatizika | Herufi kubwa na kikomo hutumika vipi?
Kuakifisha kuna umuhimu gani kwa mwanafunzi | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 6-10 | Kutazama video
Chati ukutana
kiada | ||||
4 | Sarufi-Nomino za pekee na kawaida | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze, 1.kufahamu maana ya nomino 2.kutambua nomino za pekee na nomino za kawaida 3.kutumia nomino za pekee na za kawaida katika mazungumza ya kila siku | -kujadiliana -kueleza -kutambua Kufanya zoezi | Nomino ni nini?
Kuna umuhimu wa kujua aina mbalimbali za nomino? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 11-14 | Kiada
Kadi mbalimbali Maonyesho mtandaoni | ||||
2 | 1 | LISHE BORA | Kusikiliza na kuzungumza-Sauti /dh/ na /th/ | Kufikia mwisho wa somo; mwanafunzi aweze; 1.kuelezwa kuhusu lshe bora. 2.kutambua vyakula vinavyozingatia lishe bora kwa kuzingatia sauti dh na th 3. kutambua maneno yalyotumia sauti dh na dh | -kueleza na kusikiliza -kutambua -kufanya zoezi[ | Lishe bora una umuhimu gan katika Maisha ya binadamu?
Mifano ya vyakula vilivyo na sauti dh,th ni kama gan?
| Kurunzi ya kiswahl kitabu cha mwanafunz uk 15-18 | |||
2 | Kusoma kwa mapana | Kufika mwisho wa somomwanafunzi aweze; 1.kusoma kifungu alichopewa 2.kuchambua kifungu hicho. 3.kujibu maswal ya ufahamu | Kuskiliza maelezo -kusoma ufahamu -kuchambua ufahamu -kujibu maswali ya ufamu | Ufahamu kitabuni
Kamusi sanifu | Kurunzi Ya Kiswahili uk 18-20 | Kitabu cha mwanafunzi | ||||
3 | Kuandika –Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. Kutambua muundo na umbo la barua ya kirafiki 2. Kujadili barua ya kirafiki aliyopewa 3. Kuandika mfano wa barua ya kirafiki. | Kusikiliza na kuzungumza -kusoma na kuchambua barua ya kirafiki -kuandika barua ya kirafiki | Barua ya kirafiki ina umbo na muundo gani?
Barua ya kirafiki ina umuhimu gani? | Kurunz ya kswahil uk 21-22 | Kiada
Kitabu cha marudio | ||||
4 | Sarufi-nomino za makundi na za dhahania | Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. Kukumbuswa kuhusu nomino za makundi na za dhahania 2. Kutamua nomino za makundi na za dhahania 3. Kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania | -Kujadiliana katika makundi madogomadogo.
-kutambua nomino mbalimbali za makundi na za dhahania
-kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania
| Nominoya makundi ni nini?
Kuna tofauti gani kati ya nomino za makundi na za dhahania? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 22-28 | Kiada Vitabu vya marudio Chati Maonyesho mtandaoni | ||||
3 | 1 | UHURU WA WANYAMA | Kusikiliza na kuzungumza –Tanzu za Fasihi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1.kutazama picha zilizochorwa vitabuni kwa makini 2. kuelezwa kuhusu maana ya fasihi simulizi 3.kujadiliana sifa za tanzu za fasihi simulizi | -Kutazama kwa makini -Kujadiliana kwa kina -Kutoa na kuandika maelezo | Fasihi simulizi ni nini?
Tanzu za fasihi simulizi ni zipi?
Sifa za tanzu za fasihi simulizi ni kama gani? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi uk 29-32 | Maonyesho mtandaoni
Kiada
Chati
Kadi ukutani | ||
2 | Kusoma kwa mapana-Novela | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1 kuelekezwa namna ya kusoma novela za Kiswahili 2 kuelekezwa kuchambua novela ya Kiswahili 3 kutengewa muda wa kusoma novela
| -Kusikiliza na kuzungumza
-Kusoma novela
-Kuchambua novela ya kiswahili | Novela ni nini?
