AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA KWANZA
MUHULA WA I
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
DOWNLOAD THE PDF SCHEMES HERE; Schemes of work for all subjects, free updated downloads- Secondary schools
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1-4 | KUFUNGUA | ||||||
5 | 1 | Matamshi Bora Vitate b na p | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ya p na b Kutunga sentensi sahihi Kueleza tofauti kimaana | Kusikiliza na kuandika Kutamka | Chati Ubao Wanafunzi | Oxford BK 1 UK 16 KLB BK 1 UK 1 Chemichemi BK 1 UK 36-45 | |
2 | Maamkizi na Adabu Nyumbani na dukani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza misamiati tofauti ya adabu Kutunga sentensi akitumia maneno ya adabu | Kuandika Kujadili Kufunga zoezi | Chati Redio Kadi Ubao | Oxford BK 1 UK 12 KLB BK 1 UK 1 Kamusi ya Kiswahili | ||
3 | Ufahamu Chanzo cha utovu wa nidhamu shuleni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kufungu kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma kimya Kusoma na kudokezana Kujadili Kuandika madaftarini | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 4-6 Kamusi ya kiswahili | ||
4 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kifungu na kuandikisha hoja muhimu Kuandika muhtasari kwa njia ifaayo | Kujadili Kuandika madaftarini | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 7-8 Mwongozo wa kiswahili | ||
5 na 6 | Sarufi Aina za maneno | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana za kila neon Kubainisha katika sentensi | Kusoma Kueleza Kujadili Kuandika | Chati Ubao Vifaa halifi | Oxford BK 1 UK 23 KLB BK 1 UK 8-9 Chemichemi BK 1 UK 31-48 | ||
6 | 1 | Sentenzi Aina za sentensi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza miundo mbalimbali ya sentenzi, Kutunga sentenzi | Kuandika Kujadili Kutunga sentenzi | Ubao Jedwali | KLB BK 1 UK 10-13 Oxford UK 37 Mwongozo UK 8 | |
2 na 3 | Kuandika Insha – maana Insha ya barua | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufafanua sehemu muhimu za insha Kueleza sifa zake Kuandika insha kwa mtiririko nzuri na hati nzuri | Kujadili Kuandika | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 13-15 Oxford UK 57 Chemichemi UK 14-16
| ||
4 | Vitate R – L | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ya R na L, Kutunga sentensi | Kutamka Kuandika Kutunga sentensi | Chati Ubao Wanafunzi | KLB BK 1 UK 10-13 Kamusi ya kiswahili
| ||
5 | Sarufi Aina za sauti Irabu na konsonanti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja ala za kutamkia Kutamka irabu/konsonanti Kuchora mkondo wa hewa | Kutamka Kuandika Kuchora | Jedwali Ubao | KLB BK 1 UK 16-20 Oxford UK 1-3
| ||
6 | Ufahamu Mawasiliano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kutamka bora Kujadili Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma kifungu Kujadili Kufanya maswali madaftarini | Kifungu kitabuni Ubao Michoro | KLB BK 1 UK 13-15 Mwongozo UK 12-13
| ||
7 | 1-2 | Sarufi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo Kubainisha alama na matumizi yao | Kujadili Kuandika madaftarini | Jedwali Ubao | KLB BK 1 UK 22-25 Oxford UK 40
| |
3 | Vitate F na V | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ya sauti F na V Kutunga sentensi | Kutamka Kuandika | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 27 Mwongozo UK 14
| ||
4 | Kuandika Vitanza ndimi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka upesi na kwa ufasaha Watunge vitanza ndimi | Kutamka Kuandika Kutunga | Vifaa halisi Ubao | KLB BK 1 UK 26 Chemichemi UK 51
| ||
5 | Ufahamu Mama aficha simu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha Kujadili Kujibu maswali | Kujadili Kuandika Kufanya zoezi | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 28 Mwongozo UK 16-17
| ||
6 | Fasihi Maana Umuhimu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya fasihi Kuandika umuhimu wa fasihi | Kuandika Kujadili | Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 49 Oxford UK 48
| ||
8 | 1 | Ufahamu Safari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma kwa kupokezana Kujadili kuandika | Vifaa halisi Ubao Kitabu cha wanafunzi | KLB BK 1 UK 28-30 Mwongozo UK 17-18 | |
