| WIK |
KIP |
MADA
KUU |
MADA
NDOGO |
MATOKEO
YANAYOTARAJIWA |
MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA UJIFUNZAJI |
MASWALI
DADISI |
NYENZO |
TATHMINNI |
MAO |
| 1 |
1 |
USAFI WA KIBINAFSI |
Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza na kujibu |
Kufikia mwisho wa mada ndogo ,mwanafunzi aweze :
-Kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia katika usikilizaji wa mazungumzo na kujibu maswali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vipengele muhimu katika usikilizaji na mazungumzo
-kutambua vipengele vya kujibu maswali ya mazungumzo |
Je, ni vipengele gani unapaswa kuzingatia unapozungumza na kujibu maswali? |
-Kurunzi uk. 1-3
-vifaa halisi : mswaki,sabuni,ktana |
maswali ya muhtasari |
|
| 2 |
|
Kusoma-Kifungu cha simulizi |
Kufikia mwishowa somo mwanafunzi,
1.Aelezwe maana ya mazungumzo
2.Asome kwa kuigiza mazungumzo aliyopewa
3. Afurahiye kujibu maswali yanayohusiana na hadithi aliyoisoma |
-kusikiliza kwa makini maelezo
-kuigiza kwa makundi
Kufanya zoezi |
Mazungumzo ni nini?
Umuhimu wa mazungumzo ni upi katika Maisha ya binadamu? |
Kuruzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 2-5 |
Zoezi vitabuni |
|
| 3 |
|
Kuandika-Herufi kubwa na kikomo |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze
1.kukumbushwa kuhusu viakifihi
2kutambua alama ya kikomo na panapotumika herufi kubwa
3.kuakifisha vifungu alivyopewa kwa usahihi. |
-kutambua kwa kujadiliana
-kuakifisha vyema
-kufanya zoezi alilopewa bila kutatizika |
Herufi kubwa na kikomo hutumika vipi?
Kuakifisha kuna umuhimu gani kwa mwanafunzi |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 6-10 |
Kutazama video
Chati ukutana
kiada |
|
| 4 |
|
Sarufi-Nomino za pekee na kawaida |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze,
1.kufahamu maana ya nomino
2.kutambua nomino za pekee na nomino za kawaida
3.kutumia nomino za pekee na za kawaida katika mazungumza ya kila siku |
-kujadiliana
-kueleza
-kutambua
Kufanya zoezi |
Nomino ni nini?
Kuna umuhimu wa kujua aina mbalimbali za nomino? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 11-14 |
Kiada
Kadi mbalimbali
Maonyesho mtandaoni |
|
| 2 |
1 |
LISHE BORA |
Kusikiliza na kuzungumza-Sauti /dh/ na /th/ |
Kufikia mwisho wa somo; mwanafunzi aweze;
1.kuelezwa kuhusu lshe bora.
2.kutambua vyakula vinavyozingatia lishe bora kwa kuzingatia sauti dh na th
3. kutambua maneno yalyotumia sauti dh na dh |
-kueleza na kusikiliza
-kutambua
-kufanya zoezi[ |
Lishe bora una umuhimu gan katika Maisha ya binadamu?
Mifano ya vyakula vilivyo na sauti dh,th ni kama gan?
|
Kurunzi ya kiswahl kitabu cha mwanafunz uk 15-18 |
|
|
| 2 |
|
Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa somomwanafunzi aweze;
1.kusoma kifungu alichopewa
2.kuchambua kifungu hicho.
3.kujibu maswal ya ufahamu |
Kuskiliza maelezo
-kusoma ufahamu
-kuchambua ufahamu
-kujibu maswali ya ufamu |
Ufahamu kitabuni
Kamusi sanifu |
Kurunzi
Ya Kiswahili uk 18-20 |
Kitabu cha mwanafunzi |
|
| 3 |
|
Kuandika –Barua ya kirafiki |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. Kutambua muundo na umbo la barua ya kirafiki
2. Kujadili barua ya kirafiki aliyopewa
3. Kuandika mfano wa barua ya kirafiki. |
Kusikiliza na kuzungumza
-kusoma na kuchambua barua ya kirafiki
-kuandika barua ya kirafiki |
Barua ya kirafiki ina umbo na muundo gani?
Barua ya kirafiki ina umuhimu gani? |
Kurunz ya kswahil uk 21-22 |
Kiada
Kitabu cha marudio |
|
| 4 |
|
Sarufi-nomino za makundi na za dhahania |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. Kukumbuswa kuhusu nomino za makundi na za dhahania
2. Kutamua nomino za makundi na za dhahania
3. Kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania |
-Kujadiliana katika makundi madogomadogo.