Hatua za kuchambua novel ani zipi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 35-36 | Kitabu cha mwanafunzi Novela za kiswahili
| ||||
3 | Kuandika-insha ya kubuni | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kufahamu maana ya insha ya kubuni
2. kutazama mfano wa insha ya kubuni
3.kuandika insha ya ubunifu. | -kusikiliza kwa makini.
-kusoma Makala mbalimbali
-kuandika insha kwa kuzingatia ubunifu ufao.
| Insha ya kubuni ni ipi?
Ubunifu huzingatia maswala yepi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 37-40 | Vitabu vya marudio
kiada | ||||
4 | Sarufi-Nomino za wingi na vitenzi-jina | Kufikia mwisho wa soko mwanafunzi aweze; 1.kufahamu nomino za wingi na za vitenzi-jina 2. kutambua nomino za wingi na za vitenzi- jina 3. kutumia nomino za wingi na za vitenzi-jina | -kujadiliana katika makundi madogomadogo -kutambua
Kuandika na kufanya zoezi | Nomino za wingi na za vitenzi jina ni vipi?kwa nini mwanafunzi afundishwe nomino hizo?
| Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk41-46 | Chati
Maandishi ubaoni
Kitabu cha mwanafunzi | ||||
4 | MTIHANI WA TATHMINI | |||||||||
5 | 1 | AINA ZA MALIASILI | Kusikiliza na kuzungumza-Nyimbo za watoto na Bembelebzi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1.kufahamiswa maana ya maliasili na maana ya nyimbo za Watoto
2. sifa za nyimbo za Watoto
3.kuimba nyimbo za bembelezi | -Kujadiliana -Kutambua -Kuandika -kuimba nyimbo za bembelezi
| Bembelezi ni nini?
Umuhimu wa nyimbo hizi ni upi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabucha mwanafunzi uk 47-52 | Picha mtandaoni
Maonyesho darasani
Kitabu cha mwanafunzi | ||
2 | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. aweze kusoma vifungu alivyopewa 2. kutambua hatua za kusoma kwa ufasaha 3. kuchambua na kujibu maswali ya vifungu alivyosoma | Kusoma Kujadiliana Kuchambua Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma kwa ufasaha ni kufanya nini?
Hatua zipi zinazozingatiwa ili usome kwa ufasaha? | Kurunzi ya Kiswa hili kitabu cha mwanafunzi uk 53-56 | Kitabu cha mwanafunzi
Maandishi ubaoni
| ||||
3 | Kuandika –insha ya kubuni ;masimulizi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kusoma mfano wa insha ya masimuli
2.kuandika mfano wa insha ya masimulizi
4.Kufurahia kubuni hadithi na kuwasilisha kwa njia ya maandishi | -Kusoma hadithi -kuandika insha -kubuni hadithi na kuhadithia bila uoga | Masimulizi ni nini?
Hatua za kuhadithia hadithi ya kubuni? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafu uk57-60 | Kitabu cha mwanafunzi Vitabu vya marudio | ||||
4 | Sarufi – Nyakati na Hali | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kufamu maana ya nyakati na hali 2. kutambua nyakti za Kiswahili 3. kuweza kutumia nyakati na hali zifaazo katika mazungumzo ya kila siku | – Kutambua – Kujadiliana – Kuandika – kuwasiliana | Nyakati na hali za Kiswahili ni zipi? -kwa nini mwanafunzi atambuliswe kuhusu nyakati na hali za kiswahili | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi uk60-66 | Chati ukutani
Maandishi ya mwalimu
kamusi | ||||
6 | 1 | UNYANYASAJI WA KIJINSIA | Kusikiliza na kuzungumza –mazungumza mahususi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kufahamu maana ya mazungumzo 2. kuzingatia muktadha mahususi wakati wa mazungumzo 3. kuzungumza pasipo matatizo | -kujadiliana na kuwasilishafanya majadiliano
-kuandika maelezo ya mwalimu
Kufanya mazungumzo darasani | Mazungumzo mahususi huhusiana na nini?