2 | Sarufi Ngeli ya A-WA | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua umuhimu wa ngeli Kufanya zoezi kwa ufasaha | Kuandika Kujadili | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 30-32 Oxford UK 49
| ||
3 | Kuandika Taarifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika insha ya taarifa kwa mtiririko na hati nadhifu | Kujadili Kuandika | Ubao Kielelezo kitabuni | KLB BK 1 UK 33 | ||
4 | Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya misemo Kutumia misemo kwa ufasaha sentensini | Kuandika Kujadili Kufanya zoezi | Jedwali Ubao | KLB BK 1 UK 37 Oxford UK 16 Kamusi ya misemo | ||
5 | Kusoma Maisha ya mjini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma Kujadili Kuandika | Ubao Kifungu kitabuni Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 37-39 Mwongozo UK 23
| ||
6 | Sauti tatanishi Ch na Sh | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ya sauti Ch na Sh Kutunga sentensi sahihi | Kutamka Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 34 | ||
9 | 1 | Sarufi Ngeli ya U-I | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia nomino za ngeli ya U-I kwa ufasaha katika sentensi | © Education Plus Agencies Kuandika Kujadili Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 40 Oxford UK 49
| |
2-3 | Kuakifisha 2 | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo Kubainisha matumizi ya kila alama | Kujadili Kuandika Kutunga sentensi | Jedwali Ubao | KLB BK 1 UK 41 Oxford UK 127 Mwongozo UK 25 | ||
4 | Kuandika Kujaza fomu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja aina za fomu Kujaza fomu kwa ufasaha | Kuandika Kujaza fomu | Vielelezo vya fomu Ubao | KLB BK 1 UK 49 Oxford UK 78
| ||
5 | Fasihi Aina za fasihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina za fasihi Kutaja mifano yao | Kujadili Kuandika | Cahti Ubao | KLB BK 1 UK 51 Oxford UK 8-9 Mwongozo UK 28 | ||
6 | Kusoma Mavazi rekebisheni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma kwa kupokezana Kujadili Kuandika Kufanya zoezi | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 51-53 Mwongozo UK 29 Kamusi ya kiswahili
| ||
10 | 1 | Sarufi Ngeli ya LI-YA | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA Kutumia nomino hizo katika sentensi | Kunadika Kutunga sentensi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 53-55 Oxford UK 50 Mwongozo UK 30 | |
2 | Kuandika Maelezo/maagizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika insha kwa mtiririko mzuri na hati nadhifu | Kujadili Kuandika Kutunga mtungo | Kielelezo kitabuni Ubao Jedwali
| KLB BK 1 UK 55-56 Oxford UK 36 | ||
3 | Ufahamu Dawa za kulevya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 57 Mwongozo wa mwalimu | ||
4 | Kusoma Maradhi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali vilivyo | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Ubao Vifaa halisi Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 58-59 Kamusi ya kiswahili
| ||
5 | Sarufi Ngeli ya KI-VI | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI Kutumia ngeli hizo sentensini | Kujadili Kuandika | Jedwali Ubao | KLB BK 1 UK 60 Mwongozo UK 36
| ||
6 | Sarufi Ngeli ya U-YA | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI Kutumia katika sentensi | Kuandika Kutunga sentensi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 61-63 Oxford UK 49-51
| ||
11 | 1 | Kusoma Matumizi ya kamusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja matumizi ya kamusi Kueleza sifa za kamusi | Kusoma Kuandika | Jedwali Vifaa halisi Kamusi mbalimbali | KLB BK 1 UK 70-74 Oxford UK 33-34 Kamusi | |
2 | Sarufi Ngeli ya I-ZI | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino ya ngeli ya I-ZI Kutunga sentensi | Kuandika Kutunga sentensi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 74-76 Oxford UK 50 Mwongozo UK 42 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Sarufi Ngeli ya I-I | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kutambua nomino za ngeli ya I-I Kutumia nomino za ngeli hizo katika sentensi | Kujadili Kuandika Kutunga sentensi | Ubao Chati | KLB BK 1 UK 76-77 Oxford UK 51
| ||