-kutambua nomino mbalimbali za makundi na za dhahania
-kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania
|
Nominoya makundi ni nini?
Kuna tofauti gani kati ya nomino za makundi na za dhahania? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 22-28 |
Kiada
Vitabu vya marudio
Chati
Maonyesho mtandaoni |
|
| 3 |
1 |
UHURU
WA WANYAMA |
Kusikiliza na kuzungumza –Tanzu za Fasihi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kutazama picha zilizochorwa vitabuni kwa makini
2. kuelezwa kuhusu maana ya fasihi simulizi
3.kujadiliana sifa za tanzu za fasihi simulizi |
-Kutazama kwa makini
-Kujadiliana kwa kina
-Kutoa na kuandika maelezo |
Fasihi simulizi ni nini?
Tanzu za fasihi simulizi ni zipi?
Sifa za tanzu za fasihi simulizi ni kama gani? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 29-32 |
Maonyesho mtandaoni
Kiada
Chati
Kadi ukutani |
|
| 2 |
|
Kusoma kwa mapana-Novela |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1 kuelekezwa namna ya kusoma novela za Kiswahili
2 kuelekezwa kuchambua novela ya Kiswahili
3 kutengewa muda wa kusoma novela
|
-Kusikiliza na kuzungumza
-Kusoma novela
-Kuchambua novela ya kiswahili |
Novela ni nini?
Hatua za kuchambua novel ani zipi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 35-36 |
Kitabu cha mwanafunzi
Novela za kiswahili
|
|
| 3 |
|
Kuandika-insha ya kubuni |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kufahamu maana ya insha ya kubuni
2. kutazama mfano wa insha ya kubuni
3.kuandika insha ya ubunifu. |
-kusikiliza kwa makini.
-kusoma Makala mbalimbali
-kuandika insha kwa kuzingatia ubunifu ufao.
|
Insha ya kubuni ni ipi?
Ubunifu huzingatia maswala yepi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 37-40 |
Vitabu vya marudio
kiada |
|
| 4 |
|
Sarufi-Nomino za wingi na vitenzi-jina |
Kufikia mwisho wa soko mwanafunzi aweze;
1.kufahamu nomino za wingi na za vitenzi-jina
2. kutambua nomino za wingi na za vitenzi- jina
3. kutumia nomino za wingi na za vitenzi-jina |
-kujadiliana katika makundi madogomadogo
-kutambua
Kuandika na kufanya zoezi |
Nomino za wingi na za vitenzi jina ni vipi?kwa nini mwanafunzi afundishwe nomino hizo?
|
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk41-46 |
Chati
Maandishi ubaoni
Kitabu cha mwanafunzi |
|
| 4 |
|
MTIHANI WA TATHMINI |
| 5 |
1 |
AINA ZA MALIASILI |
Kusikiliza na kuzungumza-Nyimbo za watoto na Bembelebzi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kufahamiswa maana ya maliasili na maana ya nyimbo za Watoto
2. sifa za nyimbo za Watoto
3.kuimba nyimbo za bembelezi |
-Kujadiliana
-Kutambua
-Kuandika
-kuimba nyimbo za bembelezi
|
Bembelezi ni nini?
Umuhimu wa nyimbo hizi ni upi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabucha mwanafunzi uk 47-52 |
Picha mtandaoni
Maonyesho darasani
Kitabu cha mwanafunzi |
|
| 2 |
|
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. aweze kusoma vifungu alivyopewa
2. kutambua hatua za kusoma kwa ufasaha
3. kuchambua na kujibu maswali ya vifungu alivyosoma |
Kusoma
Kujadiliana
Kuchambua
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma kwa ufasaha ni kufanya nini?
Hatua zipi zinazozingatiwa ili usome kwa ufasaha? |
Kurunzi ya Kiswa hili kitabu cha mwanafunzi uk 53-56 |
Kitabu cha mwanafunzi
Maandishi ubaoni
|
|
| 3 |
|
Kuandika –insha ya kubuni ;masimulizi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kusoma mfano wa insha ya masimuli
2.kuandika mfano wa insha ya masimulizi
4.Kufurahia kubuni hadithi na kuwasilisha kwa njia ya maandishi |
-Kusoma hadithi
-kuandika insha
-kubuni hadithi na kuhadithia bila uoga |
Masimulizi ni nini?
