AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE
MUHULA WA I
ASILIA
- KISWAHILI SANIFU
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
1 | MATAYARISHONA KUFUGUA SHULE | ||||||||
2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Maamkizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. Habari nzuri. | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 2 MWM UK1 | |
2 | kusoma Ufahamu | Chada chema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu chada chema | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 3 MWM UK3 | ||
3 | Maombo ya lugha | Shairi ‘saiti kwenda wema’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kukariri shairi ‘saiti kwenda wema,’ | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 4 MWM UK4 | ||
4 | Sarufi | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kulikariri shairi ‘umuhimu wa kutenda wema’ | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK5 MWM UK4 | ||
5 | Kuandika (insha) | Heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia maneno ya heshima ifaayo katika insha | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK5-7 MWM UK5 | ||
3 | 1 | Kuongea/kusikiliza | Akisami | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha akisami pammoja na maelozo yake, kuandika akisami kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK7 MWM UK7 | |
2 | Ufahamu | Majaaliwa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK8 MWM UK8 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Misemo na methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia misemo na methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK9 MWM UK9 | ||
4 | Sarufi | Vivumishi visivyochukua viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia vivumishi katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK11 MWM UK10 | ||
5 | Kuandika (insha) | Siku ambayo sitaishahau | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK12 MWM UK10 | ||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha tarakimu milion kumi hadi milioni mia moja na kuandika tarakimu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 12 MWM UK11 | |
2 | Ufahamu | Sayari | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati wa sayari kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK20 MWM UK12 | |||
3 | Mapabo ya lugha | Vitate | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia vitate katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 14 MWM UK14 | |||
4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK22 MWM UK26 | |||
5 | Kuandika (insha) | Sayari | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK18 | ||
5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Dira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa dira kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 25 MWM UK20 | ||
2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 26 MWM UK22 | |||
3 | Mapambo ya lugha | Silabi- cha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK28 MWM UK23 | ||
4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK29 MWM UK24 | |||
5 | Kuandika (insha) | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK30 MWM UK | ||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Mali ya sili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua faida za maliasilina wajibu wake kuzihusu | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 12 MWM UK25 | |
2 | Ufahamu | Maliasili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK38 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Methali zinazopingana kimaana | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zinazo pingana kimaana | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK39 MWM UK | ||
4 | Sarufi | Viunganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 40 MWM UK28 | ||
5 | Kuandika (insha) | Maliasili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 13 MWM UK | ||
7 | MTIHANI WA KATI WA MUHULA | ||||||||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya wizara mbalimbali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza shughuli za wizara mbalimbali | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 40 MWM UK29 | |
2 | Ufahamu | Lau ningekuwa waziri ya elimu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK41 MWM UK31 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Visawe
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika visawe huku akieleza maana | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 44 MWM UK33 | ||
4 | Sarufi | Viunganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika viunganishi vya chaguo na vya nyongaza kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 45 MWM UK34 | ||
5 | Kuandika (insha) | Lau ninekuwa waziri wa elimu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunz -Kamusi -Kamusi i | KS KCM UK 46 MWM UK35 | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ngonjera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngojera, kukariri na kufafanua ujube | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 47 MWM UK37 | |
2 | Ufahamu | Utenzi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 5 6 MWM UK39 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Nimino za makundi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia nomino za makundi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 57 MWM UK40 | ||
4 | Sarufi | Viunganishi linganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia viunganishi linganishi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 17 MWM UK | ||
5 | Kuandika (insha) | Utungaji mashairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuakifisha, kutunga shairi kuzingatia arudhi kulingana na kichwa na beti alizopewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 58 MWM UK40 | ||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Msamiati wa mahakamani | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa maneno wa mahakamani | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 49 MWM UK | |
2 | Ufahamu | Usipoziba ufa
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 19 MWM UK42 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 59 MWM UK43 | ||
4 | Sarufi | Manano ya kutiria mkazo(takriri)
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia maneno ya kutilia mkazo katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 61 MWM UK45 | ||
5 | Kuandika (insha) | kumbumbu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha ya kumbumbu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 62 MWM UK45 | ||
11 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | KS KCM UK 63 MWM UK46 | |
2 | Ufahamu | Wageni mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi -Kamusi | KS KCM UK 64 MWM UK47 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Methali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 76 MWM UK51 | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya ‘si-’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi sahihi ya ‘si –‘ | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 77 MWM UK52 | ||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Vipindi vya redio na runinga