5-6 | Fasihi Nyimbo – Maana – Umuhimu – Sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kueleza aina za nyimbo Kupambanua dhima za nyimbo mbalimbali | Kueleza Kuimba Kusoma Kuandika | Wimbo Redio na kanda za nyimbo Wanafunzi wenyewe | KLB BK 1 UK 67 Chemichemi UK 162
| ||
12 | 1-2 | Sarufi Ngeli ya YA-YA | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA Kutumia ngeli hizo katika sentensi | Kujadili Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 63 Oxford UK 63
| |
3 | Kuandika Maelezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua vipengele muhimu nya insha ya maelezo Kuandika insha | Kuandika Kujadili | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 65 Chemichemi UK 104-105
| ||
4-6 | Marudio Sarufi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sifa za sarufi Aina za sentensi pamoja na maneno | Kujadili Kuandika | Ubao | Vitabu vyao | ||
13 | 1-6 | MARUDIO | |||||
14-15 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA NA KUFUNGA SHULE |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA KWANZA
MUHULA WA II
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 1-4 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Matamshi Bora Sauti L, W na Y | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka kwa ufasaha Kutoa maelezo tofauti kimaana Kutunga sentensi | Kuandika Kutamka Zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 66 Mwongozo wa mwalimu Kamusi | |
2 | Silabi za Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza tofauti iliyopo Kujua matumizi ya kila moja | Kutamka Kuandika Kufanya zoezi | Jedwali Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 66-67 Oxford UK 19
| ||
3 | Ushairi – Simulizi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja aina za nyimbo Kuimba bembelezi kwa usahihi | Kujadili Kuimba Kuandika | Redio na kanda Picha za waimbaji | KLB BK 1 UK 67-70 Chemichemi UK 171
| ||
4 | Kuandika Insha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Maana na umuhimu wa ratiba Kuandika ratiba kwa njia ifaayo | Maswali ya dodoso kuhusu ratiba Kuandika | Ubao Ratiba halisi | KLB BK 1 UK 71-72 Chemichemi UK 45-46 Mwongozo UK 43 | ||
5 | Kusikiliza na Kuzungumza Hotuba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za hotuba Kusoma hotuba kwa matamshi bora Kutoa hotuba mbele ya darasa | Kusoma Kujadili Kuigiza hotuba | Kifungu kitabuni Wanafunzi | KLB BK 1 UK 79 Chemichemi UK 159
| ||
6 | Ufahamu Uhalifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kuandika | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 80-82 Mwongozo UK 44
| ||
3 | 1 | Fasihi Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya mafumbo Kutaja sifa za mafumbo | Kujadili Kuandika | Redio Kitabu cah wanafunzi | Fasihi simulizi UK 28 Oxford UK 57
| |
2 | Kusoma Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kutaja aina za mashairi Kueleza maana ya shairi | Kusoma Kujadili Kuandika | Ubao Mashairi kitabuni | KLB BK 1 UK 82-83 Mwongozo UK 46-47 Kamusi
| ||
3 | Ufahamu Wasomi wa sayansi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali kikamilifu | Kusoma kwa kupokezana Kujadili | Kufungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 84-86 Mwongozo UK 47
| ||
4-5 | Sarufi Ngeli ya U-ZI Ngeli ya U-U | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI na U-U Kutunga sentensi | Kujadili Kuandika Zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 86-88 Oxford UK 51 Mwongozo UK 48-49 | ||
6 | Fasihi Umuhimu wa mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza umuhimu wa mafumbo | Kujadili Kuandika madaftarini | Chati Ubao Wanafunzi | Fasihi simulizi UK 24 Fasaha | ||
4 | 1 | Kuandika Hotuba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua vipengele mbalimbali nya insha ya hotuba Kuandika insha ya hotuba ipasavyo | Kujadili Kuandika madaftarini | Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 89 Oxford UK 142 Mwongozo UK 49 | |
| 2-3 | Hadithi Maana Sifa Umuhimu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya hadithi na umuhimu wake Kuhadithiana | Kusoma Kueleza Kuandika | Kielelezo kitabuni Ubao Hadithi | KLB BK 1 UK 90-91 Oxford UK 26-27 Mwongozo UK 50
| |