Hatua za kuhadithia hadithi ya kubuni? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafu uk57-60 |
Kitabu cha mwanafunzi
Vitabu vya marudio |
|
| 4 |
|
Sarufi – Nyakati na Hali |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufamu maana ya nyakati na hali
2. kutambua nyakti za Kiswahili
3. kuweza kutumia nyakati na hali zifaazo katika mazungumzo ya kila siku |
– Kutambua
– Kujadiliana
– Kuandika
– kuwasiliana |
Nyakati na hali za Kiswahili ni zipi?
-kwa nini mwanafunzi atambuliswe kuhusu nyakati na hali za kiswahili |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk60-66 |
Chati ukutani
Maandishi ya mwalimu
kamusi |
|
| 6 |
1 |
UNYANYASAJI WA KIJINSIA |
Kusikiliza na kuzungumza –mazungumza mahususi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamu maana ya mazungumzo
2. kuzingatia muktadha mahususi wakati wa mazungumzo
3. kuzungumza pasipo matatizo |
-kujadiliana na kuwasilishafanya majadiliano
-kuandika maelezo ya mwalimu
Kufanya mazungumzo darasani |
Mazungumzo mahususi huhusiana na nini?
Mazungumzo huzingatia hatua gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk67-73 |
Maonyesho darasanimtandaoni
Kutazama mfano wa mazungumzo |
|
| 2 |
|
Kusoma-ufahamu |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma nakala
2. kuchambua kifungu
3. kujibu maswali ya ufahamu |
-Kusoma
-kujadiliana
-Kuandika
-Kufanya zoezi |
Kwa nini mwanafunzi asome ufahamu?
Hatua za kusoma ufahamu ni kama gani? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 73-76 |
Kiada
Kamusi
ubao |
|
| 3 |
|
Kuandika – insha ya maelekezo |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kuelezwa kuhusu
insha ya maelekezo
2. kusoma mfano wa insha ya maelekezo
3. kuandika insha ya maelekezo. |
-Kusikiliza kwa makini
-kusoma mfano wa insha
-kuandika insha |
Insha ya maelekezo ni gani?
Muundona muundo wa insha hii ni gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk76-80 |
Kitabu cha marudio
Kiada
Ubao
|
|
| 4 |
|
Sarufi- Nyakati na Hali |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kukumbuswa kuhusu nyakakati na hali
2. kutambua hali hali za Kiswahili
3. kuwa na uwezo kutumia nyakati katika hali mbalimbali |
Kujadilia kuhusu somo la awali
Kutambua na kuandika maelezo ubaoni
Kuandika na kufanya zoezi kuhusu hali na nyakati mbalimbali |
Kuna hali zipi unazofahamu?
Kwa nini mwanafunzi afundishwe kuhusu hali hizi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 80-86 |
Kiada
Kamusi
Chati ukutani
Maonyesho mtandaoni |
|
| 7 |
1 |
USALAMA SHULENI |
Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza kwa kufasiri |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. asikilize kwa kufasiri Makala atakayosomewa
2. ajadili kuhusu usalama shuleni
3. mwanafunzi ahakikishe usalama shuleni kwa kuzingatia aliyosoma na kusikiliza |
-Kusilkiliza kwa kufasiri
-Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa
-Kufanya zoezi atakalotoa mwalimu |
Kufasiri ni kufanya nini?
Kusikiliza kwa kufasiri ni kufanya nini? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk 88-90 |
Mtandao
Kiada
Maandishi ubaoni |
|
| 2 |
|
Kusoma-dhana za maudhui na dhamira |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma kwa kuzingatia maudhui na dhamira
2. kutambua maudhui na dhamira ya kifungu alichopewa
3. kuchambua kifungu na kujibu maswali ya ufahamu. |
-Kujadiliana na kuwasilisha majadiliano
-Kuandika maelezo
-Kuuliza na kujibu maswali |
Maaudhui na dhamira ni nini?
Kwa nini tuzingatie maadhui na dhamira unaposoma hadithi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 90-92 |
Kiada
kamusi |
|
| 3 |
|
Kuandika-insha ya masimulizi;Picha |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujua muundo na mtindo wa insha yamasimulizi
2. kutazama picha kwa makini
3. kusimulia alichoelewa kutokana na picha ile |
-kutazama
-kujadiliana
-kuandika
-kutathmini |
Insha ya picha huandikwaje?
Insha ya picha huwa na muundo upi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 93-93-95 |
Maandishi vitabu
Vitabu vya marudio |
|
| 4 |
|
Sarufi-vitenzi na vitenzi visaidizi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujua tofauti ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
2. kutambua vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
3. kuweza kutumia vitenzi vikuuu na vitenzi visaidizi |
-Kutofautisha
-Kujadiliana npamoja na kuandika
-Kufanya zoezi
Kutumia |
Vitunzi vikuu na vitenzi visaidizi ni nini?