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza redio narununga nakujibu maswali yatayo ulizwa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga -Kamusi | KS KCM UK 78 MWM UK 54 | ||
12 | 1 | Kuandika insha | Jinsi ya kupika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha shahihiya maelezo jinsi ya kupika | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 79 MWM UK55 | |
2 | Ufahamu | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 79 MWM UK56 | ||
3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitawe huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 78 MWM UK52 | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya, ‘amba’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kuondosha amba’ na kutumia ‘O’ rejeshi mahali pake katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 80 MWM UK58 | ||
5 | Kusandika insha | Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 83 MWM UK60 | ||
13 | MARUNDIO | ||||||||
14 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE 2014
MUHULA WA II
ASILIA
- KISWAHILI SANIFU
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
1 | KUFUNGUA SHULE NA MATAYARISHO | ||||||||
2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Msamiati wa teknolojia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa teknolojia kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 88 MWM UK61 | |
2 | kusoma Ufahamu | Uchungu wa mwana | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu uchungu wa mwana na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 89 MWM UK62 | ||
3 | Maombo ya lugha | Misemo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia misemo kwa usahihi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 89 MWM UK63 | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya ‘na’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha na kutumia ‘na’ katika sentensi kwa namna mbalimbali na kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK90 MWM UK62 | ||
5 | Kuandika (insha) | Teknolojia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili na kutumia msamiati wa teknolojia kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK91 MWM UK63 | ||
3 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Msamiati wa ukoo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiatri ya ukoo. Na kuitumia kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK91 MWM UK64 | |
2 | Ufahamu | Sijafisha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK92 MWM UK65 | ||
3 | Mapambo ya lugha | methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia metheli zenye mizizi ‘ndi’ katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK93 MWM UK66 | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya ‘ndi’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kueleza matumizi ya ‘ndi’ katika ngeli zote | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK95 MWM UK67 | ||
5 | Kuandika (insha) | Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK96 MWM UK68 | ||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Viwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaa/ vifaa vinavyo tengezwa katika viwanda | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 96 MWM UK68 | |
2 | Ufahamu | Kazi ya mkono haitupi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 104 MWM UK70 | ||
3 | Mapabo ya lugha | Methali zinazo fanana ki mawazo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali zinazo fanana kimawazo | -kadi -picha michoro | KS KCM UK104 MWM UK71 | ||||
4 | Sarufi | Vielezi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vielezi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 107 MWM UK72 | ||
5 | Kuandika (insha) | Mtungo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 108 MWM UK73 | ||
5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Matunda, miti na mimea | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa matunda,miti namimea | -Picha kiabuni | KS KCM UK 109 MWM UK73 | |||
2 | Ufahamu | Mwadani wetu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 9 MWM UK | ||
3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua maana na kutumia vitawe katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 110 MWM UK74 | ||
4 | Sarufi | Viulizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viulizi katika sentensi kwa usahihi | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 11 MWM UK | ||||
5 | Kuandika (insha) | Miti | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha umuhimu wa miti ukijaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 11 1 MWM UK76 | ||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Vitabu vya maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua na kuchangamkia kusoma vitabu vya maktaba | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha -Kamusi wanafunzi | KS KCM UK 112 MWM UK78 | |
2 | Ufahamu | Tuzungukaje mbuyu? | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 113 MWM UK79 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia nakutega na kutegua vitendawili | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 114 MWM UK99 | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya: ‘katika’ kwenye’ na ‘ni’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘katika’ kwenye’ na ‘ni’ | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 123 MWM UK81 | ||
5 | Kuandika (insha) | Mtungo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 122 MWM UK82 | ||
7 | MTIHANI WA KATI YA MUHULA | ||||||||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Miti na mimea
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia msamiati wa wa miti na mimea kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 129 MWM UK86 | |
2 | Ufahamu | Mstahimilivu hula mbivu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kujadili funzo,kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 129 MWM UK87 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Vitate
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitate huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 131 MWM UK88 | ||
4 | Sarufi | Ukubwa wa nomino
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika ukumbwa wa nomino | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 138 MWM UK90 | ||
5 | Kuandika (insha) | Wasifu (mekatilili)
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha kuhusu mutu mashuhuri kwa hati zinazosomeka kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 138 MWM UK91 | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya kike na kiume | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia msamiati wa kike na kiume | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 139 MWM UK92 | |
2 | Ufahamu | Mjadala: wanafaa kusoma pamoja
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kujadili -kutumia -kueleza -kuuliza | -kujadili -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 143 MWM UK92 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Visawe