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Hekaya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya hekaya Kuambiana hekaya | Kusoma Kujadili Kuandika | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 92-93 Mwongozo UK 51
| ||
6 | Kusoma Ngeli za nomino zitumiwanyo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza umuhimu wa ngeli Kujibu maswali | Kueleza Kujadili Kufanya zoezi | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 93-95 Mwongozo UK 51
| ||
5 | 1 | Sarufi Ngeli ya mahali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua viambishi vya ngeli ya mahali Kutunga sentensi | Kujadili Kuandika | Michoro Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 96-98 Oxford UK 51 Mwongozo UK 95
| |
2 | Kuandika Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufafanua yanayoshughulikiwa katika utungaji Kueleza sifa za hadithi fupi | Kujadili Kuandika madaftarini | Chati Ubao Kielelezo | KLB BK 1 UK 98 Oxford UK 105
| ||
| 3 | MTIHANI | |||||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza Hurafa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja sifa za hurafa Kujibu maswali | Kusoma Kujadili Kujibu maswali | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 99 Oxford UK 35 Mwongozo UK 55 | ||
5 | Kusoma Mashairi vue | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kukariri shairi kwa mahadhi bora Kujibu maswali | Kujadili Kueleza Kuandika | Ubao Nakala za mashairi | KLB BK 1 UK 102-103 Chemichemi UK 63
| ||
6 | Fasihi Vitendawili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya vitendawili Kufafanua sifa za vitendawili | Kusoma Kujadili Kuandika | Ubao Nakala za fasihi | KLB BK 1 UK 128 Fasihi simulizi UK 24 | ||
6 | 1 | Sarufi Ngeli ya KU | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Nomino za ngeli ya KU sentensini Kujibu maswali | Kujadili Kutunga sentensi madaftarini | Chati Ubao Nakala | KLB BK 1 UK 104 Oxford UK 50-51 Mwongozo UK 57 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Kuandika Mashairi mepesi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kukariri shairi kwa mahadhi bora Kuandika shairi mepesi | Kujadili Kuandika Kujibu maswali | Ubao Chati Magazeti | KLB BK 1 UK 106 Chemichemi UK 63
| ||
4 | Vitate Z na S Sh na S | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno ya sauti z, s, sh na s Kutunga sentensi sahihi | Kutamka Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao Kamusi | KLB BK 1 UK 107 Mwongozo UK 58
| ||
5 | Mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za mahojiano Kushiriki katika kuigiza mahojiano | Kujadili Kueleza Kuandika | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 107-109 Chemichemi UK 129 | ||
6 | Sarufi Matumizi ya lugha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kujibu maswali kwa usahihi | Kusoma ghibu kitabuni Kuandika majibu | Ubao Maswali | KLB BK 1 UK 104 Maswali peku | ||
7 | 1 | Vitanze Ndimi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka vitanze ndimi upesi Kueleza maana ya vitanza ndimi | Kujadili Kuandika | Jedwali Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 26 Oxford UK 143
| |
2 | Fasihi Simulizi Marudio | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya fasihi Kueleza aina za fasihi Kufafanua umuhimu wa fasihi | Kujadili | Nakala halisi Ubao | Kuikarabaili lugha | ||
3-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
8 | 1 | KURUDI KUTOKA MAPUMZIKO MAFUPI | |||||
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Kusoma Ajira ya watoto | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maswala yanayohusiana na ajira ya watoto Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali | Kusoma kujibu maswali Kujadili Kujadili maadili yaliyomo | Ubao Picha za watoto Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 109-111 Oxford UK 172
| ||
4 | Kuandika Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika sifa za muhtasari Kuandika muhtasari | Kujadili Kusoma kielelezo Kuandika | Ubao Kielelezo cha ufupisho | KLB BK 1 UK 112 Chemichemi UK 57-59 | ||
5 | Sarufi Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya viwakilishi Kutaja viambishi mbalimbali Kutunga sentensi | Kusoma maelezo kitabuni Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 112-113 Mwongozo UK 61