Vitenzi hivi hutumika aje kwenye sentensi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk95-100 |
Kiada
Ubao
Vitabu vya marudio |
|
| 8 |
1 |
MTIHANI WA MWIGO |
| 9 |
1 |
KUHUDUMIA JAMII SHULENI |
Kusikiliza na kuzungumza –ufahamu |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi a
weze;
1. kufahamishwa kuhusu kusikiliza kwa kufahamu
2. kutambua hatua za kusikiliza kwa kufahamu
3. kuweza kusikiliza kwa kufahamu |
-Kusikiliza
-Kuuliza na kuuliza maswali
-Kujadiliana na kuwasilisha kilichojadiliwa |
Kwa nini mwanafunzi afundishwe ufahamu?
Hatua za kujibu maswali ya ufahamu ni zipi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 101-103 |
Kiada
Kamusi
ubao |
|
| 2 |
|
Kusoma-Ufupisho |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma ufamau
2. kuchambua ufahamu
3. kujibu maswali ya ufahamu |
-Kusoma
-Kuuliza na kujibu maswali
-Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa
-Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma ufahamu kunahusu nini?
Maswali ya ufahamu yanajibiwaje? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 104-106 |
Kiada
Daftari
ubao |
|
| 3 |
|
Kuandika-insha za kubuni-Maelezo |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kukumbushwa kuhusu insha ya maelezo
2. kusoma mfano wa insha ya maelezo na kujadili
3. kuandika insha ya maelezo |
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kuandika insha ya maelezo |
Kwa nini mwana funzi afundishwe insha ya maelezo?
Insha ya maelezo ina muundo na mtindo gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi |
Kiada
Ubao vitabu vya insha kabambe |
|
| 4 |
|
Sarufi-vitenzi vishirikishi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujadili kuhusu vitenzi vishirikishi
2. kutambua vitenzi vishirikiishi
3. kutumia vitenzi vishirikishi kwa ufasaha |
Kujadiliana.
Kuwasilisha majadiliano.
Kujibu na kuuliza maswali.
Kuandka kilichojadiliwa. |
Vitenzi vishirikishi ni nini? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk106-109 |
Kitabu cha mwanafunzi
Ubao
daftari |
|
| 10 |
1 |
ULANGUZI WA BINADAMU |
Kusikiliza na kuzungumza – kupasha Habari |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kugundua maana ya matangazo ya kupasha habari
2. kutambua aina ya matangazo ya kupasha habari
3. kutumia vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo ya kupasha habari |
Kujadiliana
Kuandika
Kujibu na kuuliza maswali |
Habari ya kupasha habari ni gani?
Vipengele gani vinavyofwatwa katika mazungumzo ya kupasha habari? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi
Uk114-118 |
Kiada
Kamusi
daftari |
|
| 2 |
|
Kusoma kwa kina-manndari na ploti-mandhari katika novela |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma ufahamu
2. kuchambua ufahamu
3. kujibu maswali ya ufahamu
|
-Kusoma kujadiliana
-kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu
Kuandika na kufanya zoezi la ufahamu |
Ufahamu humusaidia mwanafunzi aje?
Maswali ya ufahamu yanalenga nini? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk118-123
|
|
|
| 3 |
|
Kuandika-viakifishi;kiluzi na Koma |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamiswa kuhusu viulizi na koma katika uandishi
2. kutambua matumizi ya koma na viulizi katika uandishi
3. kuandika insha akizingatia allama za koma na viulizi |
-Kujadili
-Kutambua
-Kuandika
-kutumia |
Koma na viulizi ni alama zipi?
Kwa nini alama za koma na viulizi zitumike? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi
Uk123-126 |
Kiada
ubao |
|
| 4 |
|
Sarufi-Ngeli na upatanisho wa Kisarufi |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamu ngeli za Kiswahili
2. kutambua upatanisho wa ngeli katika sarufi
3. kutumia |
-kufahamu
-kujadiliana
-kuandika |
Ngeli ni nini?
Kwa nini ngeli izingatiwe? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 127-136 |
Chati ukutani
Maonyesho mtandaoni? |
|
| |
|
11,12,13 – MAREJELEO ,KUDURUSU ,MAANDILIZI YA MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA ; KUFUNGA SHULE KWA MUHULA WA KWANZA. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|