Mazungumzo huzingatia hatua gani? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk67-73 | Maonyesho darasanimtandaoni
Kutazama mfano wa mazungumzo | ||
2 | Kusoma-ufahamu | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kusoma nakala 2. kuchambua kifungu 3. kujibu maswali ya ufahamu | -Kusoma -kujadiliana -Kuandika -Kufanya zoezi | Kwa nini mwanafunzi asome ufahamu?
Hatua za kusoma ufahamu ni kama gani? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi uk 73-76 | Kiada
Kamusi
ubao | ||||
3 | Kuandika – insha ya maelekezo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kuelezwa kuhusu insha ya maelekezo 2. kusoma mfano wa insha ya maelekezo 3. kuandika insha ya maelekezo. | -Kusikiliza kwa makini -kusoma mfano wa insha -kuandika insha | Insha ya maelekezo ni gani?
Muundona muundo wa insha hii ni gani? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk76-80 | Kitabu cha marudio
Kiada
Ubao
| ||||
4 | Sarufi- Nyakati na Hali | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kukumbuswa kuhusu nyakakati na hali 2. kutambua hali hali za Kiswahili 3. kuwa na uwezo kutumia nyakati katika hali mbalimbali | Kujadilia kuhusu somo la awali
Kutambua na kuandika maelezo ubaoni
Kuandika na kufanya zoezi kuhusu hali na nyakati mbalimbali | Kuna hali zipi unazofahamu?
Kwa nini mwanafunzi afundishwe kuhusu hali hizi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 80-86 | Kiada Kamusi Chati ukutani Maonyesho mtandaoni | ||||
7 | 1 | USALAMA SHULENI | Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza kwa kufasiri | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. asikilize kwa kufasiri Makala atakayosomewa 2. ajadili kuhusu usalama shuleni 3. mwanafunzi ahakikishe usalama shuleni kwa kuzingatia aliyosoma na kusikiliza | -Kusilkiliza kwa kufasiri -Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa -Kufanya zoezi atakalotoa mwalimu | Kufasiri ni kufanya nini?
Kusikiliza kwa kufasiri ni kufanya nini? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Uk 88-90 | Mtandao
Kiada
Maandishi ubaoni | ||
2 | Kusoma-dhana za maudhui na dhamira | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kusoma kwa kuzingatia maudhui na dhamira 2. kutambua maudhui na dhamira ya kifungu alichopewa 3. kuchambua kifungu na kujibu maswali ya ufahamu. | -Kujadiliana na kuwasilisha majadiliano
-Kuandika maelezo
-Kuuliza na kujibu maswali | Maaudhui na dhamira ni nini?
Kwa nini tuzingatie maadhui na dhamira unaposoma hadithi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 90-92 | Kiada
kamusi | ||||
3 | Kuandika-insha ya masimulizi;Picha | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kujua muundo na mtindo wa insha yamasimulizi 2. kutazama picha kwa makini 3. kusimulia alichoelewa kutokana na picha ile | -kutazama -kujadiliana -kuandika -kutathmini | Insha ya picha huandikwaje?
Insha ya picha huwa na muundo upi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 93-93-95 | Maandishi vitabu
Vitabu vya marudio | ||||
4 | Sarufi-vitenzi na vitenzi visaidizi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kujua tofauti ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi 2. kutambua vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi 3. kuweza kutumia vitenzi vikuuu na vitenzi visaidizi | -Kutofautisha -Kujadiliana npamoja na kuandika -Kufanya zoezi Kutumia | Vitunzi vikuu na vitenzi visaidizi ni nini?