| ||
6 | Fasihi Umuhimu wa vitendawili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja umuhimu wa vitendawili katika jamii Kutegeana vitendawili | Kutega na kutegua vitendawili Kujadili Kufanya zoezi | Ubao Wanafunzi wenyewe | KLB BK 1 UK 128 Chemichemi UK 122
| ||
9 | 1-2 | Sarufi Nyakati na ukanusho | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja nyakati mbalimbali Kukanusha sentensi za nyakati mbalimbali | Maswali ya dodoso Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 113-116 Oxford UK 62-93 Chemichemi UK 43 | |
3 | Imla | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuendeleza maneno kwa usahihi Kutamka kwa ufasaha | Kujadili Kutamka Kuandika | Ubao Chati Wanafunzi | KLB BK 1 UK 117 Mwongozo UK 63
| ||
4 | Kuandika Mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika sifa za mahojiano Kuandika mahojiano kwa hati nadhifu na mtiririko mzuri | Kuandika Kujadili | Nakala Ubao | KLB BK 1 UK 118 Chemichemi UK 63
| ||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Kusikiliza na Kuzungumza Vitendawili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua fomula ya vitendawili Kutegeana vitendawili | Kujadili Kuandika Kufanya zoezi | Ubao Chati Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 119-120 Oxford UK 108
| ||
10 | 1 | Kusoma Muwele | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kueleza maadili katika taarifa Kujibu maswali | Kusoma kwa zamu Kueleza msamiati Kufanya zoezi | Ubao Kifungu kitabuni | KLB BK 1 UK 121-123 Mwongozo UK 65
| |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Sarufi Vivumishi nya sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya vivumishi Kutumia vivunishi vya sifa katika sentensi | Kujadili Kuandika | Chati Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 123-124 Oxford UK 156
| ||
4 | Sarufi Vionyeshi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya vionyeshi Kutunga sentensi | Kujadili Kuandika Kutunga mifano | Vifaa halisi Ubao Chati | KLB BK 1 UK 125-128 Oxford UK 164 Chemichemi UK 19-20 | ||
5 | Kuandika | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza vipengele muhimu nya uandishi wa vitendawili | Kueleza Kujadili Kuandika | Ubao Jedwali | KLB BK 1 UK 128 Mwongozo UK 69
| ||
6 | Fasihi Sifa na umuhimu wa vitanza ndimi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa na umuhimu wa vitanza ndimi | Kujadili Kuandika | Jedwali Ubao Wanafunzi wenyewe | KLB BK 1 UK 26 Fasihi simulizi UK 32 | ||
11 | 1-2 | Kusikiliza na Kuzungumza Nyimbo za kazi na tohara | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja sifa za nyimbo za kazi Kueleza umuhimu wake | Kueleza Kujadili Kuandika | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 129-132 Fasaha UK 76 | |
3 | Kusoma | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma ufahamu kwa matamshi bora Kuchambua ujumbe muhimu | Kusoma kwa kupokezana Kufanya zoezi | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 132-135 Mwongozo UK 70 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Kuandika Matangazo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutoa fasili ya matangazo Kuandika matangazo kwa usahihi | Kujadili Kuandika tangazo | Chati Ubao Kielelezo | KLB BK 1 UK 137-138 Chemichemi UK 57 Mwongozo UK 73 | ||
6 | Fasihi Kudurusu nyimbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukumbuka kwa kueleza sifa za nyimbo Umuhimu wa nyimbo
| Kujibu maswali Kufanya masahihisho | Nakala Ubao | Nakala zao | ||
12 | 1 | Maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua maana ya maigizo Kueleza umuhimu wa maigizo | Kueleza Kuandika Kuigiza | Ubao Wanafunzi | KLB BK 1 UK 139 Oxford UK 76
| |
2 | Kusoma Tamthilia | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kufafanua sifa za tamthilia Kusoma tamthilia na kueleza ujumbe | Kutaja Kueleza Kujibu maswali | Tamthilia fupifupi Ubao | KLB BK 1 UK 140 Chemichemi UK 111
| ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Sarufi Kiwakilishi rejeshi ‘O’ | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua matumizi ya ‘O’ rejeshi Kutunga sentensi sahihi | Maswali Kueleza Kujibu maswali | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 143 Chemichemi UK 157 Mwongozo UK 104 | ||
5 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza vipengele vya muhtasari Kuandika muhtasari ipasavyo | Kuandika Kujibu maswali | Ubao Kielelezo kitabuni | KLB BK 1 UK 143 Mwongozo UK 75
| ||
6 | Fasihi Hadithi (Marudio) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja aina za hadithi Kutambua umuhimu wa hadithi | Kujadili Kuandika | Jedwali Vifaa halisi Ubao | Ijaribu UK 155 Fasihi simulizi UK 34
| ||
13 | 1 | Kuandika Onyo/ilani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza miundo ya ilani Kuandika onyo kikamilifu | Kueleza Kujadili Kuandika | Chati Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 147 Oxford UK 91 Mwongozo UK 76 | |
2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za majadiliano Kuandika majadiliano | Kujadili kwa makundi Kujibu maswali | Ubao Wanafunzi | KLB BK 1 UK 149 Chemichemi UK 156 Mwongozo UK 143 | ||
3 | Kusoma Maktaba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kueleza aina za maktaba Kueleza umuhimu wa maktaba | Kutaja Kujadili Kufanya zoezi | Chati Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 149-152 Mwongozo UK 77 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5-6 | Sarufi Udogo Ukubwa wa nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja nomino mbalimbali Kubainisha nomino kutoka kawaida hadi ukubwa na udogo | Kujadili Kufanya zoezi | Chati Vifaa halisi Ubao | KLB BK 1 UK 152-154 Chemichemi UK 115-117
| ||
14 | 1-2 | Sarufi Kirejeshi – amba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua matumizi ya ‘amba’ pamoja na nomino za ngeli Kujibu maswali ya ‘amba’ kwa usahihi | Kuandika Kujibu maswali Kusahihisha | Ubao Wanafunzi | Vitabu vya wanafunzi | |
3-4 | Sarufi Kudurusu sarufi Ngeli na sentensi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma maswali na kujibu kwa ufasaha | Kuandika Kujibu maswali Kusahihisha | Ubao Wanafunzi | Vitabu vya wanafunzi | ||
5-6 | Sarufi Ngeli na nomino PA-KU-MU | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Nomino za ngeli ya PA-KU-MU sentensini Kujibu maswali | Kuandika Kujibu maswali Kusahihisha | Ubao Wanafunzi | Vitabu vya wanafunzi | ||
15 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA KWANZA
MUHULA WA III
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 1-4 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Sarufi Kiwakilishi ‘amba’ Marudio | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa maswali Kujibu maswali kwa ufasaha | Kusoma ghibu kitabuni Kuandika majibu Kujadili majibu | Ubao Wanafunzi wenyewe | KLB BK 1 UK 135-137 Oxford UK 74 Mwongozo wa mwalimu | |
2 | Marudio Tathmini ya kwanza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika majibu kulingana na maswali | Kuandika Kujadili Kufanya masahihisho | Ubao Maswali | Mwongozo wa mwalimu | ||
3 | Kuandika | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kupambanua miundo ya barua rasmi na sifa zake Kuandika barua rasmi | Kujadili Kuandika madaftarini | Nakala za barua rasmi Ubao | KLB BK 1 UK 154 Oxford UK 115 Chemichemi UK 9-13 | ||
4 | Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya methali Kujibu maswali | Kueleza Kujadili Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 155-157 Oxford UK 69 Chemichemi UK 113-114 | ||
5 | Riwaya Mikono juu inspekta | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kueleza misamiati iliyomo kifunguni | Kusoma kwa kupokezana Kujadili ujumbe Kuandika | Vifaa halisi Ubao Kufungu | KLB BK 1 UK 158-159 Mwongozo UK 84 | ||
6 | Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi Kutenda, Kutendea, Kutendeka | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja vitenzi mbalimbali Kunyambua vitenzi katika kauli zote | Kusoma Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 160-162 Oxford UK 110 Chemichemi UK 69-72 | ||
3 | 1 | Sarufi Mnyambuliko | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja vitenzi mbalimbali Kunyambua vitenzi – kutendwa na kutendewa | Kueleza Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 166 Fasaha UK 110 Chemichemi UK 92-93 | |
2 | Kuandika | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja sifa za masimulizi Kuandika masimulizi kwa mtiririko | Kujadili Kuandika | Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 167 Oxford UK 28 Mwongozo UK 87 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kujadili maadili kutoka kifungu | Kusoma kwa kupokezana Kujadili Kujibu maswali | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 168-170 Kamusi Mwongozo UK 58 | ||
5 | Tashbihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya tashbihi Kufanya zoezi kikamilifu | Kueleza Kuandika Kufanya zoezi | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 1170 Oxford UK 45 Chemichemi UK 99-100 | ||
6 | Fasihi Hekaya (Marudio) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali kikamilifu na kwa ufasaha | Kujadili Kuandika Kusoma | Kielelezo kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 90 Ijaribu UK 156 | ||
4 | 1 | Istiara | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya istiara Kujibu maswali kikamilifu | Kujadili Kuandika | Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 171-172 Mwongozo UK 90 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Kusoma Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sifa za ushairi Kueleza ujumbe uliopo | Kusoma kwa sauti na kupokezana Kujadili Kuandika | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 173-175 Oxford UK 92 Mwongozo UK 91-92 | ||
4-5 | Sarufi Mnyambuliko (2) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja vitenzi mbalimbali Kunyambua vitenzi hivyo katika kauli mbalimbali | Kueleza Kujadili Kuandika | Ubao Chati | KLB BK 1 UK 93 Chemichemi UK 176-178 Mwongozo UK 82 | ||
6 | Kuandika Mdokezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za insha ya mdokezo Kutunga insha kwa hati nadhifu | Kujadili Kuandika | Ubao Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 178 Mwongozo UK 93 | ||
5 | 1-2 | Sarufi Vivumishi ‘O’ rejeshi (marudio) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kujibu maswali Kuandika kwa hati nzuri | Kusoma ghibu Kujibu maswali Kusahihisha na kufanya marudio | Ubao Wanafunzi | KLB BK 1 UK 123 Oxford UK 102 Chemichemi UK 157 | |
3-6 | MAPUMZIKO YA KATIKATI YA MUHULA | ||||||
6 | 1 | KURUDI KUTOKA LIKIZO FUPI | |||||
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa kina na kutambua maadili Kujibu maswali | Kusoma Kujadili Kuandika | Kifungu kitabuni Ubao | KLB BK 1 UK 179-181 Mwongozo UK 94 | ||
4 | Riwaya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sifa za riwaya Kujibu maswali | Kusoma Kueleza Kujadili Kufanya zoezi | Ubao Wanafunzi | KLB BK 1 UK 181-183 Mwongozo UK 95 | ||
5 | Matumizi ya kamusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja na kueleza aina za kamusi Kueleza umuhimu wa kamusi | Kuandika Kueleza Kujibu maswali |
| KLB BK 1 UK 183 Chemichemi UK 20-21 Mwongozo UK 13 | ||
6 | Fasihi Khurafa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya khurafa Kutaja umuhimu wa khurafa | Kueleza Kuandika | Ubao | KLB BK 1 UK 184 | ||
7 | 1 | Fasihi andishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja vipera vya fasihi andishi Kuchambua makala kwa misingi ya; ploti, fani, maudhui, dhamira n.k. | Kuandika Kujadili Kuhakiki | Chati Ubao | KLB BK 1 UK 184 Chemichemi UK 99 Mwongozo UK 69 | |
2-5 | MTIHANI | ||||||
| 6 | Fasihi visasili | |||||
8 | 1 | Mnyambuliko | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja vitenzi mbalimbali na kuvinyambua kwa hali mbalimbali | Kutaja Kuandika | Jedwali Vifaa halisi | KLB BK 1 UK 18 Mwongozo UK 99 | |
2 | Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya methali Kueleza matumizi ya methali | Kujadili Kuandika Kujibu maswali | Vifaa halisi Ubao | KLB BK 1 UK 189 Chemichemi UK 99-100 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Semi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya semi Kutaja vipera vyake Kueleza umuhimu | Kutaja Kueleza Kuandika | Vifaa halisi Ubao Jedwali | KLB BK 1 UK 190 Ijaribu | ||
5-6 | Fasihi Visakale/mighani/ Ushujaa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya visakale Sifa zake Umuhimu | Kueleza Kuandika Kuhadithia | Jedwali Ubao Vifaa halisi | Ijaribu UK 155 | ||
9 | 1-6 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA NA KUFUNGA SHULE |