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia visawe katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 143 MWM UK93 | ||
4 | Sarufi | Hali ya udogo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia hali ya udogokutoka hali ya kawaida kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 144 MWM UK96 | ||
5 | Kuandika (insha) | mjadala | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa ulicho pewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 145 MWM UK97 | ||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya wafanyikazi mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa majina ya wafanyi kazi mbalimbali | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 146 MWM UK98 | |
2 | Ufahamu | Uhaba wa kazi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 145 MWM UK97 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Shairi : ‘nitafanya kazi ngani’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kukariri na kujadili funzu la shairi hili | -kusoma -kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 146 MWM UK97 | ||
4 | Sarufi | Usemi wa taarifa
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha usemi wa taarifa na kubadilisha kwa usemi halisi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 147 MWM UK98 | ||
5 | Kuandika (insha) | kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha akitetea hoja kikamilifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 147 MWM UK99 | ||
11 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | KS KCM UK 21 | |
2 | Ufahamu | Wageni mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 22 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Methali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya ‘si-’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi sahihi ya ‘si –‘ | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Vipindi vya redio na runinga
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza redio narununga nakujibu maswali yatayo ulizwa | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga | KS KCM UK 24 MWM UK | ||
12 | 1 | Kuandika insha | Jinsi ya kupika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha shahihiya maelezo jinsi ya kupika | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 24 MWM UK | |
2 | Ufahamu | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 25 MWM UK | ||
3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitawe huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
4 | Sarufi | Matumizi ya, ‘amba’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kuondosha amba’ na kutumia ‘O’ rejeshi mahali pake katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 25 MWM UK | ||
5 | Kusandika insha | Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 26 MWM UK | ||
5 | |||||||||
13 | JARIBIO LA PILI | ||||||||
14 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE 2014
MUHULA WA II
ASILIA
- KISWAHILI SANIFU
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANAFUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
1 | KUFUNGUA NA MATAYARISHO | ||||||||
2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Mihadarati | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mihadarati na kufafanua adhari zake. | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 154 MWM UK100 | |
2 | kusoma Ufahamu | Sibaguami | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika msakala haya | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 155 MWM UK101 | ||
3 | Maombo ya lugha | Misemo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia misemo katika sentensi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 156 MWM UK102 | ||
4 | Sarufi | Usemi halishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha usemi halisi na kubadilisha usemi wa taarifa kuwa usemi halisi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK157 MWM UK103 | ||
5 | Kuandika (insha) | Mazungumzo na methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika ya mazungumzo kutumia methali kwa ushahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni | KS KCM UK157 MWM UK104 | ||
3 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Mazingira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna ya mazingira na njia za kukinga na kuzuia uharubifu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK4157 MWM UK103 | |
2 | Ufahamu | Hotuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kujibu maswali yaufahamu | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK155 MWM UK104 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia metheli katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK156 MWM UK105 | ||
4 | Sarufi | Myambuliko wa vitenzi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia vitenzi katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK154 MWM UK100 | ||
5 | Kuandika (insha) | Hotuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK156 MWM UK102 | ||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ajira ya watoto | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri ujumbe wa michoro, kueleza na kubainisha ubaya,hasara na madhara ya ajira ya watoto | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 157 MWM UK103 | |
2 | Ufahamu | Krismasi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 160 MWM UK105 | ||
3 | Mapabo ya lugha | Vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia vitawe katika sentensi | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 161 MWM UK105 | ||||
4 | Sarufi | ‘a’ unganifu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 162 MWM UK159 | ||
5 | Kuandika (insha) | Sherehe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 163 MWM UK 106 | ||
5 | 1 | Jaribio la kwanza | Dira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa dira kwa usahihi | -kusoma -kuchora -kueleza -kuuliza | -kusoma -kuchora -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 164 MWM UK107 | |
2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 164-165 MWM UK108 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Silabi- cha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 165 MWM UK110 | ||
4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 166 MWM UK112
| ||
5 | Kuandika (insha) | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 167 MWM UK112 | ||
6 | 1-5 | Jaribio la kwanza | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
6 | Jaribio la pili | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 66-67 MWM UK25 | |||
7 | Jaribio la tatu | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 98-103 MWM UK48 | |||
8 | Jaribio la nne | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 132-137 MWM UK60 | |||
9 | 1 | Jaribio la tano | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kustawisha ukakamavu | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 148-153 MWM UK80 | ||
10 | 1 | Jaribio la sita | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali | -kueleza -kuongoza kujibu maswali
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 168-172 MWM UK99 | ||
11 | MTIHANI WA KCPE |