Vitenzi hivi hutumika aje kwenye sentensi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Uk95-100 | Kiada Ubao Vitabu vya marudio | ||||
8 | 1 | MTIHANI WA MWIGO | ||||||||
9 | 1 | KUHUDUMIA JAMII SHULENI | Kusikiliza na kuzungumza –ufahamu | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi a weze; 1. kufahamishwa kuhusu kusikiliza kwa kufahamu 2. kutambua hatua za kusikiliza kwa kufahamu 3. kuweza kusikiliza kwa kufahamu | -Kusikiliza -Kuuliza na kuuliza maswali -Kujadiliana na kuwasilisha kilichojadiliwa | Kwa nini mwanafunzi afundishwe ufahamu?
Hatua za kujibu maswali ya ufahamu ni zipi? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 101-103 | Kiada
Kamusi
ubao | ||
2 | Kusoma-Ufupisho | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kusoma ufamau 2. kuchambua ufahamu 3. kujibu maswali ya ufahamu | -Kusoma -Kuuliza na kujibu maswali -Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa -Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma ufahamu kunahusu nini?
Maswali ya ufahamu yanajibiwaje? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 104-106 | Kiada Daftari ubao | ||||
3 | Kuandika-insha za kubuni-Maelezo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kukumbushwa kuhusu insha ya maelezo 2. kusoma mfano wa insha ya maelezo na kujadili 3. kuandika insha ya maelezo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kuandika insha ya maelezo | Kwa nini mwana funzi afundishwe insha ya maelezo?
Insha ya maelezo ina muundo na mtindo gani? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi | Kiada Ubao vitabu vya insha kabambe | ||||
4 | Sarufi-vitenzi vishirikishi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kujadili kuhusu vitenzi vishirikishi 2. kutambua vitenzi vishirikiishi 3. kutumia vitenzi vishirikishi kwa ufasaha | Kujadiliana. Kuwasilisha majadiliano. Kujibu na kuuliza maswali. Kuandka kilichojadiliwa. | Vitenzi vishirikishi ni nini? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk106-109 | Kitabu cha mwanafunzi
Ubao
daftari | ||||
10 | 1 | ULANGUZI WA BINADAMU | Kusikiliza na kuzungumza – kupasha Habari | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kugundua maana ya matangazo ya kupasha habari 2. kutambua aina ya matangazo ya kupasha habari 3. kutumia vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo ya kupasha habari | Kujadiliana
Kuandika
Kujibu na kuuliza maswali | Habari ya kupasha habari ni gani?
Vipengele gani vinavyofwatwa katika mazungumzo ya kupasha habari? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Uk114-118 | Kiada
Kamusi
daftari | ||
2 | Kusoma kwa kina-manndari na ploti-mandhari katika novela | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kusoma ufahamu 2. kuchambua ufahamu 3. kujibu maswali ya ufahamu
| -Kusoma kujadiliana -kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu Kuandika na kufanya zoezi la ufahamu | Ufahamu humusaidia mwanafunzi aje?
Maswali ya ufahamu yanalenga nini? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Uk118-123
| |||||
3 | Kuandika-viakifishi;kiluzi na Koma | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kufahamiswa kuhusu viulizi na koma katika uandishi 2. kutambua matumizi ya koma na viulizi katika uandishi 3. kuandika insha akizingatia allama za koma na viulizi | -Kujadili -Kutambua -Kuandika -kutumia | Koma na viulizi ni alama zipi?
Kwa nini alama za koma na viulizi zitumike? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Uk123-126 | Kiada
ubao | ||||
4 | Sarufi-Ngeli na upatanisho wa Kisarufi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze; 1. kufahamu ngeli za Kiswahili 2. kutambua upatanisho wa ngeli katika sarufi 3. kutumia | -kufahamu -kujadiliana -kuandika | Ngeli ni nini?
Kwa nini ngeli izingatiwe? | Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi uk 127-136 | Chati ukutani
Maonyesho mtandaoni? | ||||
11,12,13 – MAREJELEO ,KUDURUSU ,MAANDILIZI YA MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA ; KUFUNGA SHULE KWA MUHULA WA KWANZA. | ||||